Tehetehetehe. Haww jamaa wameliwa. Miaka yote walikuwa wanapiga porojo ilhali CCM ilikuwa inaongeza wanachama. Mpaka sasa CCM ina zaidi ya wanachama milioni 12 na ushee.
Hivi kuhama watu 100,000 wanaweza kubadili matokeo ya uchaguzi katika watu 6,000,000/= kama wataweza basi hatari... Hesabu zimepata mwanafunzj makini sana.
Itakapofika tarehe 1 November 2015, halafu CCM bado ikawa ipo madarakani na watu wanaendelea na shughuli zao za ujenzi wa Taifa kama kawaida sijui hawa UKAWA watajificha wapi, sidhani kama kuna mmoja wao atathubutu hata kuchungulia hili jukwaa
Endelea kujidanganya ccm itatawala milele
CCM ni chama kubwa. Halitishwi na hawa wanaoishi kwa kudungwa sindano
Hamuishi kutapatapa poleni sana ccccccm
Endelea kujidanganya ccm itatawala milele
Unafaa kuwa muimba taarabu kwenye bendi ya Hadija Kopa
Hivi kuhama watu 100,000 wanaweza kubadili matokeo ya uchaguzi katika watu 6,000,000/= kama wataweza basi hatari... Hesabu zimepata mwanafunzj makini sana.
Unafaa kuwa muimba taarabu kwenye bendi ya Hadija Kopa
Hivi kuhama watu 100,000 wanaweza kubadili matokeo ya uchaguzi katika watu 6,000,000/= kama wataweza basi hatari... Hesabu zimepata mwanafunzj makini sana.
Tehetehetehe. Haww jamaa wameliwa. Miaka yote walikuwa wanapiga porojo ilhali CCM ilikuwa inaongeza wanachama. Mpaka sasa CCM ina zaidi ya wanachama milioni 12 na ushee.
Unafaa kuwa muimba taarabu kwenye bendi ya Hadija Kopa
Tehetehetehe. Haww jamaa wameliwa. Miaka yote walikuwa wanapiga porojo ilhali CCM ilikuwa inaongeza wanachama. Mpaka sasa CCM ina zaidi ya wanachama milioni 12 na ushee.
Itakapofika tarehe 1 November 2015, halafu CCM bado ikawa ipo madarakani na watu wanaendelea na shughuli zao za ujenzi wa Taifa kama kawaida sijui hawa UKAWA watajificha wapi, sidhani kama kuna mmoja wao atathubutu hata kuchungulia hili jukwaa
Unafaa kuwa muimba taarabu kwenye bendi ya Hadija Kopa
CCM ni chama kubwa. Halitishwi na hawa wanaoishi kwa kudungwa sindano
Anadungwa Sindano laikini hajawahi kuanguka jukwaani tehetehetehehee , poleni , Kukubali kushindwa ni Ushajaa pia !