kwani walisema inakufaKwa kweli waliokuwa wanasema kikwete ccm itamfia mikononi mwake imekula kwao... hii ndo ccm ninayoijua mimi big up jk,kinana,nape,migiro kazi kweli mmeifanya na mnaifanya na mumeona jinsi wananchi walivyona matumaini na imanj na ccm na serikali... zungukeni nchi nzima toeni sumu za machafuko chuki uongo zilizosemwa na kina lema sugu mbowe slaa msigwa
munajipa moyo wakat munapumulia mashine, mukafie mbali huko.Kwa kweli waliokuwa wanasema kikwete ccm itamfia mikononi mwake imekula kwao... hii ndo ccm ninayoijua mimi big up jk,kinana,nape,migiro kazi kweli mmeifanya na mnaifanya na mumeona jinsi wananchi walivyona matumaini na imanj na ccm na serikali... zungukeni nchi nzima toeni sumu za machafuko chuki uongo zilizosemwa na kina lema sugu mbowe slaa msigwa
Chama cha wachaga ndio hatari kuliko vitu vyote Tanzania hii