Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,197
mikoa ipi isona elimu. dar. morogoro? albda chadema imechukua majimbo ya wakiristo wengi na sio wenye elimu. kwani huko vijijini ilipopata chadema kuna elimu au udini? samahani mod
chadema imebeba sehemu za wakiristo wengi. sijui lilikuwa agizo? taja mkoa ambao waislam walikuwa wengi wakapata chadema?
Wakuu ni lazima niwasifu sana strategists wa CCM. Unajua siku zote ukipambana na adui aanza kwanza kupiga kwenye weak points the nenda kwenye zile zenye nguvu. CCM waliona mbali sana kwa hilo na waliwekeza zaidi kwenye kampnei yao katika maeneo hayo. Kuna watu Tanzania mpaka leo hawajui EPA hawajui maana ya mafisadi na hwajui lolote. Naona tatizo ni kuwa Chadema walitegemea zaidi kwenye mikoa ambayo ina watu wengi wenye elimu na wenye hali ahueni kiuchumi. Inawezekana sasa watakuwa wamepata somo, sio Chadema tu opposition wote inabidi wajifunze kutoka kwa CCM.
hata Dar es salaam ukiangalia kwenye wilaya, maeneo na sehemu zenye watu wengi waliochoka utagundua kuwa CCM imefanya vizuri lakini kwenye sehemu ambazo kuna wenye elimu kidogo na wenye uwezo wa kiuchumi kidogo kuna tatizo. Siku nyingine ukitokea uchaguzi ni lazima vyama viige mbinu ya CCM
Bahati mbaya Malaria sungu alituficha siri hii. sasa nasubiri malaria sugu aje na kuanza kushusha madongo yake.

Kujifunza kutoka CCM siyo kuwasaidia Watanzania bali kuwaendeleza katika umaskini, ujinga na maradhi - huu ndio mtaji mkuu wa CCM. Ndiyo maana kwa CCM mabadiliko (kuondokana na umaskini, ujinga na maradhi) haiwezekani bali kuendelea kuishi katika maisha duni na kuwachagua CCM. Mkakati wa vyama shindani ni kuwaelemisha wananchi ili waone wapi wametoka, wapi walipo na wapi wanakokwenda.
Wananchi wameanza kuwaelewa. Step ya pili ni pamoja na hawa wenye uelewa kusaidia kuwaelimisha wnaoshindwa kuelewa vizuri. Baadhi ya sehemu za vijijini pia wameanza kuamka. Mfano mzuri ni jimbo la Ukerewe, Mwanza. Tangu dunia kuumbwa walikuwa wana CCM lakini mwaka huu wameamua kukipa Chadema ushindi ili wapate mabadiliko ya kweli maana hali ya maisha ya wananchi wa Ukerewe ni duni sana.
Yaani, hali hiyo imekuwa mtaji mkuu wa CCM. Unakumbuka wakati ule wa 'documentary ya mapanki' na serikali kukanusha kuwa hakuna wanaokula mapanki? Ukerewe ni mojawapo. Nenda Ukerewe vijijini ujionee umaskini wa wananchi na ulinganishe na muda ambao wamekuwa wakikipa kura za ushindi CCM! CCM kinajua watu wakielimika au kuondokana na umaskini watakihama. Huu ndio mtaji wao!
siungi mkono hoja yako nataka ufahamu kwamba hayo maeneo chadema waliyoshinda mfano ubungo,kawe,iringa mjini,arusha mjini si kwamba chadema wanapendwa kihivyo bali tu ni watu wamepiga kura za chuki!hata jk amepata kura za ushindi maeneo hayohayo waliopita wabunge wa chadema.
we unaongea nini? Kha! Huo uchakachuaji huusikii? Umeanza vizuri then ukaharibu
Mwacheni jameni kibaraka wa cuf na ccm, Ooopss nimesahau na Al annur
chadema imebeba sehemu za wakiristo wengi. sijui lilikuwa agizo? taja mkoa ambao waislam walikuwa wengi wakapata chadema?
MANENO YA WAKOSAJI! Teh teh teh!!!!!
Jamani sherehe za kuapishwa Silaa ni lini na wapi? Teh teh teh!!!!!