CCM inakaribia kukataa roho, tuongeze kuni

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,702
1. Ndani ya CCM hakupo shwari kuna mpasuko mkubwa.

2. Wanalalamika mgombea wao kujiteua yeye mwenyewe kimaigizo ndio maana hakuna anaye mnadi zaidi ya machawa.

3. Serikalini nao wamechoshwa na CCM hasa uongozi wa sasa ndio maana wanafanya mambo hovyo kuichafua CCM.

4. Vyombo vya ulinzi navyo hali si shwari, wamechoka na maagizo toka juu.

mambo ni moto hadi oct 2025, mambo yatakuwa yameharibika sana, tena sana.
 
karma is real
Aliyofanya kwa magufuri kuzani rahisi ndio yanamkuta.
Ile kuambiwa hata kufa siku hizi masheikh wanashinda ikulu na waganga kumpa makombe.
 
True, karma is real
 
1. Ndani ya CCM hakupo shwari kuna mpasuko mkubwa.

2. Wanalalamika mgombea wao kujiteua yeye mwenyewe kimaigizo ndio maana hakuna anaye mnadi zaidi ya machawa.

3. Serikalini nao wamechoshwa na CCM hasa uongozi wa sasa ndio maana wanafanya mambo hovyo kuichafua CCM.

4. Vyombo vya ulinzi navyo hali si shwari, wamechoka na maagizo toka juu.

mambo ni moto hadi oct 2025, mambo yatakuwa yameharibika sana, tena sana.
 
Attachments

  • f0482c69af97a65b8a0c538e2dd1f83d_1749630156784.mp4
    1.3 MB
1. Ndani ya CCM hakupo shwari kuna mpasuko mkubwa.

2. Wanalalamika mgombea wao kujiteua yeye mwenyewe kimaigizo ndio maana hakuna anaye mnadi zaidi ya machawa.

3. Serikalini nao wamechoshwa na CCM hasa uongozi wa sasa ndio maana wanafanya mambo hovyo kuichafua CCM.

4. Vyombo vya ulinzi navyo hali si shwari, wamechoka na maagizo toka juu.

mambo ni moto hadi oct 2025, mambo yatakuwa yameharibika sana, tena sana.
Kabisa tuendelee kushika hapo hapo hadi ccm ikate moto.
 
1. Ndani ya CCM hakupo shwari kuna mpasuko mkubwa.

2. Wanalalamika mgombea wao kujiteua yeye mwenyewe kimaigizo ndio maana hakuna anaye mnadi zaidi ya machawa.

3. Serikalini nao wamechoshwa na CCM hasa uongozi wa sasa ndio maana wanafanya mambo hovyo kuichafua CCM.

4. Vyombo vya ulinzi navyo hali si shwari, wamechoka na maagizo toka juu.

mambo ni moto hadi oct 2025, mambo yatakuwa yameharibika sana, tena sana.
Bange mbichi
 
Ulishaacha pombe?
 
Naomba niape hapa JF, kama anayosema huyu mtoa post ni kweli na siku yakiwekwa hadharani, basi mimi Mtoto wa Shule NIKATWE KICHWA CHANGU HADHARANI pale kwenye Uwanja wa CCM Kirumba!
 
Back
Top Bottom