kitakali kiwofu
Senior Member
- Oct 3, 2013
- 173
- 24
ccm hoyeeee
jana msafara wa rais kikwete ambaye pia ni mwenyekiti wa ccm umesimamishwa na wananchi ili awasalimie. yani aseme lau neno moja tu
Utasutwa kwa umbea ni aibu kwa mzee kama wewe kuwa mmbea katika jamii ya watu waliostarabika.Walikuwa na mabango yao, moja limeandikwa "Kikwete acha uonga, maisha bora kwa kila mtz"
Kwa chacha wangwe na grace mbowe hujui aliyefanya hii kazi kuwa ni haohao mashoga zako mkuu.hapana sita mmwagia sumu wala nini, lakini kushiriki kwa namna yoyote kutoa roho ya mtu si sawa, atamuhukumu aliye mleta duniani, mimi ni kusikitika tu na kuomba kwa Mungu, tuwe mashabiki lakini kuto roho ya mtu hapana, wazia kama watoto, ndugu au wazazi wako unakuta wame kufa kwasababu wamekwenda kewnye mkutano wa chama usicho kipenda, hapana tusipoteze ubinadamu wetu kwasababu ya ujinga wa uvyama ambavyo tusitake tutake vitakufa tu!
kidumu chama cha mapinduzi, chama kinachopendwa na watanzania wa rika zote, ccm ni tumaini la watz
kabla ya kuendelea na mjadala kama hiyo ni picha yako hapo juu ni fall in love unavutia sana.. Okay! inawezekana lakini ninachosema kama ni mashoga zangu sawa lakini sijali nani kafanya, mtu yeyote anaye shiriki kuua kwa tamaa ya kisiasa huyo ni adui yangu... lakin jambo la kujiuli serikal kwali ni dhaifu kushindwa kushughurikia, hii ndiyo inaonesha moja kwa moja serikali yetu inamatatizo na inahusika ndiyo maana wana baki kuwa bambikizia watu wema kesi za kigaidi, think about that ...picha yako imenivutia sana!Kwa chacha wangwe na grace mbowe hujui aliyefanya hii kazi kuwa ni haohao mashoga zako mkuu.
Mi wanyalu siwaamini kabisa. Ni manazi ya ccm - ona uchaguzi wa madiwani majuzi (16/6) wilayani kilolo kata ya ng'ang'awe wamewapa maccm kura 686 na cdm ikaambulia kura 217.
Fanya utafiti kabla kuja humu jf
pombe zingine ni matatizo tu, nawewe umeamkia kilabu gani? chimpum nomaukianzia hata kwenye suala la mavazi, namaliza mwezi wa pili sasa nipo wilayani kilolo sijamwona mwananchi akiwa na skafu ya ccm, kofia, au mzula wa ccm,, vijana ukiwaangalia wako na skafu zimeandikwa M4C,,,, WAZEE KWA VIJANA HAWATAKI KABISA KUSIKIA HABARI ZA CCM...sasa hali iko hiv japo haujawahi kufafanyika ata mkutano mmoja wa cdm tangu chama kianzishwe, JE HIZO OPERATION AMBAZO HUKU TUNAZISIKIA TU KWENYE TAARIF ZIKIFIKA HUKU SI NDO UTAKUA MWISHO WA CCM HUU WADAU.
Hakuna chama cha kuindoa ccm.
......
pombe zingine ni matatizo tu, nawewe umeamkia kilabu gani? chimpum noma
ukianzia hata kwenye suala la mavazi, namaliza mwezi wa pili sasa nipo wilayani kilolo sijamwona mwananchi akiwa na skafu ya ccm, kofia, au mzula wa ccm,, vijana ukiwaangalia wako na skafu zimeandikwa M4C,,,, WAZEE KWA VIJANA HAWATAKI KABISA KUSIKIA HABARI ZA CCM...sasa hali iko hiv japo haujawahi kufafanyika ata mkutano mmoja wa cdm tangu chama kianzishwe, JE HIZO OPERATION AMBAZO HUKU TUNAZISIKIA TU KWENYE TAARIF ZIKIFIKA HUKU SI NDO UTAKUA MWISHO WA CCM HUU WADAU.
Hakuna chama cha kuindoa ccm.
......
huyu kenge nikimuona nasikia kichefu chefu yani ukiangalia ni kama mashine ya kutolea roho za watu wasio na hatia, arusha wameua mpaka watoto wadogo...Mungu ataiacha hii dhambi ipite hivhivi? hapana kila mtu atalipa kwa aliyo fanya, unaweza kudhani uko salama maana mahakama iko chini yako lakini Mungu hayuko chni yako, na wakati umekaribia damu uliyo imwaga itakutokea puani, sipendi kabisda watu wenye tamaa ya uongozi mpaka kumwaga damu, laana na iwe juu yao!