CCM is better than CHADEMA

bila ccm wewe usingekuwa unaongea haya maana imekupa uhuru wa kuongea lolote unalotaka.
sasa kwa kuwa wewe hutumii akili vizuri unaonakama wewe unaweza kuliko wao. Ccm is better than chadema

ni tahaahira pekee anayeweza kukuunga mkono he! Yaani ccm inanipa uhuru wa kuongea kivip?
 
Hii ni kweli:-
1. Ni chama sikivu
2. Wanajua jinsi ya kutatua matatizo
3. Wameiweka nchi katika hali ya utulivu.
NDIYO wanaongoza KWA:
4. UMAFISI ADI
5. MAUAJI KWA WANAHABARI
6. KUTOA RUSHWA
7. NGONO ZEMBE
8. UUZAJI WA MADAWA YA KULEVYA
9. KAMPUNI HEWA KAMA DEEP GREEN NK
 
Kweli bana kwenye mikutano ya wanatoa matusi makubwa makubwa
eti ee wazalendo. Hivi nyie CHADEMA mnadhani hii nchi yenu pekee?
This is our country.
Mkuu Anna,

kwa mjibu wa Nape ni kwamba nchi hii inawenye na wenye ni Chama cha Mabwepande vipi unapigana na kauli ya wif yako.
 
Tunaangalia mbele CCM ndio Chama pekee angalau kinachoweza sio CHADEMA.
 
NDIYO wanaongoza KWA:
4. UMAFISI ADI
5. MAUAJI KWA WANAHABARI
6. KUTOA RUSHWA
7. NGONO ZEMBE
8. UUZAJI WA MADAWA YA KULEVYA
9. KAMPUNI HEWA KAMA DEEP GREEN NK
Ilo la ngono zembe mpe padre slaa watoto kibao bila ndoa
 
Back
Top Bottom