Thank you sir!(1) Dynamic systems zina impulse response za aina hii hapa ambayo kukitokea mshtuko basi kutakuwa na overshoots na undershoots kabla ya kustabilize tena. Msuguano uliokuapo ndani ya chadema ni lazima ulileta impulsive response ya namna hii ndani ya chama.
(2) Halafu conservative systems zina asili ya kubadilishana kinetic na potential energy kiasi kuwa total energy ni constant. Uchaguzi ni conservative system, chama kimoja kikipata kura ni lazima chama lazima kingine kipoteze.
(3) Ukichukulia mambo hayo mawili hapo juu inakuwa si vizuri kutoa conclusions yoyote kutokana na matokeo ya uchaguzi wa madiwani uliofanyika kipindi ambacho Kitila na wenzake kwa Upande mmoja walikuwa wakiishambulia Chadema na CCM kwa upande mwingine nayo ikiishambulia Chadema ili kuapata kura wakati upande wa chadema viongozi wake wakihangaika kushughulikiana na akina Kitila na wakati huo huo kuhangaika na kampeini. Magazetini habari za chadema zilikuwa mara zote ni sura mbili wakati habari za CCM zilikuwa na sura moja tu. Kwa vyovyote combination hiyo inasabaisha impuslive response kwa chadema, na ni wazi kuwa uchaguzi ulifanyika wakati ikiwa bado kwenye undershoot.
(4) Kutokana na conservative nature za uchaguzi, iwapo CHADEMA ilikuwa kwenye undershoot, basi si ajabu kwa CCM au chama kingine kupata overshoot.
(5) Halafu analysis ya Dr Kitila ni shallow kidogo safari hii ukulinganisha na ile aliyotoa mwaka huo 2012, kwa sababu safari hii amejikita katika generalization ya namba kuliko kuchambua namba hizo zina maana gani.
Mwishoni anatumia results hizi kutuma ujumbe wake binafsi dhidi ya viongozi wenzake aliokorofishana nao huko chadem bila kuangalia effect ya impulsive response aliyosababisha kwenye chama chao.
Matokeo ya uchaguzi yana parameters nyingi za kuangalia, mojawapo ni ya mambo ambayo ningetegemea aonyeshe ni kata ngapi ambazo Chadema imepoteza na kati ya hizo ni ngapi zimechukuliwa na CCM.
Iwapo uchaguzi ulihusu kata zilizokuwa zinasimamiwa na CCM zote halafu chadema ikachukua mbili au moja kati ya hizo huwezi kusema ina shrink hata kama percentage waliopata mwaka huu ni ndogo kulingana na mwaka uliopita.
Kuna ile ya CHADEMA kupoteza kata moja huko la Kigoma, hiyo alitakiwa aichukulie kuwa ni outlier kwa sababu Kigoma inahusiana na Zito ambaye naye alikuwa na mgogoro na CHADEMA na wala halitoi long term reflection ya performance ya CHADEMA; ni kati ya matokeo ya impulsive responses niliyozungumza hapo juu.
(1) Dynamic systems zina impulse response za aina hii hapa ambayo kukitokea mshtuko basi kutakuwa na overshoots na undershoots kabla ya kustabilize tena. Msuguano uliokuapo ndani ya chadema ni lazima ulileta impulsive response ya namna hii ndani ya chama.
(2) Halafu conservative systems zina asili ya kubadilishana kinetic na potential energy kiasi kuwa total energy ni constant. Uchaguzi ni conservative system, chama kimoja kikipata kura ni lazima chama lazima kingine kipoteze.
(3) Ukichukulia mambo hayo mawili hapo juu inakuwa si vizuri kutoa conclusion yoyote kutokana na matokeo ya uchaguzi wa madiwani uliofanyika kipindi ambacho Kitila na wenzake kwa Upande mmoja walikuwa wakiishambulia Chadema na CCM kwa upande mwingine nayo ikiishambulia Chadema ili kupata kura wakati upande wa chadema viongozi wake wakihangaika kushughulikiana na akina Kitila na wakati huo huo kuhangaika na kampeini. Magazetini habari za chadema zilikuwa mara zote ni sura mbili wakati habari za CCM zilikuwa na sura moja tu. Kwa vyovyote combination hiyo inasabaisha impuslive response kwa chadema, na ni wazi kuwa uchaguzi ulifanyika wakati ikiwa bado kwenye undershoot.
(4) Kutokana na conservative nature za uchaguzi, iwapo CHADEMA ilikuwa kwenye undershoot, basi si ajabu kwa CCM au chama kingine kupata advantage.
(5) Halafu analysis ya Dr Kitila ni shallow kidogo safari hii ukiilinganisha na ile aliyotoa mwaka huo 2012, kwa sababu safari hii amejikita katika generalization ya namba kuliko kuchambua namba hizo zina maana gani. Mwishoni anatumia results hizi kutuma ujumbe wake binafsi dhidi ya viongozi wenzake aliokorofishana nao huko chadema bila kuangalia effect ya impulsive response aliyosababisha kwenye chama chao. Matokeo ya uchaguzi yana parameters nyingi za kuangalia, na mojawapo incumbency. Mambo ambayo ningetegemea aonyeshe ni kata ngapi ambazo Chadema imepoteza na kati ya hizo ni ngapi zimechukuliwa na CCM. Iwapo uchaguzi ulihusu kata zilizokuwa zinasimamiwa na CCM zote halafu chadema ikachukua mbili au moja kati ya hizo huwezi kusema ina shrink hata kama percentage waliopata mwaka huu ni ndogo kulingana na mwaka uliopita. Kuna ile ya CHADEMA kupoteza kata moja au mbili huko Kigoma, hiyo alitakiwa aichukulie kuwa ni outlier kwa sababu Kigoma inahusiana na Zito ambaye naye alikuwa na mgogoro na CHADEMA na wala haitoi long term reflection ya performance ya CHADEMA; ni kati ya matokeo ya impulsive responses niliyozungumza hapo juu.
Mkuu Kiranga naomba nichangie kidogo bandiko lakoHalafu utasikia watu wanapiga kelele CHADEMA lazima iingie Ikulu 2015.
Don't get me wrong, Dr. Mkumbo is not beyond questioning, especially because he is admitting that he was holding back on us facts regarding matters of national importance for partisan reasons while he was a CHADEMA cadre, but at the same time I resonate so much with his analysis, especially because I am part of the segment of the Tanzanians who are appalled by CCM but yet cannot see credible leadership in CHADEMA.
I am dying to see the opposition/ CHADEMA do better so I could give it my full support in ousting CCM, but it just doesn't.
And I do not want Tanzania to have another Chiluba moment and become a laughingstock of the democrartic process.
Mkuu Kiranga naomba nichangie kidogo bandiko lako
1. Kama alivyosema Kichuguu , nilikuwa miongoni mwa watu walio doubt sana credibility ya Dr Mkumbo miaka 5 au zaidi huko nyuma. Sina shaka nilikuwa sahihi kwa kumuangalia leo hii
2. Kunapotokea tatizo mara nyingi zinakuwepo 'factors' Internal or external or both
Kwa hali ya upinzani kwasasa kuna internal and external factors kwa pamoja. Nitafafanua
i)Internal factors; Miaka mingi tuliwaeleza wapinzani lengo lisiwe kwenda Ikulu bali njia za kwenda Ikulu. Kauli rahisi ilikuwa 'lengo la chama cha upinzani ni kushika dola'
Kushika dola ni hatua ya mwisho, hatua ya kwanza ni 'means' za kushika dola
Kule UK, Nigel Farage (UKIP) kilifahamu hakiwezi kushindana na Labor au conservative. Kilichofanyika ilikuwa ku ''tilt balance of power'' kati ya liberal na Tories
Farage aliweza kupata support iliyoleta Brexit na kubadilisha siasa za ndani
Ndivyo ilivyokuwa kwa Tea Party ambayo baadaye iliji filtrate kuwa Republicans.
Influence ya Tea party ndiyo iliyozaa siasa za US. Tea party hawakuwa na lengo la kushika dola
Lengo la wapinzani Tanzania ilikuwa kwanza kujitanua, pili kushika mhimili wa Bunge ambao leo ungewapa leverage katika mambo mengi. CCM wangewahitaji ku compromise
Hawakutilia maanani wakajikita katika kuendekeza 'defections' za wanachama.
ii) Tukawaeleza kwa mwendo wa katiba ya sasa ambayo CCM walitumia nguvu kuzuia mpya, it's unlikely watafanikiwa. Kwamba, katiba ya sasa hata kile kidogo kitaondolewa.
Lengo la kushika dola si priority, kujenga ''level playing field'' ni muhimu kuliko jambo jingine. Hawakuzingatia
b) External factor; Katika mazingira ya sasa ya siasa, mapungufu ya upinzani hayaonekani au yanafunikwa na nyakati. Hili ni pamoja na CCM kubadilika kutoka chama cha siasa na kuwa serikali inayomiliki taasisi zote zikiwemo zile zinazotakiwa kuwa neutral
Marufuku ya mikutano ilikuwa hatua ya awali. Kuandamana vyombo vya habari ilikuwa kujenga mazingira ya kazi za baadaye. Kazi sasa inafanywa na CCM na vyombo vyake bila kelele
Kwa haraka upinzani hauja 'shrink' . Wabunge na madiwani wanaohama si kigezo cha 'shrink
Mazingira yanalazimisha hivyo na hata wanaohama wanajua hilo
Hivyo upinzani hauja shrink bali umewekewa mazingira ya kutoendelea kwa maana umedumaa
CCM haija stabilize hata kidogo bali imejengewa mazingira ya kustawi kwa nguvu za dola
Ndani ya CCM kuna resentment , wenye reservation wana katika wakati mgumu kama ule wanaopitia wapinzani. Ndani ya CCM hali si Shwari. Unakumbuka ya mkutano mkuu wanachama kukamatwa na vyombo vya dola?
Wapinzani waanzie wapi? Wasahihishe kosa la katiba mpya walilokubali bila kujua namna ya kukabiliana na hujuma. Watafute njia za kuwa na uwanja huru wa kisiasa ikiwemo tume huru ya uchaguzi. Wafanye recalculations kwamba kushika dola ni process siyo short cut na isiwe priority
Wajikite kujiimarisha katika kuwa na upper hand ndani ya Bunge na kwingineko
Hilo nalo litategemea jitihada zao za kutafuta uwanja sawa wa siasa kisheria kupitia katiba mpya
Nakubaliana nawe kwa sababu nitakazozieleza mbeleni"Kiranga, post: 28457078, member: 13377"]
Kwa sasa naona dhahama katika vyama vya siasa si matatizo halisi, huu si ugonjwa.
Hizi ni dalili tu, ugonjwa wenyewe upo katika a deeper layer.Layer ya utamaduni, malezi, familia.
Nakubaliana jamii isiyo na 'curiosity' au isiyohoji, isiyo na mitazamo tofauti na isiyoweza kujifunza kutoka kwingine ni 'mfu' (dormant). Jamii zilizopiga hatua popote dunia ni zile 'vibrant'.Jamii inayosisitiza utamaduni wa ukondoo na hewala hewala, haiwezi ku produce viongozi wenye integrity.
Hili linatisha zaidi kuliko jingine katika jamii yetu. Wasomi wamesahau au hawajui au wametelekeza wajibu wao kwa jamii. Wasomi ndio 'architects' ya jamii yoyote. Kazi yao ni ku-map mustakabali wa Taifa. Mwalim Nyerere alielewa hili, siku zote alitoa fursa kwa wasomi kutumia 'zana' zao za akili kulisaidia Taifa.Hata wasomi wetu wanakuwa watu waoga waoga tu, kwa sababu formative years zao zimekuwa informed na utamaduni wa hewala hewala, ukondoo kondoo, woga woga.
Hili linachagizwa na mambo mawili uliyosema.Ndiyo maana hata sioni tofauti kubwa kati ya CCM na wapinzani, ndiyo maana wapinzani wanahamahama kwenda CCM iliyominya demokrasia, kwa kisingizio wanafuata demokrasia.
Bomu la wasomi tayari linalipuka. Hawa half-baked wamelelewa katika fashion unayosema. Tunachokiona katika jamii ni ''mlipuko'' wa bomu la wasomiSiku hizi watoto wasiolelewa na wazazi wote wanakuwa kama fashion, hawa wakija kuwa wakubwa litalipuka bomu kubwa sana ambalo mabadiliko ya vyama vya siasa hayawezi kulituliza.
kama nilivyoeleza kuhusu mwalimu.Viongozi wa caliber ya Nyerere tuliwapata kwa mchanganyiko wa malezi ya utamaduni wa Kiafrika pamoja na elimu ya magharibi, siku hizi tunakosa vyote viwili. Hili kwangu ni tatizo la msingi kuliko matatizo ya siasa za vyama sasa, kwa sababu haya ksho yataleta matatizo makubwa zaidi.
Hili la common decorum ni tatizo kubwa sana. Tunarudi kule kule, hatuna watu wa kuturudisha katika mstari, si wazee si wasomi.Sasa katika nchi ambayo hatuwezi kuwa na common decorum tu, habari za political ideology ni kumfundisha calculus sisimizi.
Umechambua vizuri.
Mkuu, mimi nafanya kazi za kuangalia matatizo kwa kuyaweka katika layers na kutenganisha hizi layers.
Kwa sasa naona dhahama katika vyama vya siasa si matatizo halisi, huu si ugonjwa.
Hizi ni dalili tu, ugonjwa wenyewe upo katika a deeper layer.
Layer ya utamaduni, malezi, familia.
Familia ambazo zimehalalisha baba kuwa na nyumba ndogo na mama na dada kudanga, haziwezi ku produce viongozi wa kisiasa wenye integrity.
I am sure ukiangalia mtu kama Magufuli ana hang ups za familia.
Jamii inayosisitiza utamaduni wa ukondoo na hewala hewala, haiwezi ku produce viongozi wenye integrity. Hata wasomi wetu wanakuwa watu waoga waoga tu, kwa sababu formative years zao zimekuwa informed na utamaduni wa hewala hewala, ukondoo kondoo, woga woga.
Malezi ya kubwengana bwengana, kukomoana komoana, kuzibiana zibiana ndiyo yana produce viongozi walio shortsighted kama Magufuli wanafikiria kufunga funga tu vitu willy-nilly kama jina lake. Granted nchi ilioza na kuna reforms nyingi zilitakiwa, but don't throw the baby with the bathwater for gods sake.
Matatizo yetu yapo katika familia, malezi, utamaduni.
Kiongozi aliyelelewa kwa kuinewa anaona kuonea ni haki ya mkubwa. Akipata uongozi anaona na yeye zamu yake ya kuonea imefika, mshamuonea sana.
Ndiyo maana hata sioni tofauti kubwa kati ya CCM na wapinzani, ndiyo maana wapinzani wanahamahama kwenda CCM iliyominya demokrasia, kwa kisingizio wanafuata demokrasia.
Familia, malezi, utamaduni, ndiyo mizizi ya matatizo yetu. huko kwenye vyama ni matawi tu, hata tukijitahidi kutengeneza siasa za vyama, kama hatujatengeneza familia, malezi, utamaduni, tutakuja kupata matatizo mengi sana.
Siku hizi watoto wasiolelewa na wazazi wote wanakuwa kama fashion, hawa wakija kuwa wakubwa litalipuka bomu kubwa sana ambalo mabadiliko ya vyama vya siasa hayawezi kulituliza.
Viongozi wa caliber ya Nyerere tuliwapata kwa mchanganyiko wa malezi ya utamaduni wa Kiafrika pamoja na elimu ya magharibi, siku hizi tunakosa vyote viwili. Hili kwangu ni tatizo la msingi kuliko matatizo ya siasa za vyama sasa, kwa sababu haya ksho yataleta matatizo makubwa zaidi.
To be fair, sitaki ku minimize matatizo ya siasa za vyama sasa, kwa sababu katika nchi iliyo top down kama yetu, mtu wa juu akiamua kufanya reforms nzuri anaweza sana, tuna tabia ya ku idolize marais wetu kwa mfano.Lakini, my sense is, rais anahalalisha kumomonyoka maadili, na anatengeneza vi Magufuli vingine huko kwa kina Makonda, Jerry Muro, Gambo etc
Katika nchi yenye matatizo ya kiutamaduni kama yetu, hata wazee wa CCM kama marais wastaafu wanaonekana kushindwa kumuasa Magufuli aache kauli zisizo na staha za kirais, kwa sababu hiyo ni distraction hata kama anataka kufanya mageuzi, hatuna a coherent direction.
Sasa katika nchi ambayo hatuwezi kuwa na common decorum tu, habari za political ideology ni kumfundisha calculus sisimizi.
My main concern kwa sasa si kwamba siasa za vyama zinaendaje.
I am more concerned kuona rais anasema atawapiga shangazi wa wapinzani wake wa kisiasa, vijana wanaokua sasa wanaona kumbe mwanamme kumpiga mwanamke ni kitu cha kawaida tu, regardless wanakuwa chama gani.
Rais anasema wazi kabisa kwamba vyombo vya dola vikipe upendeleo CCM katika chaguzi. Yani mambo ya aibu yanasemwa wazi kama kawaida tu, na hakuna anayesema sana, inazoeleka.
Common decorum imetoweka.
Hapo maana yake, atakayeshika madaraka baada ya huyu atakuwa anatoka katika mazingira mabaya na anaweza kutupeleka pabaya zaidi
Ahsante sana.