Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 72
- Thread starter
-
- #21
Goodluck Mwangomango
Kama tulishinda Igunga, hatuwezi shindwa Arumeru Mashariki. Lakini tunatakiwa kupambana na rushwa kwa vitendo. Round ya kwanza tuliyasikia ya arumeru, marudio ya leo tumesikia waliokamatwa wakitoa rushwa. Chama kisipo chukua maamuzi sahihi kupitia CC tutakuwa tumejidharirisha wenyewe kwa wananchi.
Naomba niandike ukweli na mtizamo wangu kwa chama cha mapinduzi (CCM) kuhusiana na yanayojili katika mchakato wa uchaguzi mdogo wa Jimbo la Arumeru mashariki.
Hakuna atakayekataa ukweli kwamba ushindi wa SIYOI SUMARI kwa kiasi kikubwa umetokana na nguvu ya fedha alizopewa na mmoja wa makada wa CCM anayetuhumiwa kwa ufisadi ambaye pia ni mkwe wake EDWARD LOWASSA. Hili limejionyesha wazi na hadi sasa watuhumiwa wengine waliokuwa wakigawa fedha wanaendelea kuhojiwa.
SIYOI ni mgeni katika siasa za Tanzania hana uzoefu zaidi ya kubebwa na jina la baba yake na upo uwezekano wa yeye kushindwa kumudu purukushane na mitikisiko toka kwa upinzani hasa CHADEMA ambao kwa sasa wanafurahia ushindi wake. CHADEMA wanamuona ni dhaifu dhidi ya mgombea wao JOSHUA NASARI na kwa vyovyote vile endapo atasimamishwa kugombea, ushindi kwao ni lazima.
MY TAKE:
i) CCM wanatakiwa kuwa makini katika hili ili kukinusuru chama na endapo watamsimamisha watakiweka
chama katika mazingira magumu ya kuendeleza matumizi ya fedha na undugu katika siasa zao.
ii) Katika kipindi hiki ambacho chama kinahitaji kutumia nguvu kubwa kujisafisha na kurejesha "credibility"
kwa wananchi, naona ni vyema kamati kuu isimteue SIYOI na badala lake wamweke mtu mwingi bila kujali
kama watashinda au la vinginevyo jinamizi la rushwa na nguvu ya mafisadi ndani ya chama itaendelea
kukibomoa chama hicho.
Nawasilisha.
Rekebisha kwanza anaitwa Sioi na siyo SIYOI .....
chiligati alisema mgombea atateuliwa kesho
Kumbe CCM inatumia nguvu kubwa kujisafisha ili kurejesha credibility?!.ii) Katika kipindi hiki ambacho chama kinahitaji kutumia nguvu kubwa kujisafisha na kurejesha "credibility"
kwa wananchi, naona ni vyema jinamizi la rushwa na nguvu ya mafisadi ndani ya chama likaendelea
kukibomoa chama hicho.
Naomba niandike ukweli na mtizamo wangu kwa chama cha mapinduzi (CCM) kuhusiana na yanayojili katika mchakato wa uchaguzi mdogo wa Jimbo la Arumeru mashariki.
Hakuna atakayekataa ukweli kwamba ushindi wa SIYOI SUMARI kwa kiasi kikubwa umetokana na nguvu ya fedha alizopewa na mmoja wa makada wa CCM anayetuhumiwa kwa ufisadi ambaye pia ni mkwe wake EDWARD LOWASSA. Hili limejionyesha wazi na hadi sasa watuhumiwa wengine waliokuwa wakigawa fedha wanaendelea kuhojiwa.
SIYOI ni mgeni katika siasa za Tanzania hana uzoefu zaidi ya kubebwa na jina la baba yake na upo uwezekano wa yeye kushindwa kumudu purukushane na mitikisiko toka kwa upinzani hasa CHADEMA ambao kwa sasa wanafurahia ushindi wake. CHADEMA wanamuona ni dhaifu dhidi ya mgombea wao JOSHUA NASARI na kwa vyovyote vile endapo atasimamishwa kugombea, ushindi kwao ni lazima.
MY TAKE:
i) CCM wanatakiwa kuwa makini katika hili ili kukinusuru chama na endapo watamsimamisha watakiweka
chama katika mazingira magumu ya kuendeleza matumizi ya fedha na undugu katika siasa zao.
ii) Katika kipindi hiki ambacho chama kinahitaji kutumia nguvu kubwa kujisafisha na kurejesha "credibility"
kwa wananchi, naona ni vyema kamati kuu isimteue SIYOI na badala lake wamweke mtu mwingi bila kujali
kama watashinda au la vinginevyo jinamizi la rushwa na nguvu ya mafisadi ndani ya chama itaendelea
kukibomoa chama hicho.
Nawasilisha.
Sijakuelewa yaani CCM waweke mtu yeyote bila kujali kushindwa....duh! nayo ni maoni kwa nini wasijitoe kabisa ili kunusuru makundi na aibu watakayoipata, kwa ninavyoona CCM kupata 30% itakuwa kazi.ii) Katika kipindi hiki ambacho chama kinahitaji kutumia nguvu kubwa kujisafisha na kurejesha "credibility"
kwa wananchi, naona ni vyema kamati kuu isimteue SIYOI na badala lake wamweke mtu mwingi bila kujali
kama watashinda au la vinginevyo jinamizi la rushwa na nguvu ya mafisadi ndani ya chama itaendelea
kukibomoa chama hicho.
Nawasilisha.
Tatizo lenu mulim-under estimate mamvi.Hata kama jimbo litapotea upinzani haijalishi, kundi la EL likisambaratika pia haijalishi. Tumechoka na madudu wanayoyafanya bhana.... kila kitu pesa tu au jina la mtu?