CCM imekong'otwa, Polisi mnalala mabwenini

CCM imekong'otwa, Polisi mnalala mabwenini

Kwan Wimbo Ndo Utapiga Kura?? Hamasishen Wazee Na Kinamama Wawapgie Kura Hasa Vijjn Maana Hao Bado Weng Wao Hawawez Kutenganisha Chama Na Serikali, Tazama Huko Ruvuma Baada Ya Ccm Kufanya Kampen Na Kuzindua Tawi La Chama Wanakjj Wameanza Kujenga Shule Ya Miti! .Je Hko Kuna Wapinzan? Ukawa Wemekaa Kimya Hawataki Kumjibu Makomeo Anaetoa Vitisho Kuwa Tz Itageuka Kuwa Libya Kama Wakichagua Wapinzani!, Na Kwakuwa Vijana Wanaonekana Kuipa Matumaini Upinzani Mkazo Utiliwe Kwa Kinamama Na Wazee Ambao Bado Wanakienz Chama Cha Mapinduzi , Namtumbo, Nangurukulu, Mtwara, Mbinga Handeni, Lushoto, Karema ,korogwe Katavi ,Njombe Tunduru, Kisarawe Haya Ni Baadhi Ya Maeneo Machache Miongoni Mwa Mengi Ambayo Kile Kinachoitwa Mabadiliko Ni Lugha Ya Kigeni Tena Kichina Na Upinzani Maanayake Kwa Waliowengi Ni Vurugu Au Vita!. Kuamini Machifu Nayo Ni Silaha Kwa Baadhi Ya Maeneo Ambao Ccm Huwatumia Kushawishi Wananchi Waichague!

Mama Sarafina Umesema kweli tena kweli kabisa, lakini mazingira hayo ya vijijini yamefanywa hivyo maalum na ccm kama Mtaji wao wa Kura.

Wamenyimwa Elimu bora ya uraia na wengi wao ni maskini wa kutupwa wanaishia kupewa skafu, khanga, kofia, t shirt, chumvi etc. Hawana vyombo vya habari,

Kuna kipindi walisema NEC itoe elimu ya uraia, lakini walidai hawana rasilimali fedha. Hapo utawalaumu UKAWA kwa lini???!. Shida iko ccm na Serikali yake kung'ang'ania kubakiza watu mbumbumbu kama mtaji wa kura.
 
Kurudi madarakani itakuwa ngumu maana wamezoea kurithishana uongozi na kutumia nguvu. Hoja kabisa za nguvu kama za wapinzani wa sasa hawana. Kumbuka watakuwa wapinzani wakati huo, na kuwa na hoja za kurudisha imani kwa watz itakuwa ngumu sana.

Inaweza kuwachukua miaka zaidi ya 20 kama waking'oka mpaka kuja kuji stabilize vinginevyo kitaparang'anyika kabisa.
 
Mama Sarafina Umesema kweli tena kweli kabisa, lakini mazingira hayo ya vijijini yamefanywa hivyo maalum na ccm kama Mtaji wao wa Kura.

Wamenyimwa Elimu bora ya uraia na wengi wao ni maskini wa kutupwa wanaishia kupewa skafu, khanga, kofia, t shirt, chumvi etc. Hawana vyombo vya habari,

Kuna kipindi walisema NEC itoe elimu ya uraia, lakini walidai hawana rasilimali fedha. Hapo utawalaumu UKAWA kwa lini???!. Shida iko ccm na Serikali yake kung'ang'ania kubakiza watu mbumbumbu kama mtaji wa kura.

Mkuu watu wa vijijini wanajua kuhusu mabadiliko maana vijana wengi wapo team mabadiliko. Niamini mimi, kijijini kwetu yaani diwani wake anategemewa kutoka CDM pamoja ni mkoa ambao ni ngome ya CCM!!!
 
Wimbi la wasanii kutoa nyimbo zinazoikandia CCM limeshika kasi baada ya msanii mwingine kutoka Mbeya kutoa remix ya uliokuwa wimbo wake wa dini. Sipendi kuongea mengi ila pateni truck hiyo ina mdundo mzuri na mpangilio mzuri wa mashairi.

CCM safari hii wameshikika.

Kamanda unayo remix ya nyimbo kama ya moto band,diamond au peter msechu walioimbia ccm? Nina shida nazo mkuu
 
Kamanda unayo remix ya nyimbo kama ya moto band,diamond au peter msechu walioimbia ccm? Nina shida nazo mkuu

Hizo sina, maana zinamuimba mtu zaidi kama nyotaaaa na ing'ae!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom