CCM Iringa mnatia aibu

yohana charles

Senior Member
Mar 21, 2013
134
10
Kutokana na agizo la TFF kwa baadhi ya viwanja kwamba lazima vifanyiwe ukarabati,kiwanja kimojawapo kikiwa ni SAMORA MEMORIAL STADIUM cha mjini Iringa kiwanja ambacho ni miongoni mwa viwanja nchini ambavyo CCM inadai ni mali yake.,ccm Iringa ikatangaza kuwa itafanyia ukarabati uwanja ule...kwa akili yangu nilidhan ile pitch nzima ingelimwa kwa greda then ingepigwa haro ili kupata level ndo nyasi mpya zingepandwa..nilishangaa kwa chama tawala,chenye miradi tele ya kuingiza pesa ETI pitch ya uwanja inakatuliwa kwa jembe la mkono, nilicheka saaana,kwa kuwa mbavu zilikuwa zinaniuma kwa kucheka ikabidi niondoke...USHAURI WA BURE KWENU CCM IRINGA,NENDENI MKAJIFUNZE KWA WENZENU CCM MBEYA NAMNA WANAVYOKARABATI UWANJA WA SOKOINE.!
 
hiki ni chama chakavu......na ukija kucheki gharama utaambiwa bilioni 4 zimetumika.... bulkshit...
 
Hawana uchungu nao. Walipora ule uwanja kutoka kwa wananchi ambao waliujenga kwa jasho lao. Ni bora tu wangeurejesha serikalini
 
Back
Top Bottom