CCM imekuwa mali ya mtu?

CCM imekuwa mali ya mtu?

Acha kuishi kwa mazoea mlizoea kupiga kampeni ili baadae mugawane vyeo sasa hili lishaakufa wee kama huna kazi na ulitegemea uishi kijanjajanja ujipange
Mku mm ni Mmwera asili ya wazazi wangu Lindi kijijini Namupa na ukoo wa Majenea hii wazazi wangu. Kwa hiyo Mimi kama Mimi Mwanakijiji wa Mkinga ambapo nilijiunga tangu mwaka 2010.Ila Wachaga ni Shemeji zangu huko Kibosho Umbwe Kijijini cha Kombo kwa hiyo sio kila mtu ni Mchaga baada kuona ana hoja
 
Hii pia inawaudhi wanaccm wengi sana. maana magumi, nguvu na kuuana kwasabb ya siasa siyo hulka ya watanzania. Huyu mwanaccm mwenzetu amekuja na utamaduni mpya. Ndani ya vyama vya upinzani kuna wanetu, waume zetu, ndugu zetu na jamaa zetu. Ingependeza kama tukawa tunasutana kwenye majukwaa lkn tunaishi kwa upendo.

kuna wanaccm wengi wangependa kwenda hata kumpa pole mhe Tundu Lisu lkn wakikumbuka kilichowapata akina Vicky Kamata na Dr Kafumu wanaufyata

Jamani wengine hatujui kilichowapata akina vicky si tuliona wamejiuzur tu. Nin tatizo lilikua
 
Dr Kafumu alikuwa ni mwenyekiti na Vicky alikuwa ni makamu mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Nishati na madini. Wakiwa ktk ziara ktk mkoa wa Arusha walipanga kwenda kumuona mbunge mwenzao na mjumbe wa kamati hiyo ndg Godbless Lema alipokuwa gerezani Kisongo.

Bahati mbaya sana ratiba iliwabana, hawakufanikiwa kwenda mpk ziara yao ilipomalizika mkoani humo. Habari hizi za mipango ya kwenda kumuona Lema gerezani (japo haikufanikiwa) zilipomfikia mtukufu aligeuka mbogo ba kuwataka wajiondoe wenyewe kwenye nafasi ya uenyekiti na umakamu mwenyekiti, vinginevyo hatua kali zaidi zingechukuliwa.
 
Ninaumia sana tena sana pale ninapoona furaha na fahari tuliyokuwa nayo wanaccm katika awamu zilizopita inatoweka kwa kasi ya ajabu sana. Tumehangaika sana kutafuta ushindi 2015 kwasabb wapinzani walikuwa na nguvu sana.

Lkn mahangaiko hayo na shida tulizopata hayapati mrejesho chanya. Kwa maana ya kwamba hatupewi thamani na hadhi tunayo stahili ndani ya chama. Nitatoa mifano michache tu.

Mosi, majukwaani serikali iliyopo madarakani inatambulishwa kama serikali ya Magufuli. Jambi hili linafanywa na viongozi wote wa ngazi zote, sijui ni kwa bahati mbaya ama ni kwa sabb gani? Jambo hili linadhihirisha namna ambavyo wanaccm tusivyo na thamani awamu hii.

Pili, wanaccm hatuna sauti tena, hatuna haki tena kama raia ama wanachama kukikosoa ama kukishauri chama. Hata ktk vikao vya maamuzi tunaenda kupokea yaliyoaamriwa ama kupangwa na Mwenyekiti taifa. Nyote mnakumbuka Bashe na Msukuma walitiwa nguvuni kwa jaribio la kupinga mawazo ya mwenyekiti asiwe mgombea pekee ndani ya chama 2020. Msambatavangu akavuliwa uanachama kwasabb ya kuendesha kampeni za chini chini kupinga hoja hiyo hiyo.

Tatu, mwenyekiti amekuwa akigawa vyeo kwa anaowataka yeye na si kama anavyoelekezwa na chama. Nafahamu katiba inamruhusu. Lkn haiingii akilini watu waliokesha maporini na kutukanwa mitaani ama kuzomewa wakasahaulika. Ubinadamu na hulka za watanzania vinakataa suala hili. Amewapa uongozi wapinzani ambao wametutukana sana wakati wa kampeni. Kweli??

Nne, kuonesha kuwa chama ni cha MTU na hakifanyi kazi tena kama taasisi, mwenyekiti akikasirishwa na MTU anampa adhabu, akipigiwa magoti ama akitukuzwa tu anamuondolea adhabu. Mfano ni Sophia Simba.

CCM haikuomba kura ili kuja kubomoa misingi ya umoja na mshikamano baina yetu. Sisi sote ni ndugu. Kwann hata kwenda kumuona mtanzania mwenzetu aliyelazwa Nairobi iwe nongwa? Tunaonekana watu wa ajabu kqbisa. Wanaccm wengi wangependa kwenda lkn wakikumbuka yaliyowapata akina Dr Kafumu na Vicky Kamata wanaufyata. Hii siyo ccm ninayoijua mm.

Wanaccm tunajiuliza hivi tutapata wapi nguvuni tena ya kukitetea chama ktk chaguzi zijazo kama hatuthaminiwi baada ya kampeni?
WanaCCM hawakuonyesha kukerwa wakati nchi inapora na mafisadi, watumishi hewa, mikata mibovu ya madini, safari nyingi za viongozi nje ya nchi, uuzwaji wa nyumba na mashirika ya umma, wizi was EPA, Escrow, Richmond, IPTL,.... Mliimba iyenaiyena mwanzo mwisho. Kwa tabia ya wanaCCM isingeshinda 2015 kama sio sifa binafsi za Magufuli, ndio maana ikaitwa serikali ya magufuli maana wananchi waliichoka serikali ileee ya CCM inayokumbatia wapiga dili na isiyokusanya kodi.

Upon hapo!!!
 
Ninaumia sana tena sana pale ninapoona furaha na fahari tuliyokuwa nayo wanaccm katika awamu zilizopita inatoweka kwa kasi ya ajabu sana. Tumehangaika sana kutafuta ushindi 2015 kwasabb wapinzani walikuwa na nguvu sana.

Lkn mahangaiko hayo na shida tulizopata hayapati mrejesho chanya. Kwa maana ya kwamba hatupewi thamani na hadhi tunayo stahili ndani ya chama. Nitatoa mifano michache tu.

Mosi, majukwaani serikali iliyopo madarakani inatambulishwa kama serikali ya Magufuli. Jambi hili linafanywa na viongozi wote wa ngazi zote, sijui ni kwa bahati mbaya ama ni kwa sabb gani? Jambo hili linadhihirisha namna ambavyo wanaccm tusivyo na thamani awamu hii.

Pili, wanaccm hatuna sauti tena, hatuna haki tena kama raia ama wanachama kukikosoa ama kukishauri chama. Hata ktk vikao vya maamuzi tunaenda kupokea yaliyoaamriwa ama kupangwa na Mwenyekiti taifa. Nyote mnakumbuka Bashe na Msukuma walitiwa nguvuni kwa jaribio la kupinga mawazo ya mwenyekiti asiwe mgombea pekee ndani ya chama 2020. Msambatavangu akavuliwa uanachama kwasabb ya kuendesha kampeni za chini chini kupinga hoja hiyo hiyo.

Tatu, mwenyekiti amekuwa akigawa vyeo kwa anaowataka yeye na si kama anavyoelekezwa na chama. Nafahamu katiba inamruhusu. Lkn haiingii akilini watu waliokesha maporini na kutukanwa mitaani ama kuzomewa wakasahaulika. Ubinadamu na hulka za watanzania vinakataa suala hili. Amewapa uongozi wapinzani ambao wametutukana sana wakati wa kampeni. Kweli??

Nne, kuonesha kuwa chama ni cha MTU na hakifanyi kazi tena kama taasisi, mwenyekiti akikasirishwa na MTU anampa adhabu, akipigiwa magoti ama akitukuzwa tu anamuondolea adhabu. Mfano ni Sophia Simba.

CCM haikuomba kura ili kuja kubomoa misingi ya umoja na mshikamano baina yetu. Sisi sote ni ndugu. Kwann hata kwenda kumuona mtanzania mwenzetu aliyelazwa Nairobi iwe nongwa? Tunaonekana watu wa ajabu kqbisa. Wanaccm wengi wangependa kwenda lkn wakikumbuka yaliyowapata akina Dr Kafumu na Vicky Kamata wanaufyata. Hii siyo ccm ninayoijua mm.

Wanaccm tunajiuliza hivi tutapata wapi nguvuni tena ya kukitetea chama ktk chaguzi zijazo kama hatuthaminiwi baada ya kampeni?
Kivipi hapo sasa
 
Mitano tena ikiwezekana na milele ! Jiwe shikilia hapo hapo dawa imeshaanza kufanya kazi sasa hata viunga vya Lumumba....
 
Aisee!
 
Saiv tunazo nyimbo za taifa 2
Mosi ule wa taifa na pili
Ule wa kumtukuza bwana mkubwa.

Au nasema uongo ndugu zangu😐😐
 
CCM imeshatangulia mbele za haki kilichobakia ni Tume na Mitutu ya Polisi
nakubaliana na wewe, ccm ni kama haipo, kuna serikali ya awamu ya tano. ccm tunayoifahamu inaabudu wafanyabiashara. Wafanyabiashara bila kujali aina ya biashara ndio waliokuwa wakigharamia uendeshaji wa chama hasa nyakati za uchaguzi na kujilipa hela zao baada ya uchaguzi kwa kufanya biashara yoyote bila kulipa kodi stahiki. Mh. Sumaye alishawaambiaga wafanyabiashara wabaki ccm kama wanataka biashara zao zisibughudhiwe
 
Ninaumia sana tena sana pale ninapoona furaha na fahari tuliyokuwa nayo wanaccm katika awamu zilizopita inatoweka kwa kasi ya ajabu sana. Tumehangaika sana kutafuta ushindi 2015 kwasabb wapinzani walikuwa na nguvu sana.

Lkn mahangaiko hayo na shida tulizopata hayapati mrejesho chanya. Kwa maana ya kwamba hatupewi thamani na hadhi tunayo stahili ndani ya chama. Nitatoa mifano michache tu.

Mosi, majukwaani serikali iliyopo madarakani inatambulishwa kama serikali ya Magufuli. Jambi hili linafanywa na viongozi wote wa ngazi zote, sijui ni kwa bahati mbaya ama ni kwa sabb gani? Jambo hili linadhihirisha namna ambavyo wanaccm tusivyo na thamani awamu hii.

Pili, wanaccm hatuna sauti tena, hatuna haki tena kama raia ama wanachama kukikosoa ama kukishauri chama. Hata ktk vikao vya maamuzi tunaenda kupokea yaliyoaamriwa ama kupangwa na Mwenyekiti taifa. Nyote mnakumbuka Bashe na Msukuma walitiwa nguvuni kwa jaribio la kupinga mawazo ya mwenyekiti asiwe mgombea pekee ndani ya chama 2020. Msambatavangu akavuliwa uanachama kwasabb ya kuendesha kampeni za chini chini kupinga hoja hiyo hiyo.

Tatu, mwenyekiti amekuwa akigawa vyeo kwa anaowataka yeye na si kama anavyoelekezwa na chama. Nafahamu katiba inamruhusu. Lkn haiingii akilini watu waliokesha maporini na kutukanwa mitaani ama kuzomewa wakasahaulika. Ubinadamu na hulka za watanzania vinakataa suala hili. Amewapa uongozi wapinzani ambao wametutukana sana wakati wa kampeni. Kweli??

Nne, kuonesha kuwa chama ni cha MTU na hakifanyi kazi tena kama taasisi, mwenyekiti akikasirishwa na MTU anampa adhabu, akipigiwa magoti ama akitukuzwa tu anamuondolea adhabu. Mfano ni Sophia Simba.

CCM haikuomba kura ili kuja kubomoa misingi ya umoja na mshikamano baina yetu. Sisi sote ni ndugu. Kwann hata kwenda kumuona mtanzania mwenzetu aliyelazwa Nairobi iwe nongwa? Tunaonekana watu wa ajabu kqbisa. Wanaccm wengi wangependa kwenda lkn wakikumbuka yaliyowapata akina Dr Kafumu na Vicky Kamata wanaufyata. Hii siyo ccm ninayoijua mm.

Wanaccm tunajiuliza hivi tutapata wapi nguvuni tena ya kukitetea chama ktk chaguzi zijazo kama hatuthaminiwi baada ya kampeni?

kwan cheo anapewa alienda msituni ama mwenye weledi? we kama ulikua unasubiria cheo kisa uliingia msituni endelea kusubiria sana au vyema rudi msituni kabisa
 
Tatizo ni kibuyu cha kijani mmekosea masharti yake ndiyo kinawala, pole anyway
 
CCM imeshabinafisiswa !! Ina mwekezaji..
 
Back
Top Bottom