CCM inaligawa taifa, Polepole anazunguka nchi nzima anafanya mikutano anatisha watumishi wa umma, wapinzani ni marufuku

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Huu ubaguzi wa kichama unalipeleka taifa kubaya sana na cha ajabu aliyekuwa anakea ubaguzi huu wakati wa katiba mpya ndio mpiga kampeni za ubaguzi kwa maslai ya chama chake.

Agenda za ziara ya polepole nchi nzima na agenda ya ccm kuelekea 2020.

1. Kuhakikisha madiwani wote hasa wa chadema wanaenda ccm na wenyeviti wa mitaa.

2. Watakao goma hakuna kupelea fedha za maendeleo katika kata na mitaa.

3. Hakuna ruhusa ya wapinzani kufanya mikutano, maandamano ya kisiasa japokuwa ninkunyume cha sheria na katiba.

4. Warumishi wa umma ambao hawana kadi ya ccm waondoleww kwenye nyadhifa zao au wajiunge na ccm

5. Polisi kuhakikisha wanawadhibiti wapinzani kwa njia yoyote ile na kuhaidiwa kukumbukwa

6. Kuongeza nguvu kwa uvccm na green guard kulinda chama na watakao kaidi wafanywe chochote na polisi na tiss watafuta ushahidi

7. Wafanyabiashara na matajiri kubanwa hasa na TRA kama uko upinzani mpka utakaporudi ccm

8. Watumishi wote lazima wasikilize viongozi wa ccm wanachosema ndio wafuate na sio vonginevyo. Inamaana hapa sio sheria na taratibu bali maamuzi ya kiongozi wa ccm wale vilaza bdio wanapanga nini kifanyike

9. Majimbo ya upinzani hakuna kupeleka bajeti ya maendeleo na kuhakikisha yanarudi ccm mwaka 2020 hilo ni agizo kwa DED wote.

10. Tume ya uchaguzi kuhakikisha wasimamizi wa ichaguzi ni watu kutoka ccm pekee.

11. Ccm kwanza wananchi baadae.

Hii ndio ccm mpya ya magufuli

Source: ziara ya polepole nyanda za juu kusini
 
Nyie mbulula kwa nn msiende mahakamani, chadema kimekuwa chama cha kulalamika siku hizi baada ya kutafakari hatua za kuchukua .poor chadema,poor mashinji,poor mbowe
Mahakama zao ni social networks, Jaji mkuu ni kimambi,mawakili ni wafuasi wao na Hukumu ni maandamano na matusi ya kwenye social networks.
 
Huu ubaguzi wa kichama unalipeleka taifa kubaya sana na cha ajabu aliyekuwa anakea ubaguzi huu wakati wa katiba mpya ndio mpiga kampeni za ubaguzi kwa maslai ya chama chake.

Agenda za ziara ya polepole nchi nzima na agenda ya ccm kuelekea 2020.

1. Kuhakikisha madiwani wote hasa wa chadema wanaenda ccm na wenyeviti wa mitaa.

2. Watakao goma hakuna kupelea fedha za maendeleo katika kata na mitaa.

3. Hakuna ruhusa ya wapinzani kufanya mikutano, maandamano ya kisiasa japokuwa ninkunyume cha sheria na katiba.

4. Warumishi wa umma ambao hawana kadi ya ccm waondoleww kwenye nyadhifa zao au wajiunge na ccm

5. Polisi kuhakikisha wanawadhibiti wapinzani kwa njia yoyote ile na kuhaidiwa kukumbukwa

6. Kuongeza nguvu kwa uvccm na green guard kulinda chama na watakao kaidi wafanywe chochote na polisi na tiss watafuta ushahidi

7. Wafanyabiashara na matajiri kubanwa hasa na TRA kama uko upinzani mpka utakaporudi ccm

8. Watumishi wote lazima wasikilize viongozi wa ccm wanachosema ndio wafuate na sio vonginevyo. Inamaana hapa sio sheria na taratibu bali maamuzi ya kiongozi wa ccm wale vilaza bdio wanapanga nini kifanyike

9. Majimbo ya upinzani hakuna kupeleka bajeti ya maendeleo na kuhakikisha yanarudi ccm mwaka 2020 hilo ni agizo kwa DED wote.

10. Tume ya uchaguzi kuhakikisha wasimamizi wa ichaguzi ni watu kutoka ccm pekee.

11. Ccm kwanza wananchi baadae.

Hii ndio ccm mpya ya magufuli

Source: ziara ya polepole nyanda za juu kusini
Unaandika kwa hisia au unazo fact?
Mahakama ziko wazi bila shaka waweza peleka huu ushahidi tuokoe nji
 
Chagadema bwana ,mnasubiri polepole magu aongee ndo mje na hoja kinzani hapa ni ujinga mtupu mbona nchii hii INA mambo mengi ya kusema bila hata kukwaruzana na serikali.
 
Unaandika kwa hisia au unazo fact?
Mahakama ziko wazi bila shaka waweza peleka huu ushahidi tuokoe nji
Mteite hajastaafu bali kaenda likizo yake ya mwaka na akirudi anakutana na kesi itakayofungiliwa na cdm! Unategemea hukumu ya haki hapo? Isitoshe boss wao aliwahi kuiambia mahakama juu ya mahakimu wanaotoa hukumu za kuiona ccm ina hatia wajiangalie kwani haiwezekani ccm ishindwe kila mara!
 
Kamati Kuu ya CHADEMA ikutane na kutoa tamko la kushirikia maandamano yaliyopangwa.

CUF,ACT na NCCR nao wafanye hivyo hivyo lasivyo 2020 kutakuwa hakuna mpinzanu hata mmoja Bungeni.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
CHADEMA wakaidai haki mahakamani wasiogope hata kama majaji ni wapo upande Fulani wasiogope haki inapatikana hata kwa kuchelewa
 
Back
Top Bottom