Ccm imeshinda uchaguzi mdogo jimbo la kiembe samaki.

tpmazembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
2,469
Reaction score
588
Matokeo ya Uchaguzi Mdogo wa Uwakilishi Jimbo la Kiembe SamakiCCM 1856 sawa na aslimia 76.5CUF 445 sawa na asilimi 18.3ADC 84 sawa na asilimi 3.5CHADEMA 34 sawa na asilimia1.4Tadea 6 sawa na aslimia 02SAU 1 sawa na asilimia 00

Hongera ziende kwa chama cha ADC kwa kushika nafasi ya tatu, chama hicho naona kimeimarika sasa kimefikiia hali ya kushindana.

CDM tuelekeze nguvu bara,siasa za znz kwa kweli ngumu na za kujuana.
 
Kwani hilo jimbo lilikuwa chini ya chama gani? Uchaguzi mkuu uliopita ni vyama gani vilisimamisha wagombea? na matokeo yalikuwaje. Ni kwa kujibu maswali hayo tunaweza kupima mshindi na mshindwa katika uchaguzi huo. Siyo suala la nani amepata tu kura nyingi.
 
Linganisha halafu utaelewa/utafaham zaid.
Je Yumkinika?

Mwaka 2010 hali ilikuwa Kiembe Samaki:

CCM = kura 2,734 sawa na 71.8% CUF = kura 1,041 sawa na 27.4%

Sasa CCM imepoteza wapiga kura kama 200 mara hii lakini CUF wamepoteza wapiga kura zaidi ya 500.
 
Msijifariji 2015 mtalia

mimi binafsi siko ccm, nimefurahia tu harakati za ADC,chama cha juzi kinashindana na vyama mama nchini.

ila chaguzi za znz ni ngumu sana na za kujuana, kama watu 1800 ni asilimia 76 ya wapiga kura jmboni maana yake watu hao unaweza wanunua kwa hela ndogo tu,uchaguzi ni jimbo kama temeke au ubungo wapiga kura zaidi ya laki nne hapo wanaccm halisi ni wengi labda elfu 10 hapo ndio unaona uchaguzi na nini wananchi wameamua.
 
Khaa! Hizi mada za kushinda CCM k.samaki zimekua nyingi hadi zinaboa! Kiembe samaki kushinda kwa asilimia hizo ni pigo kwa CCM!
Yap! Lile jimbo lilikua na MACCM watupu!
...
2015 kitaeleweka tu!
Maccm msijipe matumaini tumewachokaaaaaaa!
 
ccm kweli tumewachoka, pia tangu wabunge wa cdm kukaaa kimya suala la mafao ya wabunge kufikia mil 160 kumenipunguza imani kama wana nia ya dhati kuwakomboa wananchi maskini. labda watoe tamko tuwasikie
 
Linganisha halafu utaelewa/utafaham zaid.
Je Yumkinika?

Mwaka 2010 hali ilikuwa Kiembe Samaki:

CCM = kura 2,734 sawa na 71.8% CUF = kura 1,041 sawa na 27.4%

Sasa CCM imepoteza wapiga kura kama 200 mara hii lakini CUF wamepoteza wapiga kura zaidi ya 500.

Mkuu, toka Wapiga kura 2700, mpaka 1800, hapo Wamepoteza Wapiga kra 900.
 
inaelekea humu hata % hawaijui! mnalinganisha idadi ya watu badala ya % !!?
wajinga utawajua tuuuu
 
Linganisha halafu utaelewa/utafaham zaid.
Je Yumkinika?

Mwaka 2010 hali ilikuwa Kiembe Samaki:

CCM = kura 2,734 sawa na 71.8% CUF = kura 1,041 sawa na 27.4%

Sasa CCM imepoteza wapiga kura kama 200 mara hii lakini CUF wamepoteza wapiga kura zaidi ya 500.

Umechemka, Sababu Idadi ya waliojitokeza kupiga kura 2010 na 2013 hailingani, uwiano wa asilimia ndiyo kigezo sahihi kutumia nani ame gain nani ame loose
 
Yaani kura 1800 ni mbunge. Bara diwani ana watu zaidi ya 40000. Bado wanataka uwakilishi sawa. Serikali tatu ndio suluhicho la huu ujinga
 
Mkuu, toka Wapiga kura 2700, mpaka 1800, hapo Wamepoteza Wapiga kra 900.

Ndio maana mnafeli hesabu! Linganisha asilimia 75 mwaka 2010 na asilimia 76 leo! Hiyo ndio analyses ya number!
Hao unao sema CCM imewapoteza unazungumzia kutokea ground gani?? Je kama hawako ZNZbar leo siku ya uchaguzi Ina maana sio wanachama wa CCM tena?
 
Unayo hoja kwa sababu kuna wengine walishapoteza viambulisho, wengine wamekufa....na daftari halijawahi boreshwa. Ukweli siasa za zanzibar ni ngumu sana kwetu chadema, tukubali CUF wanajaribu japo kwa sasa wanaendelea shuka chini. Chadema wekeza zaid Tanganyika
 
vipi zile thread zenu za kujifariji zimeishia wapi mara vijana z'bar wameamka waikubali Chadema, mkubali ukweli CDM Z'bar bado sana
 
Ehe hii Kiembe samaki ipo mkoa gani wa Tanzania yetu?
 
walifanya makusudi, ili uchaguzi huu ambao mayokeo yako wazi.utangazwe mapema kabla ya chaguzi nyingine ndogo ili ku-influence matokeo.
.
 
Chadema sijui wanatumia akili gani ile mikusanyiko haiwasaidii kitu ndio mana zito huwa hafuatani nao mana hakuna wanachofanya ni ujinga kwa chama ambacho kinahisi kina nguvu kwa sasa kupata asilimia 4 ni aibu kubwa jamani tuangalie ugomvi wetu na zito unamadhara kwa chama tukae tuyamalize mana hata znz ni sehemu ya tanzania huko.mgombea urais wa chadema nako anaitaji kupigiwa kura sasa kwa mtindo huu hii ni aibu harafu tunajipa moyo chama kinafanya vizuri hata udiwani arusha tutashindwa kwa sababu akili ndogo kuendesha akili kubwa
 
binafs hata mimi uongozi cdm nahis kama umepoteza umakini. napingana na ya akina zitto na kitilla lakini cdm nao hawako sawa mambo yamekuwa hayaeleweki chama kinaenda kama cha waccomunist mambo yako kisiri siri tu. cdm mpaka leo wako kimya mafao ya wabunge kufika 0.16 bilion kwa kila mbunge.
 
Mbona kura chache ni kata au jimbo. Hii zanziba nna mashaka na muumdo wa bunge lake. Naye ana madiwani na hao madiwa wana watu 100 ee? Hi nchi ya kisenge sana.
 
Back
Top Bottom