Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 40,000
Akionesha kana kwamba anaheshimu Tume ya Uchaguzi lakini si kweli, Kinana ameamua kutangaza final tally ya kura za UBunge na kuonesha kuwa kwenye tathmini yao wao walikuwa wanatarajia wapinzani watashinda majimbo 28 bara lakini sasa wameshinda majimbo 29. Sielewi kwanini amefanya hivyo wakati hata nusu ya majimbo yote kura hazijatangazwa?
Kama CCM wanaamini wanaweza kutoa matangazo yao ya kuhitimisha kura za Ubunge, Chadema nao waanze kutoa matokeo ya Urais kwa kutangaza maeneo ambayo wanajua kuwa wamefanya vizuri.

Mwekeni Beregu TBC nae atangaze. Its a free country. I believe Kinana is projecting their internal polling and projections. Usilalamike kwenye message board, hamjakatazwa kwenda AGAPE FM or whatever else you got going on kutangaza matokeo yenu.
E bana selemani una nyodo.... Agape FM? r u kidding me?
nimeshangazwa na hili jambo ina maana ccm ni nec au vice versa.
You are right, nikiisoma tena post imekaa vibaya. No offense. But there is too much complaining in JF. Sasa a party strategist kaenda kwenye media ku-project the party's expectations. Watu wanalalamika, as if wao wamekatazwa. Its things like that.
Na wewe nae unamlinganisha JK na Bashir na Mugabe. That is over the top babu, do you really know what Bashir has done to South Sudanese? South Sudanese wamelosti for 23 years because of Bashir, halafu unamlinganisha JK na Bashir. Ushabiki gani sasa huu?