CCM imekuwa mzigo kwa Viongozi wake

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,596
8,639
CCM shule bila ada nawapa somo hapa CCM, fikirieni kufanya mabadiliko katika Chama,maana kimekuwa ni mzigo kwa viongozi wanapo kuwa wananadi sera hakiuziki tena kwa wananchi sasa!

Transformation inahitajika mabadiliko hayakwepeki kabisa maana hata mtoto anafahamu hilo sasa.Hata Mwl Nyerere alipoona sera za TANU aziendani na wakati huu aliibadilisha na kuiita CCM!

Wakati CCM inzaliwa 1977 hakukuwa na mfumo wa vyama vingi pia watu uelewa ulikuwa ni fikra za Mwenyekiti sasa hivi watu wanajua nini sera nini chama! Wakati huu fikirieni kubadili jina la chama lasivyo chama kinaangamia na kinakuwa mzigo kwa viongozi.
 
Basi hata wakiite chama cha maendeleo (ccm) mapinduzi yalishaisha siku nyingi sahv watu wanataka maendeleo sio mapinduzi tena. Cjuhi wanataka kumpindua nani tena
 
Wabadili jina, sawa na Viongozi watabadilika pia? Au ndo itakuwa kiini macho?
 
Back
Top Bottom