CCM ioneshe njia, ichague vyma..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM ioneshe njia, ichague vyma.....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mr. Tanganyika, Feb 9, 2011.

 1. Mr. Tanganyika

  Mr. Tanganyika Member

  #1
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 91
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Chama cha Mapinduzi kupitia kwa wabunge wake kimelazimisha vyama vya siasa viunde kambi ya pamoja ya upinzani. Kwa kuwa siasa huongozwa na itikadi, basi CCM ioneshe njia kwa kuchagua vyama vyenye kufanana nayo na kuvipatia nafasi katika serikali yake, badala ya kulazimisha vyama hivyo kuungana na vile visivyofanana navyo ki-sera.
   
Loading...