akili kidogo
Member
- Jun 23, 2023
- 5
- 5
Samahani Mkuu mimi niko huku Namtumbo mtandao ni shida kidogo.....,Ngoja
Mkapa 2000 alishindanishwa na nani?
Kikwete 2010 alishindanishwa na nani?
Shujaa Magufuli 2020 alishindanishwa na nani?!
Niko pale......
Yan wanamwona hatoshi, na hizi kelele zinaongozwa kwa kiasi kikubwa na Waziri Mkuu wake. UDHALILISHAJI at the very best!Bila aibu, baadhi ya viongozi wa CCM wanafanya vitendo vya kumdhalilisha Rais Samia.
Tumesikia kelele za baadhi ya viongozi wa CCM kuwa eti mwaka 2025, kwa upande wa CCM, itachapishwa fomu moja tu ya mgombea wa Urais, nayo atapewa Rais Samia.
Mimi nauona huu udhalilishaji dhidi ya Rais. Tafsiri ya kuchapisha fomu moja ni kwamba Rais Samia akishindanishwa, hawezi kushinda. Je, fikra hizo zina ukweli wowote? Kwa nini wamfanyie hivyo Rais Samia?
Ni nani hao ambao wanaamini kuwa Rais Samia akishindanishwa nao, hawezi kuwashinda? Ni hawa hawa wateule wake au kuna wengine?
Kwa mujibu wa Katiba awamu ya kwanza ya Dr Samia ilianzia 19/03/2021Samahani Mkuu mimi niko huku Namtumbo mtandao ni shida kidogo.....,
Naomba unikumbushe awamu ya kwanza aliyogombea Rais Samia Suluhu Hassan ilikuwa mwaka gani na alipita kwa kura ngapi..? Labda naweza pata jambo la kuwafundisha vijana wenzangu leo jioni baada ya shughuli za Shamba.
Samahani lakini kwa kuniona mjinga na nisiye na akili kwa kuuliza kitu kama hiki labda kipindi hicho nilikuwa bado sijapata simu si unajua huku kijijini mpaka msimu uishe ndo unaweka laki mfukoni😁
Hakupitia mchujo wowote, na hakuwahi kugombea Urais.Kwa mujibu wa Katiba awamu ya kwanza ya Dr Samia ilianzia 19/03/2021
Hawakushindanishwa na yeyote kwa sababu walijua kuwa wakishindanishwa hawawezi kushinda. Na wala hawakuwa na 4Rs.Ngoja
Mkapa 2000 alishindanishwa na nani?
Kikwete 2010 alishindanishwa na nani?
Shujaa Magufuli 2020 alishindanishwa na nani?!
Niko pale......
nchi ina matahira wengi sana, jitu mpaka leo halijui hata utaratibu wa CCM mgombea anapogombea awamu ya pili.
ngoja nikuulize mleta mada, eti una mtoto?
Nani kakudanganya? Awamu ni Rais.... hata wakiachama miaka 2 pekee bado awamu zinabadilikaJPM alifariki mwaka 2021 ikiwa ni mwaka mmoja baada ya kipindi chake cha pili na cha mwisho, cha miaka mingine mitano kuanza. Japo demokrasia ilibakwa katika ufachuzi wa 2020, lakini ushindi wake ndiyo uliokuwa unaenda kuhitimisha kipindi chake cha utawala wa miaka kumi ya awamu ya tano.
Kwa bahati mbaya kifo chake kilipelekea awamu yake ipokelewe na makamu wake. Huyu alikipokea kijiti ili kukidhi takwa la kikatiba katika kuihitimisha awamu ya tano.
Jambo hili lilikuwa ni kukidhi takwa la kikatiba la "transition of power" kwa kuwa mtawala aliyekuwepo madarakani alikiachia kiti chake cha urais. na Rais mpya ikapaswa akikalie kiti hicho kwa miaka minne iliyobakia. Awamu mpya hutokea kila baada ya miaka kumi ya utawala wa Rais aliyeshirikiv na kuchaguliwa katika uchaguzi mkuu.
Huyu anatakiwa ashindanishwe hakuwa Rais awamu ya kwanza.Ngoja
Mkapa 2000 alishindanishwa na nani?
Kikwete 2010 alishindanishwa na nani?
Shujaa Magufuli 2020 alishindanishwa na nani?!
Niko pale......
Nchi hii watu wengi wana matatizo ya kuhifadhi kumbukumbu !Ngoja
Mkapa 2000 alishindanishwa na nani?
Kikwete 2010 alishindanishwa na nani?
Shujaa Magufuli 2020 alishindanishwa na nani?!
Niko pale......
Kwa usemavyo wewe kumbe 2025 samia atagombea awamu ya pili na siyo kweli kwamba anamalizia miaka ya shujaa mwendazake kikatiba.nchi ina matahira wengi sana, jitu mpaka leo halijui hata utaratibu wa CCM mgombea anapogombea awamu ya pili.
ngoja nikuulize mleta mada, eti una mtoto?
Exactly. Maajabu yaliyopo ni huyu aliyepewa kumalizia awamu ya tano, anapoibadilisha jina na kuiita awamu ya 6 kumbe lengo aseme awamu ya 6 muhula wa kwanza.JPM alifariki mwaka 2021 ikiwa ni mwaka mmoja baada ya kipindi chake cha pili na cha mwisho, cha miaka mingine mitano kuanza. Japo demokrasia ilibakwa katika ufachuzi wa 2020, lakini ushindi wake ndiyo uliokuwa unaenda kuhitimisha kipindi chake cha utawala wa miaka kumi ya awamu ya tano.
Kwa bahati mbaya kifo chake kilipelekea awamu yake ipokelewe na makamu wake. Huyu alikipokea kijiti ili kukidhi takwa la kikatiba katika kuihitimisha awamu ya tano.
Jambo hili lilikuwa ni kukidhi takwa la kikatiba la "transition of power" kwa kuwa mtawala aliyekuwepo madarakani alikiachia kiti chake cha urais. na Rais mpya ikapaswa akikalie kiti hicho kwa miaka minne iliyobakia. Awamu mpya hutokea kila baada ya miaka kumi ya utawala wa Rais aliyeshirikiv na kuchaguliwa katika uchaguzi mkuu.
Benard Membe (RiP) alitaka kuchukua fomu ya kugombea urais kupitia ccm 2020 dhidi ya jiwe, mkamuwahi, mkamfukuza uanachama wa ccm..Ngoja
Mkapa 2000 alishindanishwa na nani?
Kikwete 2010 alishindanishwa na nani?
Shujaa Magufuli 2020 alishindanishwa na nani?!
Niko pale......
Aliyeleta hii mada ni mbobefu sana kwenye siasa. Unataka kumzalia mtoto mpaka unauliza kama ana mtoto. Heshimu watu dada yangu.nchi ina matahira wengi sana, jitu mpaka leo halijui hata utaratibu wa CCM mgombea anapogombea awamu ya pili.
ngoja nikuulize mleta mada, eti una mtoto?
Swali kwako na wenzio.Ngoja
Mkapa 2000 alishindanishwa na nani?
Kikwete 2010 alishindanishwa na nani?
Shujaa Magufuli 2020 alishindanishwa na nani?!
Niko pale......
Uzuri ni kwamba wakati wingine kile unachokisema sicho unachomaanisha.Kwa mujibu wa Katiba awamu ya kwanza ya Dr Samia ilianzia 19/03/2021
Habari ndio hiyo......hata Magu asingemshinda Membe.Bila aibu, baadhi ya viongozi wa CCM wanafanya vitendo vya kumdhalilisha Rais Samia.
Tumesikia kelele za baadhi ya viongozi wa CCM kuwa eti mwaka 2025, kwa upande wa CCM, itachapishwa fomu moja tu ya mgombea wa Urais, nayo atapewa Rais Samia.
Mimi nauona huu udhalilishaji dhidi ya Rais. Tafsiri ya kuchapisha fomu moja ni kwamba Rais Samia akishindanishwa, hawezi kushinda. Je, fikra hizo zina ukweli wowote? Kwa nini wamfanyie hivyo Rais Samia?
Ni nani hao ambao wanaamini kuwa Rais Samia akishindanishwa nao, hawezi kuwashinda? Ni hawa hawa wateule wake au kuna wengine?
Unapaswa kuelewa kuwa awamu ya Samia ndo inaisha hivyo hawezi kugombea awamu ya tatu...au mmesahau kuwa makamu wa raisi ni raisBila aibu, baadhi ya viongozi wa CCM wanafanya vitendo vya kumdhalilisha Rais Samia.
Tumesikia kelele za baadhi ya viongozi wa CCM kuwa eti mwaka 2025, kwa upande wa CCM, itachapishwa fomu moja tu ya mgombea wa Urais, nayo atapewa Rais Samia.
Mimi nauona huu udhalilishaji dhidi ya Rais. Tafsiri ya kuchapisha fomu moja ni kwamba Rais Samia akishindanishwa, hawezi kushinda. Je, fikra hizo zina ukweli wowote? Kwa nini wamfanyie hivyo Rais Samia?
Ni nani hao ambao wanaamini kuwa Rais Samia akishindanishwa nao, hawezi kuwashinda? Ni hawa hawa wateule wake au kuna wengine?
Kwa Mh. KIKWETE- 2010 kama sikosei alijaribu SHIBUDA akahama na Chama kabisa....Ngoja
Mkapa 2000 alishindanishwa na nani?
Kikwete 2010 alishindanishwa na nani?
Shujaa Magufuli 2020 alishindanishwa na nani?!
Niko pale......
Kwa mujibu wa Katiba muhula wa pili KWAKE utaisha 2030, hivyo sasa hivi Yupo muhula wa kwanza na Kwa Utamaduni wa CCM uliozoeleka Huwa hakuna haja ya kuwapa fomu wengi wakati Yupo tayari aliyeanza kutekeleza Ilani muhula wa kwanza. HUKO CHADEMA, Uchaguzi wa Mwenyekiti unapofanyika anayejaribu kuleta upinzani hutazamwa negatively......Muulize Cecil Mwambe....huyu hajawahi kuwa rais kwa kupigiwa kura na watanzania pia na ccm wenyewe haijawahi tokea. Hivyo inatakiwa wachapishe fomu nyingi ndani ya chama ili kila anayetaka kujipima na achukue fomu wachujane huko alafu waje nje watuimbie nyimbo zao za demokrasia tofauti na hapo ni uhuni wa watu wachache ndani ya chama ndio unataka utawale