CCM imekuwa chama cha kijinga kiasi hiki?

MlimaSayuni

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
6,614
Reaction score
11,839
Inawezekana kwa Sasa CCM ndio inaongoza kuwa na Wanachama Wajinga Duniani.

Kamati kuu na Halmashauri kuu tokeni mseme Samia akae pembeni nchi ipone, msibashiri kuwa atabaki madarakani awaue wasaliti, Samia ataumia beyond repair first akiendelea kushupaza shingo.

CCM tokeni kabla ya hoja ya kuifuta CCM haijashika kasi
 
Ujinga ni kulazimisha mambo, Samia wananchi hawamtaki.

Demonstration kubwa zaidi ni low turnout ya upigaji kura, wananchi hawakujitokeza kabisa.

Inaweza kuwa hata asilimia 5% ya walioandikishwa ndio waliojitokeza. Hiyo ni salamu tosha watu hawamtaki huyo mama.

Haya maandamano ni salamu ya pili.

Sasa atawakimuapisha kwa lazima ni swala la muda tu kabla akijawaka tena mbeleni. Kibaya zaidi wabunge wa hovyo aliowapitisha ambao raia wakiwaona tu ni kama anatonesha vidonda vyao.

Ili limeshakwisha kilichobaki ni ukaidi tu wa kukataa the inevitable mambo yaharibike zaidi.
 
Inawezekana kwa Sasa CCM ndio inaongoza kuwa na Wanachama Wajinga Duniani.

Kamati kuu na Halmashauri kuu tokeni mseme Samia akae pembeni nchi ipone, msibashiri kuwa atabaki madarakani awaue wasaliti, Samia ataumia beyond repair first akiendelea kushupaza shingo.

CCM tokeni kabla ya hoja ya kuifuta CCM haijashika kasi
Polepole alishasema chama kimetekwa na wahuni humu hakuna tena wenye uwezo hata wakunyanyua mdomo tena..
Anachosema kikwete na genge lake ndio kinafuatwa.
 
Watanzania wamelazimishwa sana kuingia kwenye hivi vita, walikuwa wapole sana.

Wamechokozwa mpaka mtu kuchezea korodani zao.

CCM must go for good.
 
Inawezekana kwa Sasa CCM ndio inaongoza kuwa na Wanachama Wajinga Duniani.

Kamati kuu na Halmashauri kuu tokeni mseme Samia akae pembeni nchi ipone, msibashiri kuwa atabaki madarakani awaue wasaliti, Samia ataumia beyond repair first akiendelea kushupaza shingo.

CCM tokeni kabla ya hoja ya kuifuta CCM haijashika kasi
Hakuna Mwana CCM wa kumtoa Samia
 
Ujinga ni kulazimisha mambo, Samia wananchi hawamtaki.

Demonstration kubwa zaidi low turnout ya upigaji kura, wananchi hawakujitokeza kabisa.

Inaweza kuwa hata asilimia 5% ya walioandikishwa ndio waliojitokeza. Hiyo ni salamu tosha watu hawamtaki huyo mama.

Haya maandamano ni salamu ya pili.

Sasa atawakimuapisha kwa lazima ni swala la muda tu kabla akijawaka tena mbeleni. Kibaya zaidi wabunge wa hovyo aliowapitisha ambao raia wakiwaona tu ni kama anatonesha vidonda vyao.

Ili limeshakwisha kilichobaki ni ukaidi tu wa kukataa the inevitable mambo yaharibike zaidi.
Ni SUALA la muda tu...ndani ya 24 hrs lazima bi TOZO ateme ndoano
 
Back
Top Bottom