CCM inaligawa taifa, Rais Magufuli ingilia kati

Hivi form za kuombea mikopo za Loan Board huwa hakuna sehemu zinahitaji physical condition ya mwanafunzi? Kuna siku other physically challenged individuals wataibukia kwa Polepole kwenda kuomba kazi au hela ya matibabu. Huyu kilaza hajui alitendalo
 
"Nashukuru Kigoma mlichagua sana CCM na wabunge wengi ni wa CCM, mimi ni Rais wa wote bila kujali vyama vyao, wabunge wote nitashirikiana nao hata na hako kanakotokana na CHADEMA (Mh Kasuku Bilago) katakuwemo tu, ila Buyungu siku nyingine mchague vizuri, huyu mbunge ananiomba maji kama ana uwezo si alete yeye? Miradi yote inaletwa na CCM"

JPM, Kakonko, 21/07/2017.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maneno haya ameyasema jana, je ni ya kweli au.....? Kama hivi ndivyo asemavyo, kweli hapa kazi tunayo.

sent from kimeo cha kuazima
 
tulia ujifunze namna sahihi ya kuhudumia wananchi.

Vyama vya kitapeli kamwe havijawahi kuwa karibu na watu wake.

kama nyie fedha za ruzuku mnazitumbua bila mpango ; ccm inazitumia zake kwa wapiga kura wake.
 
Yeriko unaongea kama unavuta bangi mimi nina ndugu yangu CCM tena kada wa umoja wa vijana kanyimwa mkopo kisa kasoma shule za private wakati mama yake mama nitile amekopa mikopo ya pride kibao .Weka data.Sasa hivi mzigo umetuangukia ndugu sababu yeye kasoma sayansi na vigezo vya bodi ya mikopo vilikuwa vinataka aliyesoma sayansi na anaenda kuchukua digrii ya sayansi apewe mkopo.Magufuli alivyoingia akabadilisha kwa hili kusema WanA CCM ndio wanapata mikopo elimu ya juu ni uongo
Wewe kikuku hebu angalia umeandika nini na mtoa mada kasema nini???
 
Kama serikali yetu sikivu ya Rais wetu kipenzi John Pombe Magufuli haitaingilia kati kuzuia "upuuzi" huu unaofanywa na chama cha Mapinduzi chini ya akina Hamfrey Polepole, tutarajie kesho kutatangaziwa kuwa wale wanachama wote wa CCM wanaoumwa na hawana hela ya kutibiwa Muhimbili waende Ofisi za CCM Lumumba dawa na vipimo vya CT Scan vinagawiwa pale bureee.

Tafsiri yake ni kuwa ccm inatengeneza sera zisizotekelezeka ili watu wakose mikopo na kisha itumie tatizo hili kwa vijana wetu kujinufaisha kisiasa, kwamba ili upate mkopo lazima uwe na kadi ya ccm tena uende Lumumba,

Kumbuka ccm hii ndio inayoongoza serikali, yaani ile bodi ya mikopo kwa wanafunzi ipo chini ya serikali ya ccm, iweje ccm hii badala ya kuishauri serikali wanafunzi wapateje mikopo, ati inasema vijana wakapange foleni Lumumba ili kupata mikopo???

Hivi tukisema ccm imekwenda kuchota pesa ya umma kule bodi ya mikopo na kuzihamishia vichochoro vya Lumumba na kisha kutoa mikopo hiyo kwa vijana kwa sharti uwe mwanaccm, Wanaweza kujiteteaje?

Nawahakikishia ccm mnaligawa taifa mchana kweupe, na laana hiii haitawaacha salama... Kama ccm inamsaada huo ipeleke mojakwamoja bodi ya mikopo ili vijana wetu Wakitanzania wote bila kujali itikadi za kisiasa wakapate mikopo hiyo...

Rais wangu Magufuli ingilia kati hili, ccm wanakuhujumu mchana kweupe!

Na Yericko Nyerere

View attachment 547617
Yericko, haya si ya CCM pekee ni pamoja na mwenyekiti wao si kwamba hajui yeye ndiye mastermind wa yote haya yanayotokea...
 
Ukiweza kuishi Bongo Jehanamu utapeta aise

Send from Nokia batani
 
Kama serikali yetu sikivu ya Rais wetu kipenzi John Pombe Magufuli haitaingilia kati kuzuia "upuuzi" huu unaofanywa na chama cha Mapinduzi chini ya akina Hamfrey Polepole, tutarajie kesho kutatangaziwa kuwa wale wanachama wote wa CCM wanaoumwa na hawana hela ya kutibiwa Muhimbili waende Ofisi za CCM Lumumba dawa na vipimo vya CT Scan vinagawiwa pale bureee.

Sasa ndugu umeshindwa nini kuona kuwa "Rais wetu kipenzi John Pombe Magufuli" ndio mwenyekiti wa CCM taifa, na maamuzi makubwa yanafanywa na vikao ambavyo ana-chair yeye?
 
Hilo ni funzo kwa chadema kwamba watumie pesa za ruzuku kusaidia watu siyo kujilipa perdiem za mikutano. Viva ccm mjikita kwenye matatizo ya watu na chadema wanataka kutafuna hela tu na huo ndo utpfauti kati ya wachaga na ccm ya wanyonge
 
Back
Top Bottom