CCM in a crisis meeting over corrupt officials

Napepesa macho nione la maana naambulia kusoma usanii mtupu. Mnatuchosha sana na ni heri muache kuandika.

Ehe humo ndani ya mkutano wangapi walijikuna na wangapi walikaa muda wote bila kwenda kujisaidia. Si ndio habari zenyewe hizo, basi ziandikeni.

Hivi CHADEMA hawana mikutano? Ni nani atagombea uenyekiti wa CHADEMA Taifa. Ni heri wafanye hivyo kabla jahazi halijaenda mrama.
 
names witheld sababu wao wako huku uganda wanajifanya hawawa jui. Naingia kwenye habari hiyo uganda kisha nawataja, maana leo niko hapahapa Uganda
 
the funny side of this is do we have to get this news from uganda media? au ile katuni ya wanahabari wetu wakimlamba miguu mkuu wa kaya ina ukweli ndani yake?
 
Wanaharibu tu pesa za wanachama wao. JK alishindwa kuwatamka mafisadi kwenye kikao atapata wapi ubavu wa kuwajadli. Kikao kipi atapata ujasiri huo. Yeye binafisi watu wanamjua alikulahongo ya kuruhusu kibali cha kuingiza mafuta kutoka kwa mfanyabiashara mmoja Mwanza wakati akiwa Waziri wa Nishati. Je leo atakuwa mwema na safi kuwazidi wenzie?. hili sitegemea. Walianza na gia mbaya ya kujivua gamba ambayo nahisi haiweze kuwafikisha walikodhani watafika
 
Huku CCM kukwepa vyombo vya habari kwenye kuwapa 'MAFISADI' wao barua za STOP ndio huko tuseme wenzetu watakua wameanza na ule mtindo wa Maswahiba wao CUF kusanya mikutano uchochoroni???????????????
 
Nadhani CCM kinahitaji Crisis Meeting Nyingine kwa haraka sana kabla miguu haijaota tende kisiasa kutokana na alama hizi za UNDUMILAKUWILI ambao hivi sasa wananchi wanaanza kuitikia kwa kasi mno kufuatia kauli tata juu ya Operesheni Vua Gamba kwamba upo au haupo!!!!
 
Back
Top Bottom