The Worshiper
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 302
- 89
Kilichobaki kwa sasa ni kila jambo wao kutumia mapesa(mamilioni) ili kukinusuru chama maana KIMESHAKUFA .Wananchi wameshakichoka kwakuwa hamna jipya tena linaloweza kupatikana huko.Aina ya viongozi ni ileile miaka nenda rudi;aina ya utendaji ni Ule Ule;malengo ni Yale Yale;mbinu ni zile siku zote.
Mipango ni ileile;akili ni zilezile;uwezo ni Ule Ule;ujuzi ni uleule wameshindwa KUJIONGEZA ni walewale.TUSITEGEMEE LOLOTE JIPYA kutoka Ccm KWAKUWA ni WALEWALE SIKU ZOTE.
Mipango ni ileile;akili ni zilezile;uwezo ni Ule Ule;ujuzi ni uleule wameshindwa KUJIONGEZA ni walewale.TUSITEGEMEE LOLOTE JIPYA kutoka Ccm KWAKUWA ni WALEWALE SIKU ZOTE.