CCM ina gundu gani?

Tukutane october, wacheni longolongo!View attachment 1552613
Duh ccm pesa za kulipa hawa watu mumezipata wapi kama sio za umma hakuna mtu anaweza poteza muda wake kuja kusikiliza upupu niousikia jana kuna wengine wameliapwa na kupakiwa kwenye maroli kama mizigozo kwenda tu kurudi watajiju wenyewe kwaujinga wao
 
Wanaoshiriki kampeni za chadema ni watu wahusika wa eneo hilo,hawaendi vijiji vya jirani kubeba watu kwa malori,mkutano wa chadema hauna waigizaji ni mkutano wa kigumu na wagumu
Uwingi wa watu wa Mbagala siyo sawa na uwingi wa watu wa Dodoma na vitongoji vyake. Siyo sahihi kuliganisha nyomi ya Mbagala na Dodoma.
 
Naona unalazimisha kuweka vioja kwenye hoja. Ungekua makini sana, ilikupasa kujadili zaidi kampeni za CHADEMA kuliko za CCM. Mpaka sasa watu wanajiuliza kuhusu mwitikio mdogo wa wananchi kwenye kampeni za CHADEMA Dar es Salaam, is it COINCIDENCE? Chama kimepoteza mvuto? Au mgombea wenu hakubaliki?

Ukiacha kanda ya ziwa, Dar es salaam ndo inayofuatia kuwa na idadi kubwa ya wapiga kura. Hata Lowassa kura zake nyingi alizipatia Dar. Sasa kwa hali hii kweli kuna matumaini yoyote ya ushindi? Maana kanda ya ziwa kwa vyovyote vile, CHADEMA hawawezi kuishinda CCM kama ilivyokua 2015.

Sasa badala ya kupoteza muda wako kwa kusema CCM ina gundu eti kwasbbu Diamond na Makonda wamezuilwa kupanda jukwaani, sijui wasanii wamekatana mitama, viongozi wa dini wameunga juhudi. Nadhani ungejikita kujadili kwanini CHADEMA haina mkakati wa kuleta hamasa kwa Wananchi ambao ndo wapiga kura. Maana hayo yote uliyoyajadili ni matukio ambayo yametokea kwenye mikakati ya CCM kuleta hamasa kwa Jamii ili kuwashawishi wawapigie kura.

Mikakati ya CHADEMA ya kampeni ilivyo ya hovyo, Utadhani labda nyinyi ndo mmejenga SGR, Flyover, Vituo vya Afya, Barabara, Madaraja n.k. Kwahiyo, hamna pressure kabisa na Uchaguzi kwasababu wananchi wanajionea mliyoyafanya. Kumbe agenda kubwa mliyonayo ni kupigwa risasi, watu kutekwa n.k na agenda moja ya uhuru wa vyombo vya habari imeshawaponyoka maana juzi mmekitimua chombo kimoja cha habari kwenye mkutano wenu. Kwahiyo hamuwezi kujipambanua tena kama ni watetezi wa vyombo vya habari.
 
Mi navyoona kila MTU anauhuru wa kuchagua.mi niende kwa wachungaji mnavyosema wanaegemea upande mmoja.je yule mchungaji aliyeenda kumpokea lisu na kwenye kampeni zake ndio huanzisha sala na sala zake nizakulaani tuu kwa watu wanaoenda kinyume na ayatakayo yeye mchungaji je nisawa?.pili wewe mshana na member wa upinzani hvyo huwezi sema mema yeyote kwa chama tawala.mfano tl anasema ataongeza mshahara Mara 2 ya MTU akipatacho wewe kwa ufahamu wako unadhani ataweza?,ingali hizo hela za ruzuku wameshindwa hata kufungua duka la mbogamboga.mnatakiwa mtafakali kwa mapana.hakika jf imeanza kuishiwa ma great thinker
 
Pamoja na yote, 5 more yrs for JPM.
 
GUN
GUNDU LILILOSABABISHWA NA MAPINGAMIZI FEKI
 
Nafikiri kikubwa kilichojiri ni Laana ya TBC waliyopewa CHADEMA huko mbagala. Hawa jamaa wana zarau sana wanaropoka maneno ya kihuni tuu. Wenye akili wameondoka huko. Endeleeni kukusanya hoja haoa jf mkadanganye nazo watanzania. kamwe hamtafanikiwa!
 
Hii ni laana va waasisi wa CCM wanaoonekana hawajafanya kitu cha maana kwenye tawala zao
 
Unajuwa maana ya gundu, Gundu ni pale chadema inapojikuta siku ya ufunguzi wa kampeni mambo yanaenda kinyume na matarajio, umati kiduchu sera hamna mpya, halafu mnaishia kugombana na vyombo vya habari.
Kwako vyombo vya habari ni TBC? Ili ueleweke vizuri ungeiweka hivi; vyombo vya habari vya ccm kama TBC.
 
Ni ngumu sana kuwaona maana ccm ya sasa ni ya watu 3 tuu
 
Baba yangu ccm mama act mi chadema mama nampa posho faza anaambulia kwa kuwa WaPo pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…