CCM ina wenyewe

mzenjiboy

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
907
382
ImageUploadedByJamiiForums1419703462.677504.jpg
 
Aibu eeh! Hivi wanajisikiaje? Wanaccm amkeni, mtafanywa ndondocha hadi lini. Hizi taabu zinazosababishwa na ccm zinatukuta wote hazibagui huyu ukawa wala huyu ccm. Itangulizeni nchi mbele na siyo chama.
Wewe mwanaccm jiulize, hivi hizi gharama za kupanda umeme ni kwa ukawa tu, au na wewe unalipa hizohizo? Na hili deni la taifa wanalipa ukawa tu, au na wewe linakuhusu? Zindukeni kama wanakanu walivyoigeuka na kuinyima kura.
 
Duuh.. ccm waondoe hizo alama za jembe na nyundo.. waweke alama za noti ya buku 10..
 
Wakirithishwa kina Al Shabab CCM, hapa ndipo nitaamini kuwa ni kweli viongozi wa CCM waliopo madarakani hivi sasa wako pale tu kwa ajili ya kuinadi nchi.
 
Pole Na Majukumu Ya Kila Siku Mtanzania Mwenzangu, Vipi Umeshapata MAISHA BORA Kama Walivyokuahidi Mwaka 2005 Na 2010? Anayekuuliza Si Mwanasiasa, No! Ni Mwanaharakati!! Hebu Jiulize Hawa Wanaotoa Ahadi Wanakuonaje Wewe?
1, Ni -----
2, Ni Mjinga
3, Mpumbavu
4, Mwehu
5,Mwendawazimu
6, Una Ubongo Wa kuku? (Msahaulifu)
Mbona Wenyewe Wana Maisha Bora! Kwani Wewe Au Wenzetu Sio Watanzania? Kazi Kwako Mwaka 2015 Nikutakie Tafakari Njema! Watumie Watanzania 50.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom