kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,423
- 13,935
Hakuna mtu anayejiundia tume ili kujichunguza yeye mwenyewe namna alivyoutumia mshahara wake hovyo au alivyotumia hovyo mavuno yake shambani. Tangu 1961 CCM ilikuwepo Ikulu. Kusema ukweli ni CCM CCM CCM kwa kila kitu kizuri na kibaya Tanzania, over!!. Kama wananchi kweli wana dhamira ya kuitengeneza na kuitetea Tanzania waiweke CCM pembeni kwanza kwa miaka 5 ndio kila ukweli utafahamika. Hutaweza kuupata ukweli halisi kama kama kama kama hutaweza na huruhusiwi kuwahoji Waheshimiwa Ali Hassani Mwinyi, Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete.