CCM Ina Sababu za Kumhofia Lema

CCM Ina Sababu za Kumhofia Lema

Jamani mbona mnampandisha Zitto blood pressure. Katika watu ambao anaomba waanguke kisiasa ni Lema. Ndio maana alijitahidi sana kwenye ule mgogoro wa madiwani ili amwangushe. Tatizo Zitto ni mtu mwenye wivu sana sana sana na hataki aone mwanasiasa mwingine wa Chadema anasifiwa. Anataka yeye tu ndio aonekane. Hivyo anapoona kina Dr Slaa, Mnyika, Lema nk wakipanda chati roho yake huugulia sana...

Pole zake. Watu wanataka kazi na waone matunda ya kazi. Hakuna upendeleo wala ubaguzi ktk hilo
 
lema ni zaid ya watu wamjuavyo hakika ccm ina wakati mgum kuelekea 2015
 
Mkuu hatiwezi kuiondoa ccm madarakani bila kuwa na watu kama Lema! Hawa ndiyo watakaoleta mabadiliko nchi hii siyo siasa za undumila kuwili na kujifanya wastaraabu!

Chadema inahitaji sana watu wengi zaidi wa mfano wa Lema maana hawa ndo wenye uthubutu!

Chadema wamtumie kuwajengea ujasiri vijana wa mikoa mingine! Chadema haihitaji wasomi wengi sana ambao wanafanya siasa deal matokeo yake ndo tunayaona kwa baadhi ya vijana sasa. Chadema inahitaji vijana jasiri hata kama ni wenye elimu ya darasa la saba maana ndiyo wanauwezo wa kuwavuta watu wengi zaidi maana kundi kubwa la watanzania bado ni wale wenye elimu ya chini kabisa!

Hongera Lema na tunakuombea Mungu asimame na wewe mpaka mwisho wa safari hii ngumu ya kutafuta ukombozi!
 
[h=5]→ '' .........Tanzania mna Tanzanite, mna dhahabu, mna Almasi, mbuga za wanyama, mna Milima, mna bandari tano, mna Mafuta, Mna Korosho, Kahawa, mna Pamba, chakushangaza Tanzania Nchi ya Tatu Ombaomba Duniani.....''

→ ''..........Raaisi mwanaume ombaomba kupita wote Duniani ni Kikwete.........''

→ ''.... .... na sasaivi Kikwete ameanzisha dili nyingine, ya kuchukua
Mateja anawapeleka Ikulu. Hamkumwona akiwa na Teja juzi, Ray C. Alianza na Mamis tukaona inapita, sasa anaanza kuwachukua Mademu Teje anawapeleka Ikulu..
....wewe Kikwete wewe kama Lengo lako ni kusaidia watu waliokula Madawa ya kulevya, Ray C sio peke yake, nenda Mtaani chukua
Masela waliochanganyikiwa kaa nao Ikulu...

→ ''........uwanja wa kia huu, huwezi kupita na TSh 100/= mfukoni..... ...lakini Twiga anapita, Nyati anapita, Usalama wa Taifa uko wapi? Maaskari wako wapi? Mkitaka mkamwambie Kikwete, hautumwogopi Mtu yeyote kuanzia Raisi mpaka Balozi......''

→ ''......mafisadi wa mabilioni ya pesa wanapewa adhabu ya kujiuzulu, mwizi wa simu, TV anapewa adhabu ya
kifungomiaka kumi jela.....''

→ ''......viongozi wa CCM ni wahuni, Ila wamejificha na Suti. Vibaka wa Unga Limited na Vibaka wa Sokoni one, tofauti yao na Mawaziri wa Kikwete na Kikwete mwenyewe ni Mavazi tu, lakini wote ni Wezi.........cha kushangaza mwizi wa billions of Money anapita Mtaani, anapanda Ndege, anapungia watu mitaani, nyie
mnachoma watu mitaani wanaoiba Kuku na Simu.....'Hayo ni maneno ya Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema Leo ktk mkutano wa M4C Mji mdogo wa Mererani '

—

[/h]
 
Kama tukifuata njia anayopita Lema baaasi Ccm kwisha ! Inahitajika ujasiri wa kiwango cha Prophet Lema ili kuondoa mafisadi wa ccm .
 
Ccm walifikiri majaji wote ni wachumia tumbo wasiotumia weledi wao na kupeleka akili likizo
 
Soma daily news ya leo utacheks balaa kuna makala inazungumza kuhusu lema
 
Mh lema natambua mchango wako katika chama,MUNGU akuongezee nguvu zaidi upige kazi mpaka kieleweke,achana na watafuta vyeo ndani ya chama wewe ni mhubiri wa mabadiliko ndani ya chama.
 
kuna wanasiasa wasomi sana wanashangaa iweje Lema apendwe kiasi hiki?
watu hawali elimu kaka kwani hao wasomi si ndio wamegeuka matapeli sasa,watu wanauona ukombozi machoni pa lema labda iwe tofauti maana binaadamu hatuonani mioyoni.
 
Jamani mbona mnampandisha Zitto blood pressure. Katika watu ambao anaomba waanguke kisiasa ni Lema. Ndio maana alijitahidi sana kwenye ule mgogoro wa madiwani ili amwangushe. Tatizo Zitto ni mtu mwenye wivu sana sana sana na hataki aone mwanasiasa mwingine wa Chadema anasifiwa. Anataka yeye tu ndio aonekane. Hivyo anapoona kina Dr Slaa, Mnyika, Lema nk wakipanda chati roho yake huugulia sana...
akafie zake huko. tumechoka na mwanasiasa mwenye tamaa kama yeye. akaoe kwanza apate uzoefu wa kutunza familia ndio aombe kugombea urais kupitia CCJ kwani CDM tumemchoka.
 
katika mapinduzi yoyote ya ukombozi,hawakosi wasaliti na wanafiki kama ZITTO KABWE na masalia wake,lakini MUNGU ni mwema siku zote huwasimamisha mashujaa kama GODBLESS LEMA,DR:SLAA,MBOWE,MSIGWA,SUGU,MNYIKA,MDEE,LISSU n.k ili kuwatia nguvu wanhyonge wenye kukata tamaaa na maisha ya manyanyaso.MUNGU ampe nguvu LEMA.maana ''tunampenda zaidi mtoto mchanga''
 
Jamani mbona mnampandisha Zitto blood pressure. Katika watu ambao anaomba waanguke kisiasa ni Lema. Ndio maana alijitahidi sana kwenye ule mgogoro wa madiwani ili amwangushe. Tatizo Zitto ni mtu mwenye wivu sana sana sana na hataki aone mwanasiasa mwingine wa Chadema anasifiwa. Anataka yeye tu ndio aonekane. Hivyo anapoona kina Dr Slaa, Mnyika, Lema nk wakipanda chati roho yake huugulia sana...

Tofauti kubwa kati ya Lema na Zitto ni kwamba Lema anafanya kwa vitendo bila unafiki, wakati zitto anafanya in theory
 
Back
Top Bottom