Developer IOS
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 1,457
- 1,409
mkuu diwan anaruhusiwa sio kufanya kikao tu hata kufanya mkutano wa hadhara katika kata yake acha kutuletea hoja ya kipuuziKama hata vikao vyao vya ndani vinazuiwa wakati wale wanalindwa kufanya lolote hata kinyume na sheria, ulitaka wafanyeje basi? Kulaumu ni rahisi kuliko kula.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu nimezungumza vilio tulivyonavyo wakazi wengi wa sinzaKwa hivyo umewasemea wakazi wote wa sinza au kwenye kupiga kura utakua nao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumejifunza sisi wakazi wa sinza
Sawa ujumbe ameupata.mkuu nimezungumza vilio tulivyonavyo wakazi wengi wa sinza
huu uhuni wa kujipiga risasi na kujiteka ili kupata mtaji wa kisiasa tumewashtukiaMungu msaidie Lissu.
Laana na mateso ya adhabu Kali ziwapate walopanga na kutekeleza uovu ule.
Amen.
Sent using Jamii Forums mobile app
Achaneni na siasa za kihuni.mkuu diwan anaruhusiwa sio kufanya kikao tu hata kufanya mkutano wa hadhara katika kata yake acha kutuletea hoja ya kipuuzi
Mungu msaidie Lissu.
Laana na mateso ya adhabu Kali ziwapate walopanga na kutekeleza uovu ule.
Amen.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha mmefanya la maana Sana hongleni sanaaaaHabari wakuu,
Sisi wakazi wa sinza tumesema kwa nguvu moja tumekoma tena tumekoma zaidi ya tulivyokoma manyonyo ya mama zetu kuwapa ridhaa ya uongozi CHADEMA ambao hawajali waliowachagua ambao hawajali walipigwa na jua katika foleni kuwapa ridhaa wawatumikie ambao waliwapa ahadi kedekede.
Baada ya kuwapa ridhaa wamekimbia hatuwaoni zaidi zaidi wanatuhumiwa kwa ufisadi tuu katika kata yetu. Leo chama ambacho hakina diwani kimekuwa mstari wa mbele kushiriki na sisi wanyonge wenzao katika shughuli za maendeleo wakati tuliompa power hiyo kakimbia.
Leo anadai ana pesa hata ya kununua vitabu katika shule za msingi ilihali chama kisichokuwa na diwani ngazi ya kata CCM kimeweza. Leo wameshindwa kujenga hata daraja dogo la kuvukia mtaro sinza e ilihali chama cha mapinduzi kwa ngazi ya mjumbe shina kimeweza kwa kushirikiana na wananchi.
Kazi wanayoiweza ni kukaa twitter kumtukana mh Rais na kudai eti wanaibiwa kura ndo maana hawapati hatamu ya kutawala. Wajiulize wamewafanyia nini wananchi katika tawala ndogo tu walizopewa sinza inaonyesha picha ya tawala za upinzani huku zimejawa na watu selfish ambao wanawaza madaraka bila kujua watawafanyia nini wananchi wananchi hatutaki viongozi wa kushinda twitter tunataka viongozi wanaopiga kazi kweli kweli.
Kwa hiyo unapita madirishani kila nyumba kusikiliza vilio na kukubaliana uwe msemaji wao! Acha hizo, nunua mihogo akaange uuze, inalipa.mkuu nimezungumza vilio tulivyonavyo wakazi wengi wa sinza