CCM imekuwa mali ya mtu?

CCM imekuwa mali ya mtu?

Kigodoro

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2014
Posts
1,665
Reaction score
1,685
Ninaumia sana tena sana pale ninapoona furaha na fahari tuliyokuwa nayo wanaccm katika awamu zilizopita inatoweka kwa kasi ya ajabu sana. Tumehangaika sana kutafuta ushindi 2015 kwasabb wapinzani walikuwa na nguvu sana.

Lkn mahangaiko hayo na shida tulizopata hayapati mrejesho chanya. Kwa maana ya kwamba hatupewi thamani na hadhi tunayo stahili ndani ya chama. Nitatoa mifano michache tu.

Mosi, majukwaani serikali iliyopo madarakani inatambulishwa kama serikali ya Magufuli. Jambi hili linafanywa na viongozi wote wa ngazi zote, sijui ni kwa bahati mbaya ama ni kwa sabb gani? Jambo hili linadhihirisha namna ambavyo wanaccm tusivyo na thamani awamu hii.

Pili, wanaccm hatuna sauti tena, hatuna haki tena kama raia ama wanachama kukikosoa ama kukishauri chama. Hata ktk vikao vya maamuzi tunaenda kupokea yaliyoaamriwa ama kupangwa na Mwenyekiti taifa. Nyote mnakumbuka Bashe na Msukuma walitiwa nguvuni kwa jaribio la kupinga mawazo ya mwenyekiti asiwe mgombea pekee ndani ya chama 2020. Msambatavangu akavuliwa uanachama kwasabb ya kuendesha kampeni za chini chini kupinga hoja hiyo hiyo.

Tatu, mwenyekiti amekuwa akigawa vyeo kwa anaowataka yeye na si kama anavyoelekezwa na chama. Nafahamu katiba inamruhusu. Lkn haiingii akilini watu waliokesha maporini na kutukanwa mitaani ama kuzomewa wakasahaulika. Ubinadamu na hulka za watanzania vinakataa suala hili. Amewapa uongozi wapinzani ambao wametutukana sana wakati wa kampeni. Kweli??

Nne, kuonesha kuwa chama ni cha MTU na hakifanyi kazi tena kama taasisi, mwenyekiti akikasirishwa na MTU anampa adhabu, akipigiwa magoti ama akitukuzwa tu anamuondolea adhabu. Mfano ni Sophia Simba.

CCM haikuomba kura ili kuja kubomoa misingi ya umoja na mshikamano baina yetu. Sisi sote ni ndugu. Kwann hata kwenda kumuona mtanzania mwenzetu aliyelazwa Nairobi iwe nongwa? Tunaonekana watu wa ajabu kqbisa. Wanaccm wengi wangependa kwenda lkn wakikumbuka yaliyowapata akina Dr Kafumu na Vicky Kamata wanaufyata. Hii siyo ccm ninayoijua mm.

Wanaccm tunajiuliza hivi tutapata wapi nguvuni tena ya kukitetea chama ktk chaguzi zijazo kama hatuthaminiwi baada ya kampeni?
 
Sasa hivi chama chenu hakihitaji nguvu ya wanachama maana jeshi lipo. Ww ukitaka baki chamani, hutaki sepa. Mfano mrahisi hata uchaguzi wa juzi msaada mkubwa ulitokana na jeshi na tume ya uchaguzi. Kinyume na hapo wapinzani wangeharibu sifa ya mkuu. Ww tafuta wenzako wa kabila na kanda yenu mpambane, vinginevyo vyeo mtaviona kwenye kioo.
 
Wanaccm wengi wanakerwa na mambo haya. Nyalandu kaonyesha njia, wengine tupo tupo tu kwa hofu ya kushughulikiwa.
Tutamkumbuka Nape na hili halina muda mrefu. Ngoja wapinzani wakaze kuomba swala tume huru na ndiko wanakoelekea kwani umeshajua nguvu za ziada zinazotumika na bila ziada ni kweupe
 
Sasa hivi chama chenu hakihitaji nguvu ya wanachama maana jeshi lipo. Ww ukitaka baki chamani, hutaki sepa. Mfano mrahisi hata uchaguzi wa juzi msaada mkubwa ulitokana na jeshi na tume ya uchaguzi. Kinyume na hapo wapinzani wangeharibu sifa ya mkuu. Ww tafuta wenzako wa kabila na kanda yenu mpambane, vinginevyo vyeo mtaviona kwenye kioo.
Hii pia inawaudhi wanaccm wengi sana. maana magumi, nguvu na kuuana kwasabb ya siasa siyo hulka ya watanzania. Huyu mwanaccm mwenzetu amekuja na utamaduni mpya. Ndani ya vyama vya upinzani kuna wanetu, waume zetu, ndugu zetu na jamaa zetu. Ingependeza kama tukawa tunasutana kwenye majukwaa lkn tunaishi kwa upendo.

kuna wanaccm wengi wangependa kwenda hata kumpa pole mhe Tundu Lisu lkn wakikumbuka kilichowapata akina Vicky Kamata na Dr Kafumu wanaufyata
 
Msikate tamaa,

kumbukeni ule usemi wa Chama chenu " Zidumu Fikra za Mwenyekiti..."
Ni suala la muda tu, muhimu kusubiri bila kukata tamaa, Awamu yake itaisha atakuja mwingine!
 
Ninaumia sana tena sana pale ninapoona furaha na fahari tuliyokuwa nayo wanaccm katika awamu zilizopita inatoweka kwa kasi ya ajabu sana. Tumehangaika sana kutafuta ushindi 2015 kwasabb wapinzani walikuwa na nguvu sana.

Lkn mahangaiko hayo na shida tulizopata hayapati mrejesho chanya. Kwa maana ya kwamba hatupewi thamani na hadhi tunayo stahili ndani ya chama. Nitatoa mifano michache tu.

Mosi, majukwaani serikali iliyopo madarakani inatambulishwa kama serikali ya Magufuli. Jambi hili linafanywa na viongozi wote wa ngazi zote, sijui ni kwa bahati mbaya ama ni kwa sabb gani? Jambo hili linadhihirisha namna ambavyo wanaccm tusivyo na thamani awamu hii.

Pili, wanaccm hatuna sauti tena, hatuna hali tena kama raia ama wanachama kukikosoa ama kukishauri chama. Hata ktk vikao vya maamuzi tunaenda kupokea yaliyoaamriwa ama kupangwa na Mwenyekiti taifa. Nyote mnakumbuka Bashe na Msukuma walitiwa nguvuni kwa jaribio la kupinga mawazo ya mwenyekiti asiwe mgombea pekee ndani ya chama 2020. Msambatavangu akavuliwa uanachama kwasabb ya kuendesha kampeni za chini chini kupinga hoja hiyo hiyo.

Tatu, mwenyekiti amekuwa akigawa vyeo kwa anaowataka yeye na si kama anavyoelekezwa na chama. Nafahamu katiba inamruhusu. Lkn haiingii akilini watu waliokesha maporini na kutukanwa mitaani ama kuzomewa wakasahaulika. Ubinadamu na hulka za watanzania viakataa suala hili. Amewapa uongozi wapinzani ambao wametutukana sana wakati wa kampeni. Kweli??

Nne, kuonesha kuwa chama ni cha MTU na hakifanyi kazi tena kama taasisi, mwenyekiti akikasirishwa na MTU anampa adhabu, akipigiwa magoti ama akitukuzwa tu anamuondolea adhabu. Mfano ni Sophia Simba.

Wanaccm tunajiuliza hivi tutapata wapi nguvuni tena ya kukitetea chama ktk chaguzi zijazo kama hatuthaimiwi baada ya kampeni?
Bila juhudi za Mh. Magufuli kama Magufuli CCM ingeshindwa mwaka 2015, wacha aitengeneze nchi. CCM ilikithiri kwa rushwa, ukwepaji kodi, kuuza madawa ya kulevya, meno ya tembo na mali asili nyingine na ubadhilifu. CCM ilipoteza mwelekeo wake wala usilalamike sana mwenzangu ndugu yangu. Ngoja asafishe nyumba kwa miaka 5 hii kwanza.
Na mwenyekiti ataufurahisha umma kama sio umati kama atavirejesha viwanja vyote vya mpira TFF kabla 2020.
 
M
Ninaumia sana tena sana pale ninapoona furaha na fahari tuliyokuwa nayo wanaccm katika awamu zilizopita inatoweka kwa kasi ya ajabu sana. Tumehangaika sana kutafuta ushindi 2015 kwasabb wapinzani walikuwa na nguvu sana.

Lkn mahangaiko hayo na shida tulizopata hayapati mrejesho chanya. Kwa maana ya kwamba hatupewi thamani na hadhi tunayo stahili ndani ya chama. Nitatoa mifano michache tu.

Mosi, majukwaani serikali iliyopo madarakani inatambulishwa kama serikali ya Magufuli. Jambi hili linafanywa na viongozi wote wa ngazi zote, sijui ni kwa bahati mbaya ama ni kwa sabb gani? Jambo hili linadhihirisha namna ambavyo wanaccm tusivyo na thamani awamu hii.

Pili, wanaccm hatuna sauti tena, hatuna hali tena kama raia ama wanachama kukikosoa ama kukishauri chama. Hata ktk vikao vya maamuzi tunaenda kupokea yaliyoaamriwa ama kupangwa na Mwenyekiti taifa. Nyote mnakumbuka Bashe na Msukuma walitiwa nguvuni kwa jaribio la kupinga mawazo ya mwenyekiti asiwe mgombea pekee ndani ya chama 2020. Msambatavangu akavuliwa uanachama kwasabb ya kuendesha kampeni za chini chini kupinga hoja hiyo hiyo.

Tatu, mwenyekiti amekuwa akigawa vyeo kwa anaowataka yeye na si kama anavyoelekezwa na chama. Nafahamu katiba inamruhusu. Lkn haiingii akilini watu waliokesha maporini na kutukanwa mitaani ama kuzomewa wakasahaulika. Ubinadamu na hulka za watanzania viakataa suala hili. Amewapa uongozi wapinzani ambao wametutukana sana wakati wa kampeni. Kweli??

Nne, kuonesha kuwa chama ni cha MTU na hakifanyi kazi tena kama taasisi, mwenyekiti akikasirishwa na MTU anampa adhabu, akipigiwa magoti ama akitukuzwa tu anamuondolea adhabu. Mfano ni Sophia Simba.

CCM haikuomba kura ili kuja kubomoa misingi ya umoja na mshikamano baina yetu. Sisi sote ni ndugu. Kwann hata kwenda kumuona mtanzania mwenzetu aliyelazwa Nairobi iwe nongwa? Tunaonekana watu wa ajabu kqbisa. Wanaccm wengi wangependa kwenda lkn wakikumbuka yaliyowapata akina Dr Kafumu na Vicky Kamata wanaufyata. Hii siyo ccm ninayoijua mm.

Wanaccm tunajiuliza hivi tutapata wapi nguvuni tena ya kukitetea chama ktk chaguzi zijazo kama hatuthaimiwi baada ya kampeni?
Mh sina uwakika na unacho kinena. Maana sijawahi kuona mwanachama amekuwa na masikio makubwa yakavuka kichwa ccm. Nadhani embu tulia chama kipo imara sana. Hiyo ndio imani yangu mengine majungu tu.
 
Bila juhudi za Mh. Magufuli kama Magufuli CCM ingeshindwa mwaka 2015, wacha aitengeneze nchi. CCM ilikithiri kwa rushwa, ukwepaji kodi, kuuza madawa ya kulevya, meno ya tembo na mali asili nyingine na ubadhilifu. CCM ilipoteza mwelekeo wake wala usilalamike sana mwenzangu ndugu yangu. Ngoja asafishe nyumba kwa miaka 5 hii kwanza.
Na mwenyekiti ataufurahisha umma kama sio umati kama atavirejesha viwanja vyote vya mpira TFF kabla 2020.
Ukizuia Siasa isifanyike kwa wapinzani wetu inaleta ukakasi kwa wanaofuatilia
 
Msikate tamaa,

kumbukeni ule usemi wa Chama chenu " Zidumu Fikra za Mwenyekiti..."
Ni suala la muda tu, muhimu kusubiri bila kukata tamaa, Awamu yake itaisha atakuja mwingine!
mkuu nafikiri ni vema tukakemea tusiyo yataka tukiwa ndani ya chama. Tusisubiri mtu aondoke kama alivyofanya Nyqlandu ndipo akayaseme. Naombeni tafadhali wanaccm sote tumwambie ukweli mwenyekiti wetu. Chama hiki siyo chake ni chetu, na wdngine tumepata ulemavu kwasabb ya chama. Siyo vizuri tukadharauliana
 
Ukizuia Siasa isifanyike kwa wapinzani wetu inaleta ukakasi kwa wanaofuatilia
Nilihudhiria ktk mkutano l
uliyomchagua ndugu Diallo majuzi tu. Wajumbe wengi walikuwa wanaongelea chini chini juu ya uongozi wa juu namna unavyopeleka mambo ya chama. Namna unavyotoa hongo ya vyeo kwa wapinzani . Mwenye macho na asikie, kuna fukuto kubwa sana ndani ya ccm
 
Back
Top Bottom