machafuko jr JF-Expert Member Joined Sep 7, 2017 Posts 856 Reaction score 1,874 Sep 30, 2025 #1 Jana maeneo ya ubungo zimepita v8 kibao aisee. Afu kilicho nishangaza kuna v8 moja imebeba spika yaan ile ya kupiga P. A gari ya mil 200 inabeba spika inapiga nyimbo za mama hizi ni dharau. hakika pesa mnazo aisee Over.
Jana maeneo ya ubungo zimepita v8 kibao aisee. Afu kilicho nishangaza kuna v8 moja imebeba spika yaan ile ya kupiga P. A gari ya mil 200 inabeba spika inapiga nyimbo za mama hizi ni dharau. hakika pesa mnazo aisee Over.
la magica JF-Expert Member Joined Sep 30, 2015 Posts 2,253 Reaction score 3,635 Sep 30, 2025 #2 Usichokiujua, nyingi ya hizo gari ni za taasisi za umma.
nsanzu JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 4,953 Reaction score 5,822 Sep 30, 2025 #3 Waliomo kwenye kampeni usidhani wanamsapoti mgombea, wale asilimia 99 wanahesabu pa diem zao
1gb JF-Expert Member Joined Jun 30, 2013 Posts 2,387 Reaction score 3,281 Sep 30, 2025 #4 Hazilipiwi kodi hizo wkt w uingizwaji kutoka nje ya nchi. Elevuka kijana.
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,265 Reaction score 14,511 Sep 30, 2025 #5 Hawana pesa hao ni majambazi wa Taifa.