Uganda Government News: Chama Cha Mapinduzi in a crisis meeting over corrupt officials.
Duh hii kali source Uganda Government News !.
Uganda Government News: Chama Cha Mapinduzi in a crisis meeting over corrupt officials.
Duh hii kali source Uganda Government News !.[/QUOTE]
Yaah, nyani haoni makalio yake!!
mbio za sakafuni huishia ukingoni...wawafukuze au waelewane kwa namna fulani vyote kwa ccm ni ukingo tu, kuta kotekote! tuwaache lakini tuone vinavyoitwa 'vichwa' vya ccm viunakuja na mpya gani....tutegemee another act ya kisanii
Why withholding Names?? when even a Nursary student knows them?is discussing the future of three its members (names withheld), w]
hao watu wenyewe kwenye kamati kuu ni mafisadi kuanzia aliye kuwa chupika wakati jengo jipya lina jengwa, mpaka kuwa mwenye cheo vodacoma wakati yeye ni chupaki, mpaka nkewe kuwa waziri ya madawa na matibabu, mwingine alikuwa ni waziri wa iptl, mwingine alikuwa kanali wa meno ya tembo
Duuh, mwana mbona gubi gubi hivi??????????