johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,915
- 141,875
Unaweza kushangaa kwanini nasema CCM iingilie kati, ni kwa sababu ndio yenye ilani ya uchaguzi na sekta ya michezo na burudani imo ndani ya ilani.
Haiwezekani bodi ya ligi ipewe mgao mkubwa wa fedha na wakati huo huo pawepo na makato mengine makubwa ya gharama za mchezo, tunajiuliza fedha wanazopewa bodi ya ligi zinafanya kazi gani.
CCM ingilieni kati haraka haya mambo yanaweza kutuletea shida wakati wa kampeni. Yanga wamelipwa 48% ya mapato na Simba ambao ni wageni wamepata 0%, ukiondoa kodi 18% bado fedha inayobaki kugharamia mchezo na ile wanayogawana mabwanyenye ni kubwa mno.
Mwakyembe fanya kitu tafadhali vilabu hivi vinaibiwa mchana kweupe.
Kila la kheri Simba SC
Maendeleo hayana vyama!