CCM ingilieni kati mgawanyo wa fedha mechi ya Simba na Yanga kuna wizi unaendelea pale TFF

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,894
141,827
Unaweza kushangaa kwanini nasema CCM iingilie kati, ni kwa sababu ndio yenye ilani ya uchaguzi na sekta ya michezo na burudani imo ndani ya ilani.

Haiwezekani bodi ya ligi ipewe mgao mkubwa wa fedha na wakati huo huo pawepo na makato mengine makubwa ya gharama za mchezo, tunajiuliza fedha wanazopewa bodi ya ligi zinafanya kazi gani.

CCM ingilieni kati haraka haya mambo yanaweza kutuletea shida wakati wa kampeni. Yanga wamelipwa 48% ya mapato na Simba ambao ni wageni wamepata 0%, ukiondoa kodi 18% bado fedha inayobaki kugharamia mchezo na ile wanayogawana mabwanyenye ni kubwa mno.

Mwakyembe fanya kitu tafadhali vilabu hivi vinaibiwa mchana kweupe.

Kila la kheri Simba SC
Maendeleo hayana vyama!
 
Sidhani kama analalamikia simba kupata 0% ila analalamikia baada ya wanachopata yanga 48 plus kodi 18% kinachobakia ni kikubwa sana na kinachukuliwa na TFF for doing nothing na timu ndio zinastahili kupata zaidi...Kama nimekusoma vyema
 
Hao TFF wanapokea hela nyingi wameshindwa kuwa na office bora kabisa, hapo kuna uwizi
Sidhani kama analalamikia simba kupata 0% ila analalamikia baada ya wanachopata yanga 48 plus kodi 18% kinachobakia ni kikubwa sana na kinachukuliwa na TFF for doing nothing na timu ndio zinastahili kupata zaidi...Kama nimekusoma vyema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kushangaa kwanini nasema CCM iingilie kati, ni kwa sababu ndio yenye ilani ya uchaguzi na sekta ya michezo na burudani imo ndani ya ilani.

Haiwezekani bodi ya ligi ipewe mgao mkubwa wa fedha na wakati huo huo pawepo na makato mengine makubwa ya gharama za mchezo, tunajiuliza fedha wanazopewa bodi ya ligi zinafanya kazi gani.

CCM ingilieni kati haraka haya mambo yanaweza kutuletea shida wakati wa kampeni. Yanga wamelipwa 48% ya mapato na Simba ambao ni wageni wamepata 0%, ukiondoa kodi 18% bado fedha inayobaki kugharamia mchezo na ile wanayogawana mabwanyenye ni kubwa mno.

Mwakyembe fanya kitu tafadhali vilabu hivi vinaibiwa mchana kweupe.

Kila la kheri Simba SC
Maendeleo hayana vyama!
Nimeshangaa, licha ya kwamba mgeni hapewi pesa ila yanga wameambulia chini ya asilimia 50. Huu ni wizi.
 
Unaweza kushangaa kwanini nasema CCM iingilie kati, ni kwa sababu ndio yenye ilani ya uchaguzi na sekta ya michezo na burudani imo ndani ya ilani.

Haiwezekani bodi ya ligi ipewe mgao mkubwa wa fedha na wakati huo huo pawepo na makato mengine makubwa ya gharama za mchezo, tunajiuliza fedha wanazopewa bodi ya ligi zinafanya kazi gani.

CCM ingilieni kati haraka haya mambo yanaweza kutuletea shida wakati wa kampeni. Yanga wamelipwa 48% ya mapato na Simba ambao ni wageni wamepata 0%, ukiondoa kodi 18% bado fedha inayobaki kugharamia mchezo na ile wanayogawana mabwanyenye ni kubwa mno.

Mwakyembe fanya kitu tafadhali vilabu hivi vinaibiwa mchana kweupe.

Kila la kheri Simba SC
Maendeleo hayana vyama!
Ccm ndo nani kwenye michezo? Soka lolote ukishaingiza siasa mtabakia wasindikizaji siku zote hutaki endeleeni na huo upuuzi wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kushangaa kwanini nasema CCM iingilie kati, ni kwa sababu ndio yenye ilani ya uchaguzi na sekta ya michezo na burudani imo ndani ya ilani.

Haiwezekani bodi ya ligi ipewe mgao mkubwa wa fedha na wakati huo huo pawepo na makato mengine makubwa ya gharama za mchezo, tunajiuliza fedha wanazopewa bodi ya ligi zinafanya kazi gani.

CCM ingilieni kati haraka haya mambo yanaweza kutuletea shida wakati wa kampeni. Yanga wamelipwa 48% ya mapato na Simba ambao ni wageni wamepata 0%, ukiondoa kodi 18% bado fedha inayobaki kugharamia mchezo na ile wanayogawana mabwanyenye ni kubwa mno.

Mwakyembe fanya kitu tafadhali vilabu hivi vinaibiwa mchana kweupe.

Kila la kheri Simba SC
Maendeleo hayana vyama!

Mmeingilia mahakama hamjatosheka, saa mnataka kuingilia na michezo. Ccm ni takukuru?
 
Back
Top Bottom