Inasikitisha sana kwa kweli,DAB ndio think tank ya Ccm, what do u expect ?? jamaa anatumia ndumba si bure!
[emoji120] [emoji123] [emoji109] [emoji770] [emoji779] [emoji781]mshana jr
Tungepata waonyaji na wakemeaji wa huu uhuni ingependeza haiwezekani mtu mmoja apeleke nchi jinsi anavyotaka Hata Kama kakosea asikosolewe hii sio fair. Ila akumbuke atawadanganya Watu Wote ila sio Siku zote. Ajifunze Kwa Mugabe Ipo Siku udhalimu utafika mwisho. Kila mtu anaogopa yy ni Nani???
Tz haijawa kilaza Namna hii au ni kizazi cha zilipendwa haki yanane I wish I could be meja General.
Mungu tusaidie!!!
UlaaniweHata hapa kwetu kuna ma kabila makubwa mawili yaani ccm na chadema ukipenda mwangaluka na shimboni shafo. CCM hoyeeeee
Hivi ukiwa CCM ujinga unahusika? Upofu na uziwi je?!! Huoni kinacho endelea wala husikii...?!! Hata kuwaza kweli huwezi?! ....mkuu wa wilaya wakati ananunua watu Arumeru wewe ulikuwa wapi? uko dunia gn?!! .Naamini wapo CCM welevu hasa na IPO siku watapata pa kusemea.@MshanaKama kuna ushahidi wa ccm kuhusika ni kweli inapaswa kukemewa kwa nguvu zote, lkn wasi wasi wangu makamanda jahazi linatoboka baada ya kujadili nini tatizo mnakuja na visingizio lukuki. Wanachama wanakimbia eti oohh wanahongwa sababu nyepesi kweli kweli.
Kwa sasa mmekosa mtu kama slaa mnabaki kulia lia tu mitandaoni. Ukweli ni kuwa mmewaangusha wananchí hata kabla ya kupewa dola, mlichobakisha kwa sasa kila anaekuambieni ukweli eti ccm. Edo na wengine kadhaa wapo njiani nyie katafteni flash mseme wanahongwa.
Baadae itakua waasi na wanaounga mkono serkaliHata hapa kwetu kuna ma kabila makubwa mawili yaani ccm na chadema ukipenda mwangaluka na shimboni shafo. CCM hoyeeeee