Elections 2010 CCM inaamini watapoteza viti 28 tu Bara - vinazidi ina maana gani?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,463
39,929

Akionesha kana kwamba anaheshimu Tume ya Uchaguzi lakini si kweli, Kinana ameamua kutangaza final tally ya kura za UBunge na kuonesha kuwa kwenye tathmini yao wao walikuwa wanatarajia wapinzani watashinda majimbo 28 bara lakini sasa wameshinda majimbo 29. Sielewi kwanini amefanya hivyo wakati hata nusu ya majimbo yote kura hazijatangazwa?

Kama CCM wanaamini wanaweza kutoa matangazo yao ya kuhitimisha kura za Ubunge, Chadema nao waanze kutoa matokeo ya Urais kwa kutangaza maeneo ambayo wanajua kuwa wamefanya vizuri.
 
Last edited by a moderator:
Kampeni zimeshaisha. Huyu bwana asubiri matoke na hana mamlaka ya kusema anachosema wakati bado matokeo yote hayajatangazwa. Propaganda machine hiyo. Hizi ndizo zile chakachua akili then fuata kuchakachua matokeo.
 
Akionesha kana kwamba anaheshimu Tume ya Uchaguzi lakini si kweli, Kinana ameamua kutangaza final tally ya kura za UBunge na kuonesha kuwa kwenye tathmini yao wao walikuwa wanatarajia wapinzani watashinda majimbo 28 bara lakini sasa wameshinda majimbo 29. Sielewi kwanini amefanya hivyo wakati hata nusu ya majimbo yote kura hazijatangazwa?

Kama CCM wanaamini wanaweza kutoa matangazo yao ya kuhitimisha kura za Ubunge, Chadema nao waanze kutoa matokeo ya Urais kwa kutangaza maeneo ambayo wanajua kuwa wamefanya vizuri.

Mwekeni Beregu TBC nae atangaze. Its a free country. I believe Kinana is projecting their internal polling and projections. Usilalamike kwenye message board, hamjakatazwa kwenda AGAPE FM or whatever else you got going on kutangaza matokeo yenu.
 
Last edited by a moderator:
CCM wanadata zote ingawaje hazijatangazwa. NEC wanawapotezea muda watanzania tuu
 
Akionesha kana kwamba anaheshimu Tume ya Uchaguzi lakini si kweli, Kinana ameamua kutangaza final tally ya kura za UBunge na kuonesha kuwa kwenye tathmini yao wao walikuwa wanatarajia wapinzani watashinda majimbo 28 bara lakini sasa wameshinda majimbo 29. Sielewi kwanini amefanya hivyo wakati hata nusu ya majimbo yote kura hazijatangazwa?

Kama CCM wanaamini wanaweza kutoa matangazo yao ya kuhitimisha kura za Ubunge, Chadema nao waanze kutoa matokeo ya Urais kwa kutangaza maeneo ambayo wanajua kuwa wamefanya vizuri.

Hilo la kuseam tume ya uchaguzi kalianza JK pale kwenye Mdahalo wake alipoulizwa swala la wizi wakura
kwa raisi au mtu mstaharabu angejibu tu hilo sio lake kulisemea bali ni la watu wa tume ya uchaguzi, lakini badala yake yeye alianza kuisemea tume ya uchaguzi na kujaribu kutuelezea wananchi jinsi kura zilivyo safe, Kinana anafata kwenye mkondo uleule wa JK, Riz1 na wengineo wa CCM
 
Last edited by a moderator:
Mwekeni Beregu TBC nae atangaze. Its a free country. I believe Kinana is projecting their internal polling and projections. Usilalamike kwenye message board, hamjakatazwa kwenda AGAPE FM or whatever else you got going on kutangaza matokeo yenu.

E bana selemani una nyodo.... Agape FM? r u kidding me?
 
jamani mwacheni kinana ashadata sababu demu wao kapigwa chini uku jimbo la arusha mjini
sijui kama kinana atakanyaga uko kwao urusha kwa miaka mitano yote
 
E bana selemani una nyodo.... Agape FM? r u kidding me?

You are right, nikiisoma tena post imekaa vibaya. No offense. But there is too much complaining in JF. Sasa a party strategist kaenda kwenye media ku-project the party's expectations. Watu wanalalamika, as if wao wamekatazwa. Its things like that.

Na wewe nae unamlinganisha JK na Bashir na Mugabe. That is over the top babu, do you really know what Bashir has done to South Sudanese? South Sudanese wamelosti for 23 years because of Bashir, halafu unamlinganisha JK na Bashir. Ushabiki gani sasa huu?
 
Wapiga kura wako nje wakilazimisha tume itangaze matokeo. Huyu kayapata wapi haya anayotangaza kama vile tume ilishamaliza tangu juzii? Mamlaka ya kisheria ya kutoa tathmini na majumuisho kabla matokeo hayajatangazwa anaipataje? Hizi ni fujo za makusudi na zina mwisho japo siyo mzuri
 
aache unafiki huyu firauni wa kisomali.. Kama walijua upinzani utachukua majimbo hayo 28 kulikuwa na haja gani ya kusimamisha wagombea wao huko? Na kutumia fedha na muda wao bure? Adanganye wasomali wenzake kwenye mirungi huko, sio sisi.
 
mwanakijiji.
hili tendo la kinana lina maana gani??? i hate the guy
 
You are right, nikiisoma tena post imekaa vibaya. No offense. But there is too much complaining in JF. Sasa a party strategist kaenda kwenye media ku-project the party's expectations. Watu wanalalamika, as if wao wamekatazwa. Its things like that.

Kwa hiyo unawashauri waende AGAPE TV na sio ITV au Channel 10

Na wewe nae unamlinganisha JK na Bashir na Mugabe. That is over the top babu, do you really know what Bashir has done to South Sudanese? South Sudanese wamelosti for 23 years because of Bashir, halafu unamlinganisha JK na Bashir. Ushabiki gani sasa huu?

Haya mabomu na risasi zinazorindima all over the country, vina tofauti gani na kinachoendelea Sudan?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom