CCM Ina Copy na Ku-paste!!

Spear_

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,603
486
Source :Gazeti la mwanachi

Tuesday, 14 June 2011 21:43
Neville Meena, Dodoma

HOJA ya kutaka kufutwa kwa posho za vikao za wabunge na watumishi wengine wa umma wa imechukua sura mpya baada ya jana Mbunge wa Bumbuli (CCM), Januari Makamba kuliambia Bunge mjini hapa kuwa suala la kufutwa kwa posho ni la kitaifa na ni sehemu ya Mpango wa Maendeleo wa miaka mitano uliowasilishwa na serikali.Kauli hiyo yab Makamba ambaye pia ni Katibu wa Mambo ya Nje wa Sekretarieti ya CCM imekuja huku kukiwa na malumbano makali baina ya Spika wa Bunge, Anne Makinda na Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe kuhusu suala hilo la posho za vikao vya wabunge.

Hivi Hawa CCM akili zao zipo kichwani? hayo maneno ya Makamba ( niliyokoleza Red..) ni kweli yametoka serikalini au ni Chadema ilikuja na huo mpango?? mbona serikali inapenda sana kucopy na kupaste bila hata kuedit?

Si wangesema tu wazo la Chadema ni zuri kufuatwa????
 
Ndugu yangu usishangae hayo. Chama cha Magamba waliwahi kusema kuwa vita dhidi ya ufisadi walianzisha wao na ilikuwa kwenye ilani yao ya uchaguzi. Sasa hivi wanasema suala la kuondoa posho ipo kwenye mpango wao na kwenye ilani ya uchaguzi. Kwa kudandia vitu wanamudu sana ila shida wanashindwa kukiri kuwa wanaiga.
 
hata wakikataa CDM inawapeleka puta.......
 
Waliwahi pia kusema ujenzi wa UDOM ulikuwa kwenye ilani yao badae wakampongeza KIKWETE kwa ubunifu wa kuanzisha UDOM kwakuwa haikuwepo kwenye ilani yao.
 
usishangae siku wakija na mpya.
mpango wa kuiondoa serikali ya ccm madarakani ni mpango wao.
hapo ndipo utajua nini maana ya paste and copy.
 
Unajua ile mizee ya Magamba huwa haijishughulishi na chochote zaidi ya ku sign tu wanapochukua posho zao, sasa kila kizuri cha CHADEMA wanasema chao, hata wafanyaje tushawajua hawana lolote jipyaa
 
masikini mpk nawaonea huruma ccm walivyofilisika sera....hoja...na kila kitu...
 
Kila watakalolianzisha CDM hawa wazee wa Magamba hulidaka na kudai ni lao
 
uwapo sehemu yeyote tz kudai hak yako unaitwa wewe n CDM au wamekutuma,je ina maana CDM ndo wanaojua haki tz?somo la maandamano limeelisha jamii,hongeren sana CDM ALUTA CONTINUA
 
Hv hujui ccm wanatekeleza mipango na ilan za cdm!hawana jipya zaidi ya copying and pasting!wameishiwa
 
Usishangae sana copy and paste ya CCM,kuna uhaba mkubwa wa THINK TANK katika ngazi za NEC na CC. Wamebaki kufanya kazi kwa mazoe tu.Wenye chama chao hawapo wamebaki wapangaji.
 
Back
Top Bottom