eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,355
- 16,401
Kuna uchaguzi wa marudio wa kata 43 huu uchaguzi utawashangaza wengi
Na utakuwa fundisho kwa ccm na utawala huu wa magufuli kuelekea 2020 jinsi watanzania walivyochoka na umaskini wao kuendelea kukua kwa kasi ya ajabu
Yangu macho