TeamCCM-2015
Senior Member
- Aug 19, 2015
- 112
- 44
Matokeo yaliyopo sasa yanaonyesha wazi kuwa CCM ingemsimamisha Lowasa ingepigwa mwereka mbaya sana.
Hongera CCM kwa kuliona hili mapema na pia hongera sana mwana wa kitanzania na mzalendo John Pombe Magufuli.
Hongera CCM kwa kuliona hili mapema na pia hongera sana mwana wa kitanzania na mzalendo John Pombe Magufuli.