Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,349
- 1,224
Wanabodi,
Na
Politics is very interesting game, japo wengine wanaita is a very dirty game, for me, politics is a game of exploration of opportunities!. For every event hata kama ni msiba, wao kwao they see an opportunity!.
Pasco.
Mkuu pasco umeenda mbali sana,
ni desturi ya watz kuhudhuria misiba na haina uhusiano wa kisiasa kabisa, sidhani kama ni sahihi kila jambo kuliingizia na siasa, hatutafika! kuna masuala ya kijamii na mengine ya kitaalamu!
Acheni hizo
it's too late.
we are allbut we know what is going on
Wanabodi,
Naangalia msiba wa Kanumba live kupitia Clouds TV, nimenote viongozi wa CCM wakipewa maximum recognition.
Tangu mwanzo MC akitangaza miongoni mwa wageni mashuhuri akawataja mawaziri na wabunge akamalizia kwa Mukama na Nape, Mhe. Mbilinyi ambae yupo hapo has never been mentioned na siamini kuwa MC hajamuona Sugu mahali pale!.
Baadae katika kukusanya maoni ya watu mbali mbali, Clouds radio na TV waka zero in Mkama na Nape tuu, yaani hawakuonekana wengine wowote wa kutoa maoni yao!.
Nilikuwa najiuliza jinsi msiba huu ulivyofanywa wa kitaifa na serikali kutoa ushirikiano mkubwa hivi ikiwemo logistic support kuwezesha Kanumba kuzikwa maziko ya kitaifa nikijua ni kuuenzi mchango wa Kanumba tuu kumbe nia ni kuwashika wapenzi wa Kanumba!.
Politics is very interesting game, japo wengine wanaita is a very dirty game, for me, politics is a game of exploration of opportunities!. For every event hata kama ni msiba, wao kwao they see an opportunity!.
Pasco.
huyu ni ''Regia'' wao CCM, waaacheni na wao '' waoshe ! '' kwani Chadema na wao walifanya maonyesho ya maiti pale Karimjee. Au Jamaa kafunika !?TK, mimi nimeuliza tuu yaani kati ya viongozi wote waliopo pale, inaamaana walioonekana ndio hao wa CCM tuu?!.
Mbona mimi huku mbali nimemuona Mhe. Sugu?!. Hivi unaweze usimtaje mbunge ukamtaja mwenezi wa chama fulani tuu?!.
Naona umeamuwa kujitia upofu kwa makusudi, labda nikuulize kule Bungeni leo Bunge lilipaswa kusimama kwa dakika moja kumkumbuka Kanumba au Haroun Mahundi? open Ur eyes.Mkuu pasco umeenda mbali sana,
ni desturi ya watz kuhudhuria misiba na haina uhusiano wa kisiasa kabisa, sidhani kama ni sahihi kila jambo kuliingizia na siasa, hatutafika! kuna masuala ya kijamii na mengine ya kitaalamu!
Acheni hizo
Wanabodi,
Tangu mwanzo MC akitangaza miongoni mwa wageni mashuhuri akawataja mawaziri na wabunge akamalizia kwa Mukama na Nape, Mhe. Mbilinyi ambae yupo hapo has never been mentioned na siamini kuwa MC hajamuona Sugu mahali pale
Ebwanaaa eeeh ni leo tu nimepata habari kuwa KOMBA,LUKUVI,NOAH RAMSEY(akiunganishiwa na marehemu) wamekamega hako katoto!!
Naona umeamuwa kujitia upofu kwa makusudi, labda nikuulize kule Bungeni leo Bunge lilipaswa kusimama kwa dakika moja kumkumbuka Kanumba au Haroun Mahundi? open Ur eyes.