CCM ina wenyewe

CCM ina wenyewe

mutant gene

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
876
Reaction score
326
10653595_657110934403355_714594971114804701_n.jpg
 
Na wenyewe ndio hao!! Mwenyekiti wao anawazugazuga halafu huyooo anakwea pipa anakwenda kula bata ughaibuni!!
 
jimbo la riz moko linaongoza kwa vijumba mbavu za mbwa,kisa tu ubwabwa siku ya kampeni
 
Bila elimu hatutoki. Nafikiri ndio maana CCM imeweka sera wanaofeli mashuleni ndio waje kuwa waalimu ili kuendeleza Taifa la wajinga na wao waendelee kula na vizazi vyao milele.
 
Back
Top Bottom