n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,543
- 7,272
Mkong'oto upo pale pale.
Mwisho wa siku watasema ccm wamerusha mawe kwenye ofisi za chadema
Chakubanga amewaingiza choo cha kike.Kumtoa Adadi Rajabu Muheza na kumuweka Mwana FA CCM mmechemka. Adadi alishinda kura za maoni. Amekua mbunge kwa miaka mitano lakini amefanya mengi.
Mwaka huu mnapoteza jimbo kijinga sana. Mwana FA hafahamiki Muheza. Adadi ni kaka wa watu wengi. Wengi wamesoma na wadogo zake na anasaidia wengi. Mjifunze kufuata kinachopendwa na wananchi si mnachopenda nyinyi.
Huu mchezo ulioanzishwa hapa JF ni upuuzi mtupu.Hii post inasubiri kupitiwa na Moderators ili iende kwa umma!
Sasa kama moderator ni pandikizi ujue hutoboi.
Wamevimba madaraka
Soon wataiachia usiwazeHuu mchezo ulioanzishwa hapa JF ni upuuzi mtupu.
Nimeandika thread jukwaa la siasa sasa inakaribia saa nzima wameikalia tu mods, inakera sana.
At least ccm wanaweka maendeleo, Sasa chama cha Mbowe umepata nini zaidi ya matusi na jazba maana najua huwezi pata chochote kwenye hilo genge la wahuni.Huu ni ukweli mtupu! Chama kinalazimisha kupendwa, hakiko kabisa mioyoni mwa watu! Hii ni hatari! Tujisahihishe! Tusiwe kama mbuni akiona adui kufukia kichwa ardhini mwili wote uko nje! Na pia tukumbuke binadamu tumeumbwa na hurka ya kukinai vitu hata kama ni vizuri! Kuchokwa siyo dhambi ila tukilazimisha kwa sababu ya njaa zetu na kunufaika na mfumo tutaishia kubaya!