CCM inachukiwa kiasi hiki?

CCM inachukiwa kiasi hiki?

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,139
Chama kikongwe sasa kimefikia ukomo, hakuna anayekizungumzia vizur hiki chama, kuanzia vijiwen, maofisin, shulen mpaka vyuo vikuu. Hawa wanatamba kuwa na wanachama mil 4, na wameishia kuleta watoto pale Karimjee hall.
 
hili kitu limefika mwisho wa ile kitu tunaita elasticity...(kwa sie tuliosoma fizikia MIAKA HIYO) chama limepoteza tensile strength kiulichobaki ni kuvunjika tu
 
Limekuwa kama limbwa zee halina meno linasubili kufa tu maana hata bata haliwezi kukamata na kuuwa.....chama kikianza kukimbiwa na vijana wewe unasubili ni nini mwisho wake? watajifaragua sana kuwa wako hai bado kama Mmbaraka mwishoni na mwisho wake watakimbia na wala hawatataka kusindikizwa kwenye kaburi la sahau!
 
Kitapendwaje na watu wakati kinaonekana wazi wazi ya kuwa kimekula njama mafisadi kupora rasilimali za nchi yetu; kitendo ambacho kimetumbukiza watu wengi katika dimbwi la umasikini wakati mafisadi hao wachache na maswahiba wao wanaogelea katika utajiri husio na na maelezo
 
Huku mtaan mavazi ya kijan yanaogopwa, kwan yanahusishwa moja kwa moja na ufisadi
 
wa;;e watoto wamewapeleka bila kuwapa chakula walivyochoka kuzomea wakalala hakuna cha kutoa maoni wao kulala tuu chama mfu
 
Nadhani aliye-organize watoto wasiojua wanachokifanya pale kwenye mjadala naye alikurupushwa ghafla watu wenye kufikiria matumbo yao!
 
ni chama ambacho hakina uzalendo
ni chama ambacho kinaubinafi mkuba
kinachojali matajili kama akina RA
ambacho kinatumia rasilimai za tz vibaya
maana masikini ndiye anayelipa kodi
tajili halipi lazima kitachukiwa tu
 
Ukianzia hata kwenye suala la mavazi, namaliza mwezi wa pili sasa nipo wilayani Kilolo sijamwona mwananchi akiwa na skafu ya CCM, kofia, au mzula wa CCM.

Vijana ukiwaangalia wako na skafu zimeandikwa M4C,wazee kwa vijana hawataki kusikia kabisa habari za CCM.

Sasa hali iko hivi, japo haujawahi kufafanyika ata mkutano mmoja wa CHADEMA tangu chama kianzishwe.

JE HIZO OPERATION AMBAZO HUKU TUNAZISIKIA TU KWENYE TAARIF ZIKIFIKA HUKU SI NDO UTAKUA MWISHO WA CCM HUU WADAU.
 
ukianzia hata kwenye suala la mavazi, namaliza mwezi wa pili sasa nipo wilayani kilolo sijamwona mwananchi akiwa na skafu ya ccm, kofia, au mzula wa ccm,, vijana ukiwaangalia wako na skafu zimeandikwa M4C,,,, WAZEE KWA VIJANA HAWATAKI KABISA KUSIKIA HABARI ZA CCM...sasa hali iko hiv japo haujawahi kufafanyika ata mkutano mmoja wa cdm tangu chama kianzishwe, JE HIZO OPERATION AMBAZO HUKU TUNAZISIKIA TU KWENYE TAARIF ZIKIFIKA HUKU SI NDO UTAKUA MWISHO WA CCM HUU WADAU.
mtafarijiana sana machadema
 
jana msafara wa rais kikwete ambaye pia ni mwenyekiti wa ccm umesimamishwa na wananchi ili awasalimie. yani aseme lau neno moja tu
 
ukianzia hata kwenye suala la mavazi, namaliza mwezi wa pili sasa nipo wilayani kilolo sijamwona mwananchi akiwa na skafu ya ccm, kofia, au mzula wa ccm,, vijana ukiwaangalia wako na skafu zimeandikwa M4C,,,, WAZEE KWA VIJANA HAWATAKI KABISA KUSIKIA HABARI ZA CCM...sasa hali iko hiv japo haujawahi kufafanyika ata mkutano mmoja wa cdm tangu chama kianzishwe, JE HIZO OPERATION AMBAZO HUKU TUNAZISIKIA TU KWENYE TAARIF ZIKIFIKA HUKU SI NDO UTAKUA MWISHO WA CCM HUU WADAU.

unaongozwa na ndoto za mchana badala ya akili yako. stuka
 
ukianzia hata kwenye suala la mavazi, namaliza mwezi wa pili sasa nipo wilayani kilolo sijamwona mwananchi akiwa na skafu ya ccm, kofia, au mzula wa ccm,, vijana ukiwaangalia wako na skafu zimeandikwa M4C,,,, WAZEE KWA VIJANA HAWATAKI KABISA KUSIKIA HABARI ZA CCM...sasa hali iko hiv japo haujawahi kufafanyika ata mkutano mmoja wa cdm tangu chama kianzishwe, JE HIZO OPERATION AMBAZO HUKU TUNAZISIKIA TU KWENYE TAARIF ZIKIFIKA HUKU SI NDO UTAKUA MWISHO WA CCM HUU WADAU.

Mi wanyalu siwaamini kabisa. Ni manazi ya ccm - ona uchaguzi wa madiwani majuzi (16/6) wilayani kilolo kata ya ng'ang'awe wamewapa maccm kura 686 na cdm ikaambulia kura 217.
Fanya utafiti kabla kuja humu jf
 
kumbe unapima kupendwa kwa chama kwa kuangalia mavazi?? sio sera, viongozi wa kuchaguliwa mfano wabunge, madiwani na wale wa serikali za mitaa?? maana ccm ndio ina idadi kubwa ya wenyeviti wa vijiji, vitongoji na mitaa kwa upande wa mijini? kweli ukiwa chadema hata akili unashikiwa
 
Mi wanyalu siwaamini kabisa. Ni manazi ya ccm - ona uchaguzi wa madiwani majuzi (16/6) wilayani kilolo kata ya ng'ang'awe wamewapa maccm kura 686 na cdm ikaambulia kura 217.
Fanya utafiti kabla kuja humu jf
ccm hoyeeee
 
nakuunga mkono.vijana wanaovaa magwanda wanaonekana jasiri sana,binafsi napoenda maeneo mapya na gandwa watu wanahamasika sna kuniuliza harakati za cdm,pamoja na kuniomba niwaeleweshe juu ya propaganda za CCM dhidi ya chama chetu.ukivaa gwanda unachuliwa tofauti sna
 
Back
Top Bottom