CCM Imejimaliza Rasmi na IPTL-ESCROW


Hivyo ndivyo TOR inavyomwelekeza kufanya kazi ili alipwe. Anafanya kulingana na matakwa ya bosi na siyo kwa kutumia akili. Hili ni tatizo la Watanzania wengi. Kama hawatatumia hisia watatimia njaa zao au matakwa ya mabosi wao.
 

Amen. Asante Bwana Yesu kwa kuwa umejibu na kuzidi. Pokea sifa na utukufu.
 
Mwakan tunawamaliza rasmiii.. Na tukiwaondoa madarakan tunafuta kabisa chama chenyewe usajili wake
 

Kakobe alinena.
 
Mleta mada unashangaza sana.

kama CCM inaanguka si ndio ufurahi sasa?

Huna haja ya kulia lia, wakati.majibu yote kuhusu escrow yameshawekwa wazi na Prof. Muhongo.

na ni dhahiri kuwa hakuna wizi wowote.

Sasa afurahi kuanguka chama chake?
 
Umekariri hilo jibu? Tunachokilalamikiakimerudia tangu sakata hili limeanza. Kama huna cha kuchangia si ukae kimya?

Mnachokilalamikia chote kimedhihirika kuwa ni uongo, Ripoti ya CAG haioneshi wizi wala rushwa. Mnalalamikia pesa za huduma ilitolewa mlikuwa mnataka umeme wa bure?

Hivi kwanini wabunge wenu wa upinzani wanatumia fursa ya kuwa live kwenye TV kuwadanganya Watanzania?

Na wewe umedanganywa ukadanganyika au unatetea uongo? Onesha huo wizi uko wapi?
 

RIPOTI ya CAG mmeisoma? amesema waziwazi pesa za escrow ni mali ya Tanesco, zilitakiwa zote bil. 306 zirudi Tanesco na bado Tanesco iendelee kuidai IPTL bil.15. Ni nini hakieleweki hapa isipokuwa kwa wale waliopofushwa na rushwa? mtaikataa ripoti ya Mkaguzi wa hesabu za serikali na kikubali badala yake ile ya mkaguzi wa miamba? watanzania nani kawaloga?

Hivi ni kweli bunge lote lile hakuna hata mmoja mwenye akili? ni wazi sisiem wamefungua mjadala uwe forum ya kuuhadaa umma na ulimwengu kwa manufaa ya kura na kuwasafisha watuhumiwa lakini kwa hili haitawabakisha salama
 

Inaudhi na kukera sana,mtu anajua upuuzi uliofanyika then UNACHEKACHEKA tuuuuuu
 

Wacha kusema uongo.

Onesha huo wizi uko wapi? tumeona rripoti ya CAG na TAKuKURU hatujaona hata sehemu moja iliyosema kuna wizi waliougunduwa au rushwa waliyoiona katika uchunguzi wao.

Kwanini mnadanyana humu na mnadanganya umma wa Watanzania nyinyi na wabunge wenu?

Msifikiri kwa uongo ndiyo mtapata madaraka ya hii nchi, Watazania wanawaona na wanawashangaa sana watu wazima kusambaza uongo.

Onesha huo wizi uko wapi kama wewe u mkweli.
 

Nilikuambia kuwa pro au against report zote zilizotolewa kuhusu sakata hili kunategemea kama wewe katika hili ni beneficiary wa namna gani. Hoja zako zinaku-define kuwa ni kati ya wale walio lamba asali hiyo na kutema hawawezi.
 
[Porojo hizo, mlitaka umeme wa bure?]

Mbona tunalala na giza.
 

Anna Makinda kalichimbia CCM kaburi
 

Umelaaniwa wewe !
 

Jamani, situicache CCM ife t, tunataka kuioko iendelee kutuumiza?
 
Nakubaliana na mtoa uzi.watu wamechoka kukumbatia wezi.Rais akoa ccm itakufa mikononi mwako.utakuwa umeweka historia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…