CCM inarudi kuwa imara maradufu

CCM inarudi kuwa imara maradufu

Kwani ilikufa?Haiwezi kurudi kirahisi hivyo.Eti Kinana kuhutubia tu ndiyo imerudi.Na mzee mwenyewe ndiye anaye tu malizia tembo wetu.Shame on you!
 
Wachaga nao ni watanzania, siyo? Au mama yako alikwambiaje?

Nasikia baada ya propaganda kuwa chadema ni chama cha kidini, naona mmejitahidi kujisajili kwa majina haya, ya akina Haji Salum, ASHA Mohammed n.k ili ionekane kuwa hata kina haji na wazaramo pia wamo! Yangu macho
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli waliokuwa wanasema kikwete ccm itamfia mikononi mwake imekula kwao... hii ndo ccm ninayoijua mimi big up jk,kinana,nape,migiro kazi kweli mmeifanya na mnaifanya na mumeona jinsi wananchi walivyona matumaini na imanj na ccm na serikali... zungukeni nchi nzima toeni sumu za machafuko chuki uongo zilizosemwa na kina lema sugu mbowe slaa msigwa
Mzee wa kuuza pembe za ndovu.Mna laana nyie
 
Nasikia baada ya propaganda kuwa chadema ni chama cha kidini, naona mmejitahidi kujisajili kwa majina haya, ya akina Haji Salum, ASHA Mohammed n.k ili ionekane kuwa hata kina haji na wazaramo pia wamo! Yangu macho
mkuu ili kupata ajira kwa kikwete majina hayo yana hitajika.Ngoja atawale mwingine watakongoloa mabaibui yote hayo
 
Mkutano unafanyika kyela raia wanasombwa toka iringa ili mjaze mkutano
 
Nasikia baada ya propaganda kuwa chadema ni chama cha kidini, naona mmejitahidi kujisajili kwa majina haya, ya akina Haji Salum, ASHA Mohammed n.k ili ionekane kuwa hata kina haji na wazaramo pia wamo! Yangu macho[/QUOTE
We nenda kwa Kikwete sema wewe ni Hemed bin Jumaa bin hemed kamahuja ukwaa ukuu wa wilaya
 
CCM wanajiandaa kisaikolojia kuwa wapinzani wewe unasema wamerudi kuwa imara.
 
Udini udini haukusaidi we mshamba hautokusaidia zaidi ya kukubomoa
Nasikia baada ya propaganda kuwa chadema ni chama cha kidini, naona mmejitahidi kujisajili kwa majina haya, ya akina Haji Salum, ASHA Mohammed n.k ili ionekane kuwa hata kina haji na wazaramo pia wamo! Yangu macho
 
Last edited by a moderator:
Nasikia baada ya propaganda kuwa chadema ni chama cha kidini, naona mmejitahidi kujisajili kwa majina haya, ya akina Haji Salum, ASHA Mohammed n.k ili ionekane kuwa hata kina haji na wazaramo pia wamo! Yangu macho
Mkuu tuna tumia hayo kupata kibarua Kwa Kikwete.Yule si mzee wa dini?
 
Labda inaludi nyuma kwa nguvu.msoga kwenyewe wameichoka sasa sijui inaludi wapi huko wasipo jitambua.
 
Nasikia baada ya propaganda kuwa chadema ni chama cha kidini, naona mmejitahidi kujisajili kwa majina haya, ya akina Haji Salum, ASHA Mohammed n.k ili ionekane kuwa hata kina haji na wazaramo pia wamo! Yangu macho
Mkuu majina ya kupatia unga hayo,We ukienda kwa kikwete useme una itwa Hussen bin Addul BIn Mabruku Umeula.Kama si ukuu wa wilaya basi ukurugenzi
 
Kwa kweli waliokuwa wanasema kikwete ccm itamfia mikononi mwake imekula kwao... hii ndo ccm ninayoijua mimi big up jk,kinana,nape,migiro kazi kweli mmeifanya na mnaifanya na mumeona jinsi wananchi walivyona matumaini na imanj na ccm na serikali... zungukeni nchi nzima toeni sumu za machafuko chuki uongo zilizosemwa na kina lema sugu mbowe slaa msigwa
Kama watu ni wajinga kama wewe ita wezekana.Unawashabikia wezi na walarushwa,wanaouza madini yetu kwa wageni.Kwakweli lazima uwe zuzu kuongea hivyo
 
ccm rudisheni minofu ya samaki kwanza wanayokula wazungu ili watu wetu wasiendelee kula mapanki.
 
Back
Top Bottom