Alfred Daud Pigangoma
JF-Expert Member
- Mar 30, 2009
- 1,826
- 966
Ebu fafanua vizuri unaposema CCM wengi ni waajiriwa ni akina nani hao? usitake kupindisha mada chama kinapokuwa kinaendeshwa kwa kufuata matunguri na utabiri ni matatizo sana hakuna sababu iliyosababisha mabadiriko haya zaidi ya lamri na matunguri.wameamua kubadilika mwaka huu kwa sababu ccm wengi ni waajiriwa wameona ni bora wafanye sherehe weekend ili siku ya tarehe 5 ambayo itaangukia siku jumanne watu waende kazini kama kawaida. nawasifu kwa hili kwa kuamua kuijenga nchi kwa vitendo.
mkuu umejuaje kwenye red highlight?Ebu fafanua vizuri unaposema CCM wengi ni waajiriwa ni akina nani hao? usitake kupindisha mada chama kinapokuwa kinaendeshwa kwa kufuata matunguri na utabiri ni matatizo sana hakuna sababu iliyosababisha mabadiriko haya zaidi ya lamri na matunguri.
CCM leo inatimiza miaka 36 baada ya kuzaliwa tar 5.2.2013.
Ninajiuliza ni hofu gani iliyokishika chama kilichokwisha kuvunja ungo kuogopa kufikisha siku ya kuzaliwa.
Wadau na wanaCCM naombeni mnisaidie hapa.
Magamba wamepoteza kumbukumbu kabisa,vipi Kinana anasemaje au yuko busy na biashara ya kusafirisha pembe za ndovu?
Timiza wajibu wako siyo kuwaza sikukuu ambazo hazina masirahi kwa taifa wakati watu wanalia na njaa hizo hela za maandalizi bora zipelekwe mikoa amayo ina njaa au zitumike kuboresha miundombinu ya taifa fikiri sana acha kuwaza sikukuu ambazo hazina msingi wowotewadau tuliozaliwa miaka ya nyuma tunakumbuka kipindi ccm ikongozwa na baba wataifa,mwinyi na mkapa kila ikifika tar 5.2 tunasherehekea kuzaliwa kwa chama cha mapinduzi.
kila ikifika tar hiyo tuliimba na kucheza na pia bendi nyingi zilipiga nyimbo na kuitaja hiyo siku na tuliifurahia kwa kweli.
swali lililopo kichwani kwangu ni kuwa kesho siku itakuwa je baada ya miaka 36 pale lumumba,ccm makao makuu dodoma na ofisi za ccm nchi nzima?
je ni nani kabariki uhuni huu wa kuikimbia siku iliyoasisiwa na wazee wetu?
je ni baraka za mwenyekiti?
je ni sekretariet mpya?
maswali ni mengi kuliko majibu.
je ikiangukia tar 5.2 siku ya alhamisi tutaisogea ta 7.2 jumamosi au tutairudishatar 31.1 jumapili?
huu ubabaishaji utaendelea hadi lini?
NAPE,KINANA NA MANGULA NAOMBENI UFAFANUZI.
au ndio kila alichokiasisis nyerere mnakiua kifo cha kimyakimya?
au ni azimio jipya la kigoma.
MWENYEZI MUNGU AILAZE MAHALI PEMA ROHO YA BBA WA TAIFA MAHALI PEMA PEPONI.
AAMINA.