CCM inawatakia sikukuu njema

CCM inawatakia sikukuu njema

Frey Cosseny

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
1,984
Reaction score
1,409
5bcef7c572d8cfd699ce267e3b448568.jpg
 
Wewe Frey Cosseny kwa umri sasa ni mzee lakini kila uchao wewe ni kujipendekeza na malumumba tu. Huwa inanipa shaka kama uwezo wako wa kufikiri uko sawasawa maana nikikuona jinsi unavyopigika mitaani kwa kukipiga vumbi hata baiskeli hauna inasikitisha sana.

Kwa muda wote huo tangu ujana wako na sasa uzee ilistahili uwe mtu unayejitegemea na kazi yako lakini umechagua kuwa kama wale punguani wanakaririshwa kuwa kusimama kwenye vijiwe vya shoe-shiners na kusifia maccm na baadaye kwenda kwenye vidirisha vya lumumba kuganga sh. 2000/= ndio uzalendo wa kweli hata kama maisha hayo ni ya kijinga.

Nashauri hiyo miaka yako kidogo iliyobaki ubuni kazi nyingine usaidie familia yako maana hiyo mijamaa unayoitangaza hapo pichani hainaga utu kwa watu maskini kama nyinyi.
 
Wewe Frey Cosseny kwa umri sasa ni mzee lakini kila uchao wewe ni kujipendekeza na malumumba tu. Huwa inanipa shaka kama uwezo wako wa kufikiri uko sawasawa maana nikikuona jinsi unavyopigika mitaani kwa kukipiga vumbi hata baiskeli hauna inasikitisha sana. Kwa muda wote huo tangu ujana wako na sasa uzee ilistahili uwe mtu unayejitegemea na kazi yako lakini umechagua kuwa kama wale punguani wanakaririshwa kuwa kusimama kwenye vijiwe vya shoe-shiners na kusifia maccm na baadaye kwenda kwenye vidirisha vya lumumba kuganga sh. 2000/= ndio uzalendo wa kweli hata kama maisha hayo ni ya kijinga. Nashauri hiyo miaka yako kidogo iliyobaki ubuni kazi nyingine usaidie familia yako maana hiyo mijamaa unayoitangaza hapo pichani hainaga utu kwa watu maskini kama nyinyi.

[emoji3]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom