Huyu fisadi nani amuogope mtu mwenyewe nguzo yake yote ni ufisadi tu.
Umesema sahihi, Lowasa alishiriki ufisadi wa Richmond, akabumburushwa na ku resign. Baada ya kuresign ame reform ama ameendelea kufasidi? Ufisadi mungapi umefanyika baada ya Lowasa?
1. Richmond = Lowasa +ccm + JK etal.
2. EPA ?? + ccm + JK etal
3. Kagoda ?? + ccm + ??
4. Meremeta ?? + ccm + ??
5. REA ?? + ccm + ??
6. Escrow JK etal +ccm + ??
7. Ujenzi wa bomba la gas ?? + ?? + ccm
List inaongezeka.
Ufisadi wote huo amefanya Lowasa? Kama wewe ni mkweli, kwa nini huongelei hizi fasidi zingine ambazo ni nyingi tu na kubwa za kutisha na wahusika wake?
Ukiongelea suala la Richmond, ni kweli lowasa alihusika, lakini unamwachaje mwenyekiti wenu wa chama? Kama mwenyekiti wa chama ni fisadi kiasi hicho, bado huoni aibu kujibainisha utiifu na ufuasi wako kwake, huku ukijitahidi kushwaishi uko upande wa Watanzania?
Sasa Lowasa amebadilika, na yuko tayari kupambana na mafisadi ikiwemo kusimamia rasimu ya ktiba ya Warioba. Unawezaje kumsakama huyu aliyebadilika ukayaacha maharamia yaliyoko huko ccm ambayo yanaendelea na ufisadi huku yakiapa kufa kwa kulinda ufisadi huo?
Uwe na aibu!