CCM inaligawa taifa, Rais Magufuli ingilia kati

Hilo ni funzo kwa chadema kwamba watumie pesa za ruzuku kusaidia watu siyo kujilipa perdiem za mikutano. Viva ccm mjikita kwenye matatizo ya watu na chadema wanataka kutafuna hela tu na huo ndo utpfauti kati ya wachaga na ccm ya wanyonge
Hivi unaelewa mantiki hasa ya jambo hili au unaongea tu?
 
Sasa ndugu umeshindwa nini kuona kuwa "Rais wetu kipenzi John Pombe Magufuli" ndio mwenyekiti wa CCM taifa, na maamuzi makubwa yanafanywa na vikao ambavyo ana-chair yeye?
Mkuu kabla hujaona hilo mimi nilishaliona na kuliwekea pazia
 
KWANZA UFANYIKE UHAKIKI KAMA WANAOTUONGOZA WAMETAHIRIWA MBONA BAADHI YA MAAMUZI NI KAMA YANAFANYWA NA WENYE MIKONO YA SUETA? Pendekeza tuanze na nani.
 
KWANZA UFANYIKE UHAKIKI KAMA WANAOTUONGOZA WAMETAHIRIWA MBONA BAADHI YA MAAMUZI NI KAMA YANAFANYWA NA WENYE MIKONO YA SUETA? Pendekeza tuanze na nani.
 
Ni yatima,ni watu wenyeulemavu, na wanawazazi wenye ulemavu...........

Chama kinachoshughulika na shida za watu.......

Kwa jinsi raia wa upinzani wanavyochangia humu ndomana CCM inashinda kila uchaguzi....


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom