
- Joined
- Mar 10, 2006
- Messages
- 31,961
- Likes
- 8,368
- Points
- 280

Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006



Akionesha kana kwamba anaheshimu Tume ya Uchaguzi lakini si kweli, Kinana ameamua kutangaza final tally ya kura za UBunge na kuonesha kuwa kwenye tathmini yao wao walikuwa wanatarajia wapinzani watashinda majimbo 28 bara lakini sasa wameshinda majimbo 29. Sielewi kwanini amefanya hivyo wakati hata nusu ya majimbo yote kura hazijatangazwa?
Kama CCM wanaamini wanaweza kutoa matangazo yao ya kuhitimisha kura za Ubunge, Chadema nao waanze kutoa matokeo ya Urais kwa kutangaza maeneo ambayo wanajua kuwa wamefanya vizuri.
Last edited by a moderator: