Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,676
- 126,840
CCM ni mali ya Bashite na Baba yake
Wewe si CCM ni chademaNinaumia sana tena sana pale ninapoona furaha na fahari tuliyokuwa nayo wanaccm katika awamu zilizopita inatoweka kwa kasi ya ajabu sana. Tumehangaika sana kutafuta ushindi 2015 kwasabb wapinzani walikuwa na nguvu sana.
Lkn mahangaiko hayo na shida tulizopata hayapati mrejesho chanya. Kwa maana ya kwamba hatupewi thamani na hadhi tunayo stahili ndani ya chama. Nitatoa mifano michache tu.
Mosi, majukwaani serikali iliyopo madarakani inatambulishwa kama serikali ya Magufuli. Jambi hili linafanywa na viongozi wote wa ngazi zote, sijui ni kwa bahati mbaya ama ni kwa sabb gani? Jambo hili linadhihirisha namna ambavyo wanaccm tusivyo na thamani awamu hii.
Pili, wanaccm hatuna sauti tena, hatuna haki tena kama raia ama wanachama kukikosoa ama kukishauri chama. Hata ktk vikao vya maamuzi tunaenda kupokea yaliyoaamriwa ama kupangwa na Mwenyekiti taifa. Nyote mnakumbuka Bashe na Msukuma walitiwa nguvuni kwa jaribio la kupinga mawazo ya mwenyekiti asiwe mgombea pekee ndani ya chama 2020. Msambatavangu akavuliwa uanachama kwasabb ya kuendesha kampeni za chini chini kupinga hoja hiyo hiyo.
Tatu, mwenyekiti amekuwa akigawa vyeo kwa anaowataka yeye na si kama anavyoelekezwa na chama. Nafahamu katiba inamruhusu. Lkn haiingii akilini watu waliokesha maporini na kutukanwa mitaani ama kuzomewa wakasahaulika. Ubinadamu na hulka za watanzania vinakataa suala hili. Amewapa uongozi wapinzani ambao wametutukana sana wakati wa kampeni. Kweli??
Nne, kuonesha kuwa chama ni cha MTU na hakifanyi kazi tena kama taasisi, mwenyekiti akikasirishwa na MTU anampa adhabu, akipigiwa magoti ama akitukuzwa tu anamuondolea adhabu. Mfano ni Sophia Simba.
CCM haikuomba kura ili kuja kubomoa misingi ya umoja na mshikamano baina yetu. Sisi sote ni ndugu. Kwann hata kwenda kumuona mtanzania mwenzetu aliyelazwa Nairobi iwe nongwa? Tunaonekana watu wa ajabu kqbisa. Wanaccm wengi wangependa kwenda lkn wakikumbuka yaliyowapata akina Dr Kafumu na Vicky Kamata wanaufyata. Hii siyo ccm ninayoijua mm.
Wanaccm tunajiuliza hivi tutapata wapi nguvuni tena ya kukitetea chama ktk chaguzi zijazo kama hatuthaminiwi baada ya kampeni?
mkuu katiba ya chama ni tatizo kubwa, imempa nguvu zote za kumdhibiti yeyote kwa namna yoyote. Ndiyo maana hata wanaccm tunakosa ujasiri wa kumkemea.CCM wanaogopa nini? CCM wanangoja nini kukinukisha??Magufuli ni nani hasa nchi hii kiasi cha kuwatia watu hofu? Hivi Wananchama wakisema hawamtaki atakimbilia wapi???Hivi huyu Msukuma amesahau kwamba Wana-CCM ndiyo waliompa mtaji wa kuingia Ikulu...???
Wekeni mikakati ya kumbana ili aelewe kwamba anakiendesha chama ndivyo sivyo.....!!
Hili ni tatizo kubwa sana ndani ya chama chetu ccm. Kila anayesema kweli anaitwa mfuasi wa chadema, Lowasa masalia ama Membe masalia. Tuacheni tuseme kweli daima kama katiba ya chama inavuosema. Wapi mm nimejiandika kuwa ni chadema?? Acha woga kada mwenzanguWewe si CCM ni chadema
Hujui CCM wewe acha kujificha katika mgongo wa CCM wakati upo CDM! I can confirm to you that JPM amekuwa mkombozi wa CCM! Kuweza kuondoa mafisadi ndani ya chama! Unadhani nani angelipambana na aki na Madavida, Noni , Shamtes etc. Kama hujui kitu nyamazaHili ni tatizo kubwa sana ndani ya chama chetu ccm. Kila anayesema kweli anaitwa mfuasi wa chadema, Lowasa masalia ama Membe masalia. Tuacheni tuseme kweli daima kama katiba ya chama inavuosema. Wapi mm nimejiandika kuwa ni chadema?? Acha woga kada mwenzangu
..
We sema polepole wakisikia wenye chama chao yatakukuta. Ndani ya CCM ni uvumilivu; jeuri ni mwiko - utii bila shurutiNinaumia sana tena sana pale ninapoona furaha na fahari tuliyokuwa nayo wanaccm katika awamu zilizopita inatoweka kwa kasi ya ajabu sana. Tumehangaika sana kutafuta ushindi 2015 kwasabb wapinzani walikuwa na nguvu sana.
Lkn mahangaiko hayo na shida tulizopata hayapati mrejesho chanya. Kwa maana ya kwamba hatupewi thamani na hadhi tunayo stahili ndani ya chama. Nitatoa mifano michache tu.
Mosi, majukwaani serikali iliyopo madarakani inatambulishwa kama serikali ya Magufuli. Jambi hili linafanywa na viongozi wote wa ngazi zote, sijui ni kwa bahati mbaya ama ni kwa sabb gani? Jambo hili linadhihirisha namna ambavyo wanaccm tusivyo na thamani awamu hii.
Pili, wanaccm hatuna sauti tena, hatuna haki tena kama raia ama wanachama kukikosoa ama kukishauri chama. Hata ktk vikao vya maamuzi tunaenda kupokea yaliyoaamriwa ama kupangwa na Mwenyekiti taifa. Nyote mnakumbuka Bashe na Msukuma walitiwa nguvuni kwa jaribio la kupinga mawazo ya mwenyekiti asiwe mgombea pekee ndani ya chama 2020. Msambatavangu akavuliwa uanachama kwasabb ya kuendesha kampeni za chini chini kupinga hoja hiyo hiyo.
Tatu, mwenyekiti amekuwa akigawa vyeo kwa anaowataka yeye na si kama anavyoelekezwa na chama. Nafahamu katiba inamruhusu. Lkn haiingii akilini watu waliokesha maporini na kutukanwa mitaani ama kuzomewa wakasahaulika. Ubinadamu na hulka za watanzania vinakataa suala hili. Amewapa uongozi wapinzani ambao wametutukana sana wakati wa kampeni. Kweli??
Nne, kuonesha kuwa chama ni cha MTU na hakifanyi kazi tena kama taasisi, mwenyekiti akikasirishwa na MTU anampa adhabu, akipigiwa magoti ama akitukuzwa tu anamuondolea adhabu. Mfano ni Sophia Simba.
CCM haikuomba kura ili kuja kubomoa misingi ya umoja na mshikamano baina yetu. Sisi sote ni ndugu. Kwann hata kwenda kumuona mtanzania mwenzetu aliyelazwa Nairobi iwe nongwa? Tunaonekana watu wa ajabu kqbisa. Wanaccm wengi wangependa kwenda lkn wakikumbuka yaliyowapata akina Dr Kafumu na Vicky Kamata wanaufyata. Hii siyo ccm ninayoijua mm.
Wanaccm tunajiuliza hivi tutapata wapi nguvuni tena ya kukitetea chama ktk chaguzi zijazo kama hatuthaminiwi baada ya kampeni?
Aanzishe chama chqke basi kama hatuamini wanachama wenzake. Katiba ya nchi inaruhusu hilo. Kuliko kutumia ccm (kwa maana ya wanaccm) kama ngazi halafu anakuja kuiona haifai.MKUU na kuhusu vyeo anaamn kufanya kaz na watu walipgania ktk yy kuingia ikulu ambao ndo haohao wanaosadikka kuiharbu ccm n kupoteza mda
Huo ndiyo wajibu wa kiongozi, hata mm ningekuwa rais ningeweza kuyafanya hayo. Kwasabb rais ana vyombo vyote vya dola ili kumlinda. Hao uliowataja wana nn hadi uone kana kwamba walikuwa tishio sana?Hujui CCM wewe acha kujificha katika mgongo wa CCM wakati upo CDM! I can confirm to you that JPM amekuwa mkombozi wa CCM! Kuweza kuondoa mafisadi ndani ya chama! Unadhani nani angelipambana na aki na Madavida, Noni , Shamtes etc. Kama hujui kitu nyamaza
Nilihudhiria ktk mkutano l
uliyomchagua ndugu Diallo majuzi tu. Wajumbe wengi walikuwa wanaongelea chini chini juu ya uongozi wa juu namna unavyopeleka mambo ya chama. Namna unavyotoa hongo ya vyeo kwa wapinzani . Mwenye macho na asikie, kuna fukuto kubwa sana ndani ya ccm
Sina maslahi yoyote na fukuto bali mm kama mwanaccm naona tiendako siko. Chama ni wanachama lazima tupewe heshima na tuwe na sauti ndani ya chama. Siyo lqzima kila mwanachama spate cheo. Lkn hata serikali tu ijitambilishe kama serikali ya ccm.Utangojea saana tu wala hilo fukuto halita furukuta. CCM ni imara kama simba
Inaonekana wewe aidha masuala haya ya siasa za TZ umeziingia juzi au ni mpinzani tu kama akina Lema! Without data don’t talk! Kukuonesha kuwa wewe unamchukia JPM kumbuka uzi wako huu Watanzania bila kujali vyama vyetu tushikamane kumdhibiti Sizonje. Vinginevyo......Huo ndiyo wajibu wa kiongozi, hata mm ningekuwa rais ningeweza kuyafanya hayo. Kwasabb rais ana vyombo vyote vya dola ili kumlinda. Hao uliowataja wana nn hadi uone kana kwamba walikuwa tishio sana?
Sina maslahi yoyote na fukuto bali mm kama mwanaccm naona tiendako siko. Chama ni wanachama lazima tupewe heshima na tuwe na sauti ndani ya chama. Siyo lqzima kila mwanachama spate cheo. Lkn hata serikali tu ijitambilishe kama serikali ya ccm.
Harakati zangu za kutetea haki sijazianza leo. Kuna mqmbo baadhi anayofanya huyu rais ndani ya chama na serikalini hayahitaji kufumbiwa macho. Kama kwako kukemea uovu unaitafsiri kama chiki basi pole sana. Natamani ungeelewa maudhui ya uzi uliyo unukuu halafu ukalinganisha na huu uone kama kuna tofauti.Inaonekana wewe aidha masuala haya ya siasa za TZ umeziingia juzi au ni mpinzani tu kama akina Lema! Without data don’t talk! Kukuonesha kuwa wewe unamchukia JPM kumbuka uzi wako huu Watanzania bila kujali vyama vyetu tushikamane kumdhibiti Sizonje. Vinginevyo......
hahitajiki yeyote kukitetea chama..chama kiko imara...salamaNinaumia sana tena sana pale ninapoona furaha na fahari tuliyokuwa nayo wanaccm katika awamu zilizopita inatoweka kwa kasi ya ajabu sana. Tumehangaika sana kutafuta ushindi 2015 kwasabb wapinzani walikuwa na nguvu sana.
Lkn mahangaiko hayo na shida tulizopata hayapati mrejesho chanya. Kwa maana ya kwamba hatupewi thamani na hadhi tunayo stahili ndani ya chama. Nitatoa mifano michache tu.
Mosi, majukwaani serikali iliyopo madarakani inatambulishwa kama serikali ya Magufuli. Jambi hili linafanywa na viongozi wote wa ngazi zote, sijui ni kwa bahati mbaya ama ni kwa sabb gani? Jambo hili linadhihirisha namna ambavyo wanaccm tusivyo na thamani awamu hii.
Pili, wanaccm hatuna sauti tena, hatuna haki tena kama raia ama wanachama kukikosoa ama kukishauri chama. Hata ktk vikao vya maamuzi tunaenda kupokea yaliyoaamriwa ama kupangwa na Mwenyekiti taifa. Nyote mnakumbuka Bashe na Msukuma walitiwa nguvuni kwa jaribio la kupinga mawazo ya mwenyekiti asiwe mgombea pekee ndani ya chama 2020. Msambatavangu akavuliwa uanachama kwasabb ya kuendesha kampeni za chini chini kupinga hoja hiyo hiyo.
Tatu, mwenyekiti amekuwa akigawa vyeo kwa anaowataka yeye na si kama anavyoelekezwa na chama. Nafahamu katiba inamruhusu. Lkn haiingii akilini watu waliokesha maporini na kutukanwa mitaani ama kuzomewa wakasahaulika. Ubinadamu na hulka za watanzania vinakataa suala hili. Amewapa uongozi wapinzani ambao wametutukana sana wakati wa kampeni. Kweli??
Nne, kuonesha kuwa chama ni cha MTU na hakifanyi kazi tena kama taasisi, mwenyekiti akikasirishwa na MTU anampa adhabu, akipigiwa magoti ama akitukuzwa tu anamuondolea adhabu. Mfano ni Sophia Simba.
CCM haikuomba kura ili kuja kubomoa misingi ya umoja na mshikamano baina yetu. Sisi sote ni ndugu. Kwann hata kwenda kumuona mtanzania mwenzetu aliyelazwa Nairobi iwe nongwa? Tunaonekana watu wa ajabu kqbisa. Wanaccm wengi wangependa kwenda lkn wakikumbuka yaliyowapata akina Dr Kafumu na Vicky Kamata wanaufyata. Hii siyo ccm ninayoijua mm.
Wanaccm tunajiuliza hivi tutapata wapi nguvuni tena ya kukitetea chama ktk chaguzi zijazo kama hatuthaminiwi baada ya kampeni?
Mtu mwenye elimu ndogo utamjua tu kwa hoja zake.Hili ni jambo la maana sana. Ninyi ndiyo mliokuwa mnakihujumu chama chetu. Sasa mumebanwa mbavu, mnaanza kulalama. Wewe ukitaka baki chamani, hutaki sepa! Chama hakiteteleki kwa porojo zako!
Nakuona ukitumia akili zako kuliko hisia na mahaba , lakin pia nakuona ukiyaona mambo katika uhalisia wake na ukiyasema kwa uhalisia wake, wana Ccm wengi sana ni wanafiki sana sana ni watu wssio jua kukiri ukweli, wamekuwa waongo kwa kila jambo,Harakati zangu za kutetea haki sijazianza leo. Kuna mqmbo baadhi anayofanya huyu rais ndani ya chama na serikalini hayahitaji kufumbiwa macho. Kama kwako kukemea uovu unaitafsiri kama chiki basi pole sana. Natamani ungeelewa maudhui ya uzi uliyo unukuu halafu ukalinganisha na huu uone kama kuna tofauti.
Magufuli ni rais wa nchi lakin pia ni amiri jeshi mkuu.CCM wanaogopa nini? CCM wanangoja nini kukinukisha??Magufuli ni nani hasa nchi hii kiasi cha kuwatia watu hofu? Hivi Wananchama wakisema hawamtaki atakimbilia wapi???Hivi huyu Msukuma amesahau kwamba Wana-CCM ndiyo waliompa mtaji wa kuingia Ikulu...???