Sungusunguu
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 1,280
- 998
Ngumu sana kumshabikia mchezaji ukiwa huna mapenzi na timu yake.Kweli binadamu tumegawanyika kifikra na tumetofautiana pakubwa!
Mimi ni muumini wa mtu na si chama.
Anavyotawala Jpm navutiwa naye sana kwa jinsi anavyoleta maendeleo ya nchi kwa haraka ingawa mimi si mwana ccm wala Cdm na sishabikii chama chochote kwa sasa.
Kabla ya uchaguzi 15' nilivutiwa sana na Dr Slaa na nilijiandaa kumpigia kura lakini nikavurugwa!
Ingawa mfumo wetu wa utawala, mgombea hadi atokane na chama, binafsi nilishashindwa kushabikia chama, ninajikita na mgombea tu, nashindwa kuelewa kwanini hawataki kuruhusu mgombea binafsi!
Labda Jpm angelikisafisha ccm inavyotakiwa, ningelikifuata, lkn bado sura ni zilezile zilizokuwa zinaimba ....' tunaimani na.....' zipo na hao ndiyo wanamaslahi waliolivuruga taifa, hivyo bado kuna mizizi iliyooza hajaisafisha, siwezi shabikia.
Ukija Cdm, sina mpango wa kuwekeza akili zangu huko, labda nitemee mate chini nisikufuru, maana mwezi october ni mbali wanaweza wakateua mgombea 'wamaana' ambaye anaweza kunivutia na kunibadili mawazo.
Lakini kama watakuwa hawa hawa wajelajela original, nasema mapema kabisa 'big nooooo'.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16]wajela jela originalKweli binadamu tumegawanyika kifikra na tumetofautiana pakubwa!
Mimi ni muumini wa mtu na si chama.
Anavyotawala Jpm navutiwa naye sana kwa jinsi anavyoleta maendeleo ya nchi kwa haraka ingawa mimi si mwana ccm wala Cdm na sishabikii chama chochote kwa sasa.
Kabla ya uchaguzi 15' nilivutiwa sana na Dr Slaa na nilijiandaa kumpigia kura lakini nikavurugwa!
Ingawa mfumo wetu wa utawala, mgombea hadi atokane na chama, binafsi nilishashindwa kushabikia chama, ninajikita na mgombea tu, nashindwa kuelewa kwanini hawataki kuruhusu mgombea binafsi!
Labda Jpm angelikisafisha ccm inavyotakiwa, ningelikifuata, lkn bado sura ni zilezile zilizokuwa zinaimba ....' tunaimani na.....' zipo na hao ndiyo wanamaslahi waliolivuruga taifa, hivyo bado kuna mizizi iliyooza hajaisafisha, siwezi shabikia.
Ukija Cdm, sina mpango wa kuwekeza akili zangu huko, labda nitemee mate chini nisikufuru, maana mwezi october ni mbali wanaweza wakateua mgombea 'wamaana' ambaye anaweza kunivutia na kunibadili mawazo.
Lakini kama watakuwa hawa hawa wajelajela original, nasema mapema kabisa 'big nooooo'.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ya mambo unayoweza kusema hayaelezeki ni la kuchukiwa kwa kiwango cha juu kwa CCM. Watoto, wazee, vijana, wasomi kwa wasiowasomi, maskini na matajiri wote ni Sasa wamekuwa wapinzani. Tukiacha hizi mambo za kutumia nguvu ya dola hiki chama kina nguvu ndogosana.
Pamoja na kufanya vizuri katika nyanja nyingi za maendeleo na ustawi wa jamii lakini Watanzania bado hawana mahaba ya kufa mtu. Ukipita njia mfano kwenda Arusha njiani kuna vijumba vya hovyo hata huwezi fikiri kama kuna binadamu wanaishi humo
Labda kuna la kujifunza kwa watawala
Nilidhani unazo hoja na mifano kuthibitisha andiko lako kumbe ni uandishi wa kikanjanja?
CCM baada ya 2015, imekuwa na mvuto sana, JPM ameirejeshea uhai, ushahidi ni huu hapa:
1. Kurejea kwa vigogo walioikimbia 2015, mfano Lowasa na Sumaye
2. Kuvuna wabunge na madiwani kutoka CUF na Chadema
3. Uvaaji wa sare za chama hadharani
4. Kuanzishwa kwa mashirikisho ya wanachama katika vyuo vya Elimu na mahala pa kazi
5. Kuwapokea waandamizi wa chadema, Dk Slaa na Dk Mashinji
6. Ushawishi kwa jamii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngumu sana kumshabikia mchezaji ukiwa huna mapenzi na timu yake.
Mkuu huo mfano hauwiani na mada tunayoongelea.Ngumu sana kumshabikia mchezaji ukiwa huna mapenzi na timu yake.
Mimi kwa kweli kwa jiwe big no, bora arudi yule wa Msonga kuliko huyuKweli binadamu tumegawanyika kifikra na tumetofautiana pakubwa!
Mimi ni muumini wa mtu na si chama.
Anavyotawala Jpm navutiwa naye sana kwa jinsi anavyoleta maendeleo ya nchi kwa haraka ingawa mimi si mwana ccm wala Cdm na sishabikii chama chochote kwa sasa.
Kabla ya uchaguzi 15' nilivutiwa sana na Dr Slaa na nilijiandaa kumpigia kura lakini nikavurugwa!
Ingawa mfumo wetu wa utawala, mgombea hadi atokane na chama, binafsi nilishashindwa kushabikia chama, ninajikita na mgombea tu, nashindwa kuelewa kwanini hawataki kuruhusu mgombea binafsi!
Labda Jpm angelikisafisha ccm inavyotakiwa, ningelikifuata, lkn bado sura ni zilezile zilizokuwa zinaimba ....' tunaimani na.....' zipo na hao ndiyo wanamaslahi waliolivuruga taifa, hivyo bado kuna mizizi iliyooza hajaisafisha, siwezi shabikia.
Ukija Cdm, sina mpango wa kuwekeza akili zangu huko, labda nitemee mate chini nisikufuru, maana mwezi october ni mbali wanaweza wakateua mgombea 'wamaana' ambaye anaweza kunivutia na kunibadili mawazo.
Lakini kama watakuwa hawa hawa wajelajela original, nasema mapema kabisa 'big nooooo'.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo Tanzania, wanakaruhusu hilo jua huyo mgombea binafsi ndiyo timu sasa, yani ni timu ya mtu mmoja. Shirikisha ubongo mkuuMkuu huo mfano hauwiani na mada tunayoongelea.
Ndiyo maana kuna mgombea binafsi ambaye hana chama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wa aina yako huwa wanaulizwa, upo kundi lipi? Vyeti feki, fisadi, mtu wa dili au unashirikiana na mabeberu?Mimi kwa kweli kwa jiwe big no, bora arudi yule wa Msonga kuliko huyu
Sent using Jamii Forums mobile app
umejibia hoja vema mkuu ila tunaweza kutofautiana kimawazo ambayo ni haki yetu ila FACTS lazima ziheshiwe ili kulinda ukweli wa majadiliano,umemsia president Magufuli kwa kuleta maendeleo ILA please nipe mradi mmoja alioutekeleza kwenye awamu yake,mradi ambao umeleta mabadiliko kwa common man on the street,sio sisi middle class wenye uwezo kidogo;achilia miradi ambayo iliasisiwa na awamu ya nne na utekelezaji wake ukaanza yeye kaja kuumalizia,ninahitaji mradi uliobuniwa naye,na ukautekeleza na matunda yake yanaonekana,kumbuka kuwa Ubungo sio ubunifu wake and I can put my head on the bock ule ni uchafu Fulani pale,Reli inasuasua na mvua ikinyesha kidogo miundo yake inashindwa kabisa kuhimili ,mradi ile wa umeme KUKAMILIKA kwenye uongozi wake kwangu ni ndoto;kampeni za korosho zote ni za kisiasa mkulima wa korosho hadi leo bado anamaumivu,reli ya dar to moshi inasuasua,mradi wa bomba la mafuta Uganda to tanga naona kama unafifia.Kweli binadamu tumegawanyika kifikra na tumetofautiana pakubwa!
Mimi ni muumini wa mtu na si chama.
Anavyotawala Jpm navutiwa naye sana kwa jinsi anavyoleta maendeleo ya nchi kwa haraka ingawa mimi si mwana ccm wala Cdm na sishabikii chama chochote kwa sasa.
Kabla ya uchaguzi 15' nilivutiwa sana na Dr Slaa na nilijiandaa kumpigia kura lakini nikavurugwa!
Ingawa mfumo wetu wa utawala, mgombea hadi atokane na chama, binafsi nilishashindwa kushabikia chama, ninajikita na mgombea tu, nashindwa kuelewa kwanini hawataki kuruhusu mgombea binafsi!
Labda Jpm angelikisafisha ccm inavyotakiwa, ningelikifuata, lkn bado sura ni zilezile zilizokuwa zinaimba ....' tunaimani na.....' zipo na hao ndiyo wanamaslahi waliolivuruga taifa, hivyo bado kuna mizizi iliyooza hajaisafisha, siwezi shabikia.
Ukija Cdm, sina mpango wa kuwekeza akili zangu huko, labda nitemee mate chini nisikufuru, maana mwezi october ni mbali wanaweza wakateua mgombea 'wamaana' ambaye anaweza kunivutia na kunibadili mawazo.
Lakini kama watakuwa hawa hawa wajelajela original, nasema mapema kabisa 'big nooooo'.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisema anatekeleza miradi ya Kikwete unakosea hata kama imeasisiwa awamu ya4.umejibia hoja vema mkuu ila tunaweza kutofautiana kimawazo ambayo ni haki yetu ila FACTS lazima ziheshiwe ili kulinda ukweli wa majadiliano,umemsia president Magufuli kwa kuleta maendeleo ILA please nipe mradi mmoja alioutekeleza kwenye awamu yake,mradi ambao umeleta mabadiliko kwa common man on the street,sio sisi middle class wenye uwezo kidogo;achilia miradi ambayo iliasisiwa na awamu ya nne na utekelezaji wake ukaanza yeye kaja kuumalizia,ninahitaji mradi uliobuniwa naye,na ukautekeleza na matunda yake yanaonekana,kumbuka kuwa Ubungo sio ubunifu wake and I can put my head on the bock ule ni uchafu Fulani pale,Reli inasuasua na mvua ikinyesha kidogo miundo yake inashindwa kabisa kuhimili ,mradi ile wa umeme KUKAMILIKA kwenye uongozi wake kwangu ni ndoto;kampeni za korosho zote ni za kisiasa mkulima wa korosho hadi leo bado anamaumivu,reli ya dar to moshi inasuasua,mradi wa bomba la mafuta Uganda to tanga naona kama unafifia.