CCM ina gundu gani?

Triviality is speciality of the myopic thinking.
 
Boss kuna mtu aliwaikusema" siku mwenge utakapoachwa kukimbizwa ndo utakuwa mwisho wa ccm" mtaramu mshana lete nondo juu ya hili maana ccm ofkoz inafanya mambo samtaimz ya kitoto miaka zaid ya 50+ wanaaidi yaleyale na vitisho juu
 
Nimegundua pamoja na post zenyu ndefu hakuna hata mmoja aliyesoma na kuelewa nilichoandika ..yaani ni kama kati yenyu nyie tayari mlikuwa na majibu yenyu tayari lakini yasioakisi kile nilichoandika..kama hamuamini nisemacho rudieni kusoma tena nilichoandika kisha rudieni kusoma replies zenyu
 
Boss kuna mtu aliwaikusema" siku mwenge utakapoachwa kukimbizwa ndo utakuwa mwisho wa ccm" mtaramu mshana lete nondo juu ya hili maana ccm ofkoz inafanya mambo samtaimz ya kitoto miaka zaid ya 50+ wanaaidi yaleyale na vitisho juu
Nina mada yake nitakutag
 
Mkuu ukiona bundi hatoki mitaa ya nyumbani kwako basi wewe kama unaumwa anza kabisa kuandika wosia.
 
Unajuwa maana ya gundu, Gundu ni pale chadema inapojikuta siku ya ufunguzi wa kampeni mambo yanaenda kinyume na matarajio, umati kiduchu sera hamna mpya, halafu mnaishia kugombana na vyombo vya habari.
Gundu ni Bashite kukataliwa kuingia kwenye uzinduzi wa kampeini za ccm pale dodoma.

Wakati enzi zake alikuwa anapigiwa saluti
 
Naona mnaishi jana wakati dunia inawaza kesho..unajua hapo ni wapi na hiyo picha ni ya mwaka gani?
Atajuwaje wakati ndiyo katoka koromitdje juzi kuja kuongeza nguvu kwenye jumba linalo fuka moshi pale lumumba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…